MSICHANA MIAKA 10 ADAIWA KUJARIBU KUJILIPUA KWA MABOMU AFGHANISTAN
![](http://api.ning.com:80/files/NFpLPbeZNYABj-6AgX2u6GqKJBo8ffsIxxJYadnU4TghZbOHuUv-SvZ3NJaYGr21vj6aMw3nOFf0ftRwKIQmxijTel5800fS/bomb.jpg?width=650)
Msichana Spozhmai aliyedai kulazimishwa kuvaa mabomu na kaka yake. MSICHANA mwenye umri wa miaka 10 aliyejulikana kwa jina mola la Spozhmai, nchini Afghanistan, anayedaiwa kutaka kujilipua kwa mabomu mbele ya kituo cha polisi, amekamatwa. Akizungumza na waandishi wa habari huko Lashkar Gah, mji mkuu wa jimbo la Helmand, Spozhmai alidai kwamba kaka yake ambaye ni kamanda wa wapiganaji wa Taliban alimlazimisha...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo03 Nov
Msichana miaka 15 jela miaka 8 kwa kuua
MSICHANA wa miaka 15 (jina limehifadhiwa) amehukumiwa na Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kifungo cha miaka minane jela.
11 years ago
BBCSwahili17 Apr
Msichana aliyeteswa kinyama kwa miaka 9
9 years ago
StarTV16 Dec
Msichana miaka 18 mbaroni kwa kushawishi watoto na kufanya Biashara Ya Ngono Singida
Msichana mmoja mwenye umri wa miaka 18 anashikiliwa na Polisi mkoani Singida kwa tuhuma za kuwashawishi watoto wa kike na kuwafanyisha biashara ya ngono kwa ujira wa kati ya shilingi 3,000 na 5,000 suala ambalo ni kinyume cha sheria, ukatili na ukiukaji wa misingi ya haki za binadamu.
Mtuhumiwa huyo Mastura Saidi mkazi wa Karakana Mjini Singida amekamatwa Jumatatu hii majira ya saa mbili usiku baada ya watoto watatu mwenye umri kati ya miaka 12 na 15 kukutwa ndani ya chumba chake wakiwa na...
9 years ago
BBCSwahili06 Oct
Mvulana wa miaka 11 adaiwa kuua kwa sababu ya mbwa
11 years ago
Mwananchi06 Jun
Tajiri adaiwa kumng’ata, kumchoma pasi mtumishi wake kwa miaka mitatu
9 years ago
BBCSwahili26 Aug
Msichana wa miaka 16 akiri kuwa gaidi
10 years ago
BBCSwahili10 Jan
Msichana wa miaka kumi ajilipua Nigeria
10 years ago
BBCSwahili20 Nov
Mtoto wa miaka 3 abakwa Afghanistan
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/a8yJkYxAuz8/default.jpg)
MSICHANA WA MIAKA 21 AUAWA NA MPENZI WAKE KISHA KUMFUKIA CHINI YA KITANDA
Tukio moja lilimeibua hisia kubwa kwa wakazi wa kijiji cha Isyongo kaunti ya nyamira nchini Kenya, baada ya Polisi kufukua maiti ya msichana mmoja Feidhi Omega 21, iliyokuwa imezikwa chini ya uvungu wa kitanda.
Taarifa zinasema kuwa binti huyo alimtembelea mpenzi wake wiki mbili zilizopita lakini hakurudi nyumbani kwao ndipo mama yake alipoanza kumtafuta na kuelekezwa kwa mpenzi wake Daniel Nyabuti, huku akiwa na matumaini ya kumkuta mtoto wake akiwa hai, walipofika nyumbani kwa kijana huyo...