Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Adaiwa kuuawa kwa risasi mgodini

Utata umegubika mazingira ya kifo cha Emmanuel Mtongori (20), mkazi wa Kijiji cha Rung’abure, wilayani Serengeti inayedaiwa kupigwa risasi eneo la Mgodi wa African Barrick North Mara na kufariki dunia akiwa Kituo cha Polisi Nyamongo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

BOSI ALIVYONUSURIKA KUUAWA KWA RISASI

Na Mwandishi Wetu, Kahama INASIKITISHA! Watu wasiojulikana wamemshambulia kwa risasi na mapanga Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu, Geita, Juma Kimisha na msafara wake na kusababisha kiongozi huyo kukimbizwa Hospitali ya Rufaa ya Bugando, Mwanza ili kuokoa uhai wake. Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu, Geita, Juma Kimisha akiwa Hospitali ya Wilaya ya Kahama Kitengo cha Bima. Akizungumza kwa shida katika...

 

10 years ago

GPL

KIONGOZI CHADEMA ADAIWA KUUAWA KWA LIBWATA

Na Gregory Nyankaira, Butiama LICHA ya kukataa katakata kuhusika, mwanamke aliyejulikana kwa jina la Manyaki Iseke (34), mkazi wa Kitongoji cha Mahakamani, Kijiji cha Singu wilayani Butiama, Mara ameingia katika kashfa nzito akidaiwa kumuua mumewe, Khamis Manyama (37) kwa dawa inayodaiwa ni ya kienyeji ‘limbwata’ kwa lengo la kutaka apendwe zaidi. Mkazi wa Kitongoji cha Mahakamani, Kijiji cha Singu wilayani Butiama...

 

11 years ago

Mwananchi

Ofisa wa jeshi adaiwa kuua watu kwa risasi

>Watu wawili inadaiwa wameuawa na mmoja kujeruhiwa eneo la Pugu Kinywamwezi baada ya kupigwa risasi na ofisa mmoja wa jeshi wakati walipopanda katika gari lake huku wakishangilia kuanza kwa Mwaka Mpya wa 2014.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kinara wa Nusra adaiwa kuuawa syria

Serikali imesema imemuua Kiongozi wa wapiganaji wa Nusra Front mjini Idlib

 

11 years ago

BBCSwahili

Mkereketwa apigwa risasi na kuuawa Libya

Wakili mashuhuri mkereketwa wa haki za kibinadamu nchini Libya ameuliwa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana mjini Benghazi.

 

9 years ago

BBCSwahili

Watu 5 wapigwa risasi na kuuawa Burundi

Vijana watano wamepigwa risasi na kuuawa katika mji mkuu wa Burundi Bujumbura.

 

11 years ago

Mwananchi

Mtuhumiwa adaiwa kupigwa risasi

Hali ni tete katika Kijiji cha Lang’ata Bora wilayani Mwanga kutokana na askari polisi kumpiga risasi mvuvi katika kijiji hicho jana asubuhi na kumvunja mguu, tukio lililogubikwa na utata.

 

11 years ago

Habarileo

Tanganyika adaiwa kukutwa na risasi 9

POLISI mkoani Katavi inamshikilia mkazi wa Mtaa wa Mpanda Hotel mjini hapa , Eva Tanganyika ( 72 ) kwa tuhuma za kukutwa akimiliki isivyo halali risasi tisa za moto, zinazoweza kutumika katika silaha nzito aina za SAR na SMG.

 

11 years ago

Habarileo

Mchimba madini adaiwa kujipiga risasi

MCHIMBAJI madini wa Kampuni ya TanzaniteOne iliyopo katika Mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro katika Mkoa wa Manyara, Mosses Komba (28) anadaiwa kujipiga risasi akiwa ndani ya gari.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani