Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MEJA JWTZ ADAIWA KUUA MADENTI

Stori: Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa
MKESHA wa Mwaka Mpya (2014) ulikuwa ni kilio, huzuni na majonzi kwa wakazi wa Pugu Kwamustafa, Ilala jijini Dar es Salaam kufuatia Meja wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), Rashid Musa (43) kudaiwa kuwaua kwa kuwapiga risasi hadi kufa madenti wawili na wengine watatu kujeruhiwa wakati wakisherehekea mwaka. Madenti waliouawa ni Ibrahim Mohamed (16), wa kidato cha tatu na...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Askari wa JWTZ mbaroni akituhumiwa kuua wawili

Polisi Mkoa wa Ilala inamshikilia askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), mwenye cheo cha meja wa Kikosi Miguu Kibaha kwa tuhuma za kuwaua kwa kuwapiga risasi vijana wawili wakazi wa eneo la Pugu Kinyamwezi, wakati wa shamrashamra za mkesha wa mwaka mpya.

 

11 years ago

Habarileo

Mume adaiwa kuua mkewe

MWANAMKE mkazi wa kijiji cha Tuombemungu Kata ya Ugunga wilaya ya Kaliua mkoani Tabora, Mawazo Saidi, ameuawa kikatili.

 

11 years ago

Mwananchi

Mfanyakazi wa ndani adaiwa kuua mwajiri wake

>Karani wa Mahakama ya Wilaya ya Singida, Asha Juma(24), ameuawa kwa kuchomwa kisu na mfanyakazi wake wa ndani.

 

9 years ago

Mtanzania

Polisi mwingine adaiwa kuua kwa fimbo

NA BENJAMIN MASESE, MWANZA

ASKARI  wa Jeshi la Polisi mkoani  Mwanza,  PC Joel Francis (41)  mwenye namba F.4965 anadaiwa kumpiga Donald Magalata (30)  kwa fimbo na kumsababishia kifo.

Tukio hilo limetokea ikiwa ni wiki moja  imepita,baada ya askari   mwingine mkoani hapa Dau Elisha  mwenye namba H 852 PC  wa  kituo cha Nyamagana  kumuua askari mwenzake    PC Petro   Matiko wenye namba  H 5950 kwa risasi na baadaye kujipiga  risasi  kichwani na kufariki dunia papo hapo.

Akizungumza na...

 

11 years ago

Habarileo

Mlinzi EAC adaiwa kuua dereva wa Jaji

MFANYAKAZI wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki, Idara ya Mahakama (EACJ), Ibrahimu Msagati (33), amekufa baada ya kupigwa risasi ya mgongoni na anayetuhumiwa kufanya hivyo, ni Mlinzi Mkuu wa jumuiya hiyo, Jackson Oula.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mvulana wa miaka 11 adaiwa kuua kwa sababu ya mbwa

Mvulana wa umri wa miaka 11 anazuiliwa Tennessee, Marekani akituhumiwa kumuua msichana wa jirani baada ya mzozo kuhusu kitoto cha mbwa.

 

11 years ago

Mwananchi

Ofisa wa jeshi adaiwa kuua watu kwa risasi

>Watu wawili inadaiwa wameuawa na mmoja kujeruhiwa eneo la Pugu Kinywamwezi baada ya kupigwa risasi na ofisa mmoja wa jeshi wakati walipopanda katika gari lake huku wakishangilia kuanza kwa Mwaka Mpya wa 2014.

 

10 years ago

GPL

SNURA ADAIWA ADAIWA KUPORA MUME WA DAVINA

HAMIDA HASSAN
Staa wa muziki wa mduara, Snura Mushi ameingia katika tuhuma nzito akidaiwa kutoka kimapenzi na mume wa rafiki yake Halima Yahya ‘Davina’.
Kwa mujibu wa chanzo chetu makini, kwa kipindi kirefu, Snura amekuwa akionekana nyakati za usiku akiwa na mume wa Davina, wakati mwingine mwanaume huyo anaenda nyumbani kwa Snura au wawili hao kuzungumza kwa muda mrefu ndani ya gari la mwanaume huyo. Staa wa...

 

11 years ago

GPL

YES, WAKO MADENTI WANAJIUZA!

MAANKO, mnaendeleaje na masomo? Najua leo ni wikiendi nyingine baada ya kumaliza wiki nzima ya masomo. Wale wadogo wa msingi najua kaka na dada zao wameshafanya mitihani na wale wa sekondari ndiyo wako katika maandalizi ya mitihani ya mwisho wa mwaka. Mtakumbuka wiki iliyopita tulijadili juu ya tabia ya baadhi ya wanafunzi, hasa wa kiume ambao huleta vurugu zisizo na maana katika mabasi ya daladala, kama vile lugha chafu kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani