Ofisa Ugavi adaiwa kuiba karatasi za mil. 47
OFISA Ugavi, Flora Ntubika (41) leo amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam akikabiliwa na mashitaka ya wizi wa karatasi zenye thamani ya Sh milioni 47.4. Ntubika alifikishwa mahakamani hapo jana na kusomewa mashitaka mbele ya Hakimu Mkazi, Gabriel Mirumbe.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo28 Aug
Mhasibu adaiwa kuiba mil. 48/-
MHASIBU wa Kampuni ya Afro Impex Limited, Paul Tarimo (31) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni kujibu mashitaka ya wizi.
11 years ago
Habarileo06 Jun
Ofisa Masoko akidaiwa kuiba 69.8m/-
OFISA Masoko wa Kampuni ya NN General Supplies Simon Lyatuu (47) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashitaka ya wizi wa Sh milioni 69.8.
11 years ago
Habarileo18 Jul
Mwanafunzi adaiwa kujifanya ofisa mpelelezi
POLISI mkoani Rukwa inamshikilia mwanafunzi wa udereva katika Chuo cha Furaha Center katika eneo la Kantalamba Manispaa ya Sumbawanga mkoani hapa, Clever Simfukwe (19) kwa tuhuma za kujifanya Ofisa Mpelelezi wa Polisi katika mikoa ya Rukwa na Mbeya.
10 years ago
Mwananchi21 Oct
Mtumishi adaiwa kuiba dawa hospitalini
11 years ago
Habarileo06 Mar
Mganga wa kienyeji adaiwa kuiba gari
MGANGA wa kienyeji, Yahaya Michael (34) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Ilala kujibu mashitaka ya wizi wa gari.
10 years ago
Mtanzania24 Nov
… Waziri wa JK adaiwa kuiba ripoti ya CAG
![Rais Jakaya Kikwete](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Jakaya-Kikwete1.jpg)
Rais Jakaya Kikwete
Na Bakari Kimwanga, Dodoma
JOTO la kashfa ya wizi wa Sh bilioni 306 katika Akaunti ya Tegeta Escrow iliyokuwa imefunguliwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), limeendelea kupanda mjini Dodoma, huku mmoja wa mawaziri waandamizi akidaiwa kuuiba ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na kunyofoa baadhi ya kurasa kisha kuzisambaza mitaani.
Tangu kuwasilishwa kwa ripoti ya CAG bungeni wiki iliyopita, kumeibuka makundi mawili yanayokinzana moja likitaka...
9 years ago
Mwananchi12 Nov
Mgombea ubunge adaiwa kumshambulia ofisa wa chama chake
11 years ago
Mwananchi02 Jan
Ofisa wa jeshi adaiwa kuua watu kwa risasi
10 years ago
Tanzania Daima25 Oct
Adaiwa kuiba kichanga ili kulinda ndoa
JESHI la polisi mkoani Rukwa linamshikilia Magreth Juma (34), mkazi wa mtaa wa Chanji Manispaa ya Sumbawanga kwa tuhuma za wizi wa mtoto mchanga wa siku mbili. Mtuhumiwa huyo, alikamatwa...