Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polisi adaiwa kuomba ‘mafuta’ msibani

>Askari polisi mmoja wa Kituo cha Polisi cha Nyakarilo, wilayani Sengerema, anatuhumiwa kuomba fedha za mafuta kutoka kwa familia ya mwanamke aliyejinyonga.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

LOWASSA ADHIBITIWA NA POLISI MSIBANI

Na Mwandishi Wetu, Moshi Waziri Mkuu wa Zamani, Edward Lowassa jana alidhibitiwa na polisi wakati alipokuwa akienda kwenye msiba wa marehemu Peter Kisumo ambaye alizikwa jana katika Kijiji cha Kighare mkoani Kilimanjaro. Lowassa na msafara wake akiwa na viongozi wa kisiasa akiwemo Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi James Mbatia, mbunge aliyemaliza muda wake wa Jimbo la Moshi Mjini, Philemon Ndesamburo, ulizuiliwa na polisi baada ya...

 

9 years ago

Habarileo

Polisi: Lowassa alisusa kwenda msibani

POLISI mkoani Kilimanjaro imekanusha madai ya kumzuia mgombea urais anayeungwa mkono na vyama vinne vya upinzani vinavyounda kundi la Ukawa, Edward Lowassa, asihudhurie maziko ya mwanasiasa mkongwe, Peter Kisumo yaliyokuwa yakifanyika wilayani Mwanga.

 

10 years ago

GPL

MSIBANI WA MTOTO ALIYEFIA KITUO CHA POLISI

Ndugu na jamaa wakiomboleza msiba wa mtoto huyo. KAMERA ya Gpl imefanikiwa kunasa picha za matukio ya msiba wa mtoto aliyefia katika Kituo cha Polisi, Mbezi kwa Msuguri, jijini Dar es Salaam.Kujua mengi tembelea www.globaltvtz.com (Habari/Picha: Gabriel Ng’osha na Denis…

 

5 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi Marekani 2020: Trump adaiwa kuomba usaidizi wa rais Xi Jinping kushinda uchaguzi ujao

Msaidizi wa zamani wa Trump John Bolton aandika kitabu kinachomtuhumu Trump katika masuala mbalimbali ya kisera na utendaji.

 

10 years ago

CloudsFM

WEMA ADAIWA KUMPELEKA DIAMOND POLISI

MKALI wa filamu nchini na Miss Tanzania mwaka 2006, Wema Sepetu ‘Wema’, amemfungulia kesi ya madai mpenzi wake wa zamani ambaye ni mwanamuziki wa bongo fleva, Nassib Abdul ‘Diamond’, kwa kumtapeli kiasi cha Sh milioni 10. Kwa mujibu wa mtandao wa Shirika la Utangazaji (BBC) idhaa ya Kiswahili, Wema aliripoti madai yake kituo cha Polisi Oysterbay akidai kuwa alimpatia mwanamuziki huyo kiasi hicho kwa makubaliano ya kazi na kuahidi kumlipa, lakini amekwenda kinyume makubaliano yao.
Muhusika...

 

9 years ago

Mtanzania

Polisi mwingine adaiwa kuua kwa fimbo

NA BENJAMIN MASESE, MWANZA

ASKARI  wa Jeshi la Polisi mkoani  Mwanza,  PC Joel Francis (41)  mwenye namba F.4965 anadaiwa kumpiga Donald Magalata (30)  kwa fimbo na kumsababishia kifo.

Tukio hilo limetokea ikiwa ni wiki moja  imepita,baada ya askari   mwingine mkoani hapa Dau Elisha  mwenye namba H 852 PC  wa  kituo cha Nyamagana  kumuua askari mwenzake    PC Petro   Matiko wenye namba  H 5950 kwa risasi na baadaye kujipiga  risasi  kichwani na kufariki dunia papo hapo.

Akizungumza na...

 

10 years ago

GPL

MAHABUSU ADAIWA KUFIA KITUO CHA POLISI

Na Shani Ramadhani
MSIBA! Mwanaume aliyefahamika kwa jina la Juma Abdallah Juma (51), mkazi wa Bunju ‘B’ jijini  Dar anadaiwa kufia kwenye Kituo cha Polisi Oysterbay, Dar huku ndugu wakiibuka na madai kuwa, alipigwa na polisi wa kituo alichowekwa mahabusu, Uwazi lilifuatilia. Marehemu Juma Abdallah Juma enzi za uhai wake. Akizungumza na gazeti hili, dada wa marehemu Juma, Mwanaidi Abdallah alisema, awali,...

 

9 years ago

Mwananchi

Polisi adaiwa kumuua rafiki yake kwa kipigo

Askari wa kikosi cha Mbwa na Farasi wilayani Nyamagana mkoani Mwanza, anadaiwa kumuua rafiki yake akiwa amemfunga pingu miguuni baada ya kumtuhumu kumuibia kadi za benki na pochi.

 

10 years ago

Mtanzania

Polisi wagoma kuchangia mafuta kusafirisha mwili wa mwenzao

Na Ahmed Makongo, Bunda
POLISI wilayani Bunda, mkoani Mara, wanadaiwa kugoma kuchangia fedha za mafuta kwa ajili ya kusafirisha mwili wa askari mwenzao, Koplo Mahamudu Magasa, aliyefariki dunia baada ya kusumbuliwa na ugonjwa wa malaria kwa muda mfupi.
Mafuta hayo yalikuwa yanatakiwa kwa ajili ya kusafirisha mwili wa Koplo Mahamudu kwenda nyumbani kwako, Wilaya ya Mahenge, mkoani Morogoro.
MTANZANIA jana ilifika Kituo Kikuu cha Polisi cha Wilaya ya Bunda na kukuta umati mkubwa wa askari...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani