Polisi mwingine adaiwa kuua kwa fimbo
NA BENJAMIN MASESE, MWANZA
ASKARI wa Jeshi la Polisi mkoani Mwanza, PC Joel Francis (41) mwenye namba F.4965 anadaiwa kumpiga Donald Magalata (30) kwa fimbo na kumsababishia kifo.
Tukio hilo limetokea ikiwa ni wiki moja imepita,baada ya askari mwingine mkoani hapa Dau Elisha mwenye namba H 852 PC wa kituo cha Nyamagana kumuua askari mwenzake PC Petro Matiko wenye namba H 5950 kwa risasi na baadaye kujipiga risasi kichwani na kufariki dunia papo hapo.
Akizungumza na...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili06 Oct
Mvulana wa miaka 11 adaiwa kuua kwa sababu ya mbwa
11 years ago
Mwananchi02 Jan
Ofisa wa jeshi adaiwa kuua watu kwa risasi
10 years ago
Habarileo13 Sep
Polisi yanasa wanne kwa tuhuma za kuua kwa ujira
POLISI mkoani Kagera, inashikilia watu wanne kwa tuhuma za kukodiwa kufanya mauaji yanayohusisha imani za kishirikina.
10 years ago
Habarileo19 Aug
Mume adaiwa kuua mkewe
MWANAMKE mkazi wa kijiji cha Tuombemungu Kata ya Ugunga wilaya ya Kaliua mkoani Tabora, Mawazo Saidi, ameuawa kikatili.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NFpLPbeZNYAij3KOrIYbWE-imETQ*8lhlzz1P0daeIggMzA2HbQfj3SZEBRs7D-8vM2yEvW6evbTmFW2J3bnULfPKQd29pFk/meja.jpg?width=650)
MEJA JWTZ ADAIWA KUUA MADENTI
10 years ago
Habarileo27 Jan
Kigogo BoT kizimbani kwa jaribio kuua polisi
MSHAURI wa masuala ya ulinzi katika Benki Kuu (BoT), Shaban Ndosi (39) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashitaka ya kujaribu kumuua ofisa wa Polisi.
11 years ago
KwanzaJamii06 Aug
INSPEKTA WA POLISI MBARONI KWA TUHUMA ZA KUUA MWANAYE
9 years ago
BBCSwahili25 Nov
Polisi mzungu ashtakiwa kwa kuua tineja mweusi
11 years ago
Mwananchi01 Jul
Mfanyakazi wa ndani adaiwa kuua mwajiri wake