Polisi wagoma kuchangia mafuta kusafirisha mwili wa mwenzao
Na Ahmed Makongo, Bunda
POLISI wilayani Bunda, mkoani Mara, wanadaiwa kugoma kuchangia fedha za mafuta kwa ajili ya kusafirisha mwili wa askari mwenzao, Koplo Mahamudu Magasa, aliyefariki dunia baada ya kusumbuliwa na ugonjwa wa malaria kwa muda mfupi.
Mafuta hayo yalikuwa yanatakiwa kwa ajili ya kusafirisha mwili wa Koplo Mahamudu kwenda nyumbani kwako, Wilaya ya Mahenge, mkoani Morogoro.
MTANZANIA jana ilifika Kituo Kikuu cha Polisi cha Wilaya ya Bunda na kukuta umati mkubwa wa askari...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzimadereva wa daladala jijini Mbeya wagoma kusafirisha abiria leo
10 years ago
Uhuru Newspaper13 Nov
Wananchi wagoma kuchangia maabara
NA EVA-SWEET MUSIBA,TARIME
WANANCHI wa Kata ya Matongo-Nyamongo, wilaya ya Tarime, mkoani Mara, wamekataa kuchangia fedha za ujenzi wa maabara kwa madai kuwa, fedha zao za maendeleo ya kata hazijalipwa kutoka mgodi wa dhahabu wa Barrick North Mara.
Akitoa taarifa katika kikao cha Baraza la Madiwani, Mtendaji wa Kata ya Matongo, Chacha Muniko, alisema wananchi wamekataa kuchangia fedha hizo kutokana na kuudai mgodi huo asilimia tano, ambayo ni sawa na sh. milioni 700.
Hata hivyo, taarifa hiyo...
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-EhxwFc-RS2Q/VPNPxQw62KI/AAAAAAAC0wI/IjrOTsEgYXY/s72-c/komba.gif)
RATIBA YA KUSAFIRISHA MWILI WA MAREHEMU MHE. CAPT. JOHN KOMBA ITAKUWA KAMA IFUATAVYO:
![](http://1.bp.blogspot.com/-EhxwFc-RS2Q/VPNPxQw62KI/AAAAAAAC0wI/IjrOTsEgYXY/s1600/komba.gif)
Kesho tarehe 02/3/2015 saa 1 asubuhi misa parokia ya Mt. Bikira Maria Mpalizwa iliopo mbezi , saa 4 asubuhi mwili utaelekea Karimjee kwa ajili ya kuagwa, na saa 8 mchana mwili utaelekea airport tayari kwa safari ya Songea. Mazishi yatafanyika tarehe 3/3/2015 kijijini kwake Lituhi.
Kufuatia Msiba huu shughuli za kamati hazitakuwepo kwa kesho tarehe 2/3/2015. Ukipata taarifa hii tafadhali mjulishe na mwingine.
IMETOLEWA NA;OFISI KATIBU WA BUNGE1.3.2015
10 years ago
BBCSwahili10 Feb
Je kuchangia kiungo cha mwili ni mwiko ?
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-igLyDRCeJmA/VhzExIHqXyI/AAAAAAAH_sQ/BWm_KXTAmFw/s72-c/No.%2B1B.jpg)
SERIKALI ZA UGANDA NA TANZANIA ZATIA SAINI HATI YA MAKUBALIANO JUU YA UTEKELEZAJI WA MRADI WA KUSAFIRISHA MAFUTA GHAFI
![](http://1.bp.blogspot.com/-igLyDRCeJmA/VhzExIHqXyI/AAAAAAAH_sQ/BWm_KXTAmFw/s640/No.%2B1B.jpg)
10 years ago
BBCSwahili17 Jun
Waislamu waombwa kuchangia viungo vya Mwili
11 years ago
MichuziPOLISI KILIMANJARO YABAINI MBINU MPYA INAYOTUMIKA KUSAFIRISHA DAWA ZA KULEVYA .
9 years ago
Mwananchi26 Dec
Madereva wagoma Ilemela, kisa polisi kushusha nauli
11 years ago
Mwananchi01 Feb
Polisi adaiwa kuomba ‘mafuta’ msibani