Ofisa wa jeshi adaiwa kuua watu kwa risasi
>Watu wawili inadaiwa wameuawa na mmoja kujeruhiwa eneo la Pugu Kinywamwezi baada ya kupigwa risasi na ofisa mmoja wa jeshi wakati walipopanda katika gari lake huku wakishangilia kuanza kwa Mwaka Mpya wa 2014.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania05 Jan
Polisi mwingine adaiwa kuua kwa fimbo
NA BENJAMIN MASESE, MWANZA
ASKARI wa Jeshi la Polisi mkoani Mwanza, PC Joel Francis (41) mwenye namba F.4965 anadaiwa kumpiga Donald Magalata (30) kwa fimbo na kumsababishia kifo.
Tukio hilo limetokea ikiwa ni wiki moja imepita,baada ya askari mwingine mkoani hapa Dau Elisha mwenye namba H 852 PC wa kituo cha Nyamagana kumuua askari mwenzake PC Petro Matiko wenye namba H 5950 kwa risasi na baadaye kujipiga risasi kichwani na kufariki dunia papo hapo.
Akizungumza na...
11 years ago
Mwananchi20 Apr
Adaiwa kuuawa kwa risasi mgodini
9 years ago
BBCSwahili06 Oct
Mvulana wa miaka 11 adaiwa kuua kwa sababu ya mbwa
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-f2kKwjtcNAI/Xn3m8E7LhaI/AAAAAAALlSc/b4cT0al0XuAaSyrFQV4tyP0K0pOzwqjqwCLcBGAsYHQ/s72-c/1bf8ccf2-4a41-4fbe-b096-b9b357137a8d.jpg)
JESHI LA POLISI DAR LAWASHIKILIA WATU WATANO WALIOMKATA MAPANGA NA KUMPORA OFISA WA SERIKALI, WALIOBIWA LAPTOP WAITWA POLISI
WATU Watano ambao ni maarufu kwa ukataji watu mapanga maeneo ya Tegeta jijini Dar es Salaam wanashikiliwa na Jeshi la Polisi baada ya kukamatwa kutokana na uporaji walioufanya katika nyumba ya Ofisa wa Serikali Victor Nelson Nyirenda ambaye kabla ya kumpora walimkata mapanga kichwani.
Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Lazaro Mambosasa amewataja watuhumiwa hao leo Machi 27,2020 kuwa ni Juma John( 27), Japhet Charles( 25), Victor ...
11 years ago
Habarileo18 Jul
Mwanafunzi adaiwa kujifanya ofisa mpelelezi
POLISI mkoani Rukwa inamshikilia mwanafunzi wa udereva katika Chuo cha Furaha Center katika eneo la Kantalamba Manispaa ya Sumbawanga mkoani hapa, Clever Simfukwe (19) kwa tuhuma za kujifanya Ofisa Mpelelezi wa Polisi katika mikoa ya Rukwa na Mbeya.
11 years ago
Habarileo17 Jan
Ofisa Ugavi adaiwa kuiba karatasi za mil. 47
OFISA Ugavi, Flora Ntubika (41) leo amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam akikabiliwa na mashitaka ya wizi wa karatasi zenye thamani ya Sh milioni 47.4. Ntubika alifikishwa mahakamani hapo jana na kusomewa mashitaka mbele ya Hakimu Mkazi, Gabriel Mirumbe.
9 years ago
Mwananchi12 Nov
Mgombea ubunge adaiwa kumshambulia ofisa wa chama chake
11 years ago
BBCSwahili14 Feb
Njama ya Nazi kuua watu kwa Malaria
10 years ago
Habarileo19 Aug
Mume adaiwa kuua mkewe
MWANAMKE mkazi wa kijiji cha Tuombemungu Kata ya Ugunga wilaya ya Kaliua mkoani Tabora, Mawazo Saidi, ameuawa kikatili.