Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mvulana wa miaka 11 adaiwa kuua kwa sababu ya mbwa

Mvulana wa umri wa miaka 11 anazuiliwa Tennessee, Marekani akituhumiwa kumuua msichana wa jirani baada ya mzozo kuhusu kitoto cha mbwa.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Polisi mwingine adaiwa kuua kwa fimbo

NA BENJAMIN MASESE, MWANZA

ASKARI  wa Jeshi la Polisi mkoani  Mwanza,  PC Joel Francis (41)  mwenye namba F.4965 anadaiwa kumpiga Donald Magalata (30)  kwa fimbo na kumsababishia kifo.

Tukio hilo limetokea ikiwa ni wiki moja  imepita,baada ya askari   mwingine mkoani hapa Dau Elisha  mwenye namba H 852 PC  wa  kituo cha Nyamagana  kumuua askari mwenzake    PC Petro   Matiko wenye namba  H 5950 kwa risasi na baadaye kujipiga  risasi  kichwani na kufariki dunia papo hapo.

Akizungumza na...

 

11 years ago

Mwananchi

Ofisa wa jeshi adaiwa kuua watu kwa risasi

>Watu wawili inadaiwa wameuawa na mmoja kujeruhiwa eneo la Pugu Kinywamwezi baada ya kupigwa risasi na ofisa mmoja wa jeshi wakati walipopanda katika gari lake huku wakishangilia kuanza kwa Mwaka Mpya wa 2014.

 

9 years ago

Habarileo

Msichana miaka 15 jela miaka 8 kwa kuua

MSICHANA wa miaka 15 (jina limehifadhiwa) amehukumiwa na Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kifungo cha miaka minane jela.

 

9 years ago

StarTV

Mtoto wa miaka 7 afariki kwa kuliwa na mbwa Mwanza

 

Wakazi wa eneo la Malimbe wilayani Nyamagana jijini Mwanza wameingiwa na taharuki baada ya mtoto mwenye umri wa miaka 7 kupoteza maisha kwa kuraruriwa na kuliwa na kundi la mbwa waliokuwa wakizagaa mtaani.

Tukio hilo limetokea Septemba 19 majira ya saa 5 asubuhi wakati mtoto huyo akielekea dukani ambapo vilisababisha taharuki kibwa miongoni mwa wakazi wa mwanzaambalo limekuwa ni geni na halijawahi kutokea kwa wengi waliolishuhudia.

 

 

Mtoto Jovina Lwegasira ambaye alikuwa anasoma elimu ya...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Mvulana wa miaka 9 avumbua njia ya kupunguza maambukizi Kenya

Mbunifu kutoka Kenya mwenye umri wa miaka tisa amevumbua njia ya kijanja na ya kipekee ya kunawa mikono, ambayo inapunguza kusambaa kwa virusi vya corona.

 

10 years ago

Habarileo

Mume adaiwa kuua mkewe

MWANAMKE mkazi wa kijiji cha Tuombemungu Kata ya Ugunga wilaya ya Kaliua mkoani Tabora, Mawazo Saidi, ameuawa kikatili.

 

11 years ago

GPL

MEJA JWTZ ADAIWA KUUA MADENTI

Stori: Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa
MKESHA wa Mwaka Mpya (2014) ulikuwa ni kilio, huzuni na majonzi kwa wakazi wa Pugu Kwamustafa, Ilala jijini Dar es Salaam kufuatia Meja wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), Rashid Musa (43) kudaiwa kuwaua kwa kuwapiga risasi hadi kufa madenti wawili na wengine watatu kujeruhiwa wakati wakisherehekea mwaka. Madenti waliouawa ni Ibrahim Mohamed (16), wa kidato cha tatu na...

 

11 years ago

GPL

MSICHANA MIAKA 10 ADAIWA KUJARIBU KUJILIPUA KWA MABOMU AFGHANISTAN

Msichana Spozhmai aliyedai kulazimishwa kuvaa mabomu na kaka yake. MSICHANA  mwenye umri wa miaka 10 aliyejulikana kwa jina mola la Spozhmai, nchini Afghanistan, anayedaiwa kutaka kujilipua kwa mabomu mbele ya kituo cha polisi, amekamatwa. Akizungumza  na waandishi wa habari huko Lashkar Gah,  mji mkuu wa jimbo la Helmand, Spozhmai  alidai kwamba kaka yake ambaye ni kamanda wa wapiganaji wa Taliban alimlazimisha...

 

11 years ago

Mwananchi

Mfanyakazi wa ndani adaiwa kuua mwajiri wake

>Karani wa Mahakama ya Wilaya ya Singida, Asha Juma(24), ameuawa kwa kuchomwa kisu na mfanyakazi wake wa ndani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani