KIONGOZI CHADEMA ADAIWA KUUAWA KWA LIBWATA
Na Gregory Nyankaira, Butiama LICHA ya kukataa katakata kuhusika, mwanamke aliyejulikana kwa jina la Manyaki Iseke (34), mkazi wa Kitongoji cha Mahakamani, Kijiji cha Singu wilayani Butiama, Mara ameingia katika kashfa nzito akidaiwa kumuua mumewe, Khamis Manyama (37) kwa dawa inayodaiwa ni ya kienyeji ‘limbwata’ kwa lengo la kutaka apendwe zaidi. Mkazi wa Kitongoji cha Mahakamani, Kijiji cha Singu wilayani Butiama...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi20 Apr
Adaiwa kuuawa kwa risasi mgodini
10 years ago
BBCSwahili06 Mar
Kinara wa Nusra adaiwa kuuawa syria
10 years ago
BBCSwahili14 Nov
Utata kuhusu kuuawa kiongozi wa IS
10 years ago
Mtanzania26 Jan
ACT walia kiongozi wao kuuawa
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
CHAMA cha ACT-Tanzania kimelitaka Jeshi la Polisi nchini kuwasaka na kuwafikisha kwenye vyombo vya sheria wote waliohusika na tukio la mauaji ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Kitongoji cha Masigo wilayani Mlele mkoani Katavi, Christian Kahongo.
Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa jana na Katibu Mkuu wa ACT-Tanzania, Samson Mwigamba, ilieleza kuwa chama hicho kinalaani mauaji hayo ya kinyama ambayo hayaendani na haki za binadamu.
Alisema walimkata kichwa na...
10 years ago
Mwananchi25 May
TAFRANI BURUNDI: Hofu yatanda kuuawa kiongozi wa upinzani
10 years ago
VijimamboACT Walia Kiongozi wao Kuuawa......Ni yule Aliyechinjwa Kinyama na Kupikwa kwenye Sufuria kama Nyama ya Kuku
10 years ago
Mtanzania27 Feb
Diwani Chadema adaiwa kumpiga mjamzito
Asifiwe George na Veronica Romwald, Dar es Salaam
DIWANI wa Kata ya Saranga wilayani Kinondoni, Ephraim Kinyafu (CHADEMA) anadaiwa kumshambulia kwa mateke na fimbo, Aisha Mosses, ambaye ni mjamzito akimtuhumu kuwa ni mamluki.
Tukio hilo lilitokea jana katika Mtaa wa Saranga ambako hatua ya uandikishaji wananchi kwa ajili ya kurudia uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao awali ulivurugika, lilikuwa likiendelea.
Akizungumza na MTANZANIA shuhuda wa tukio hilo, Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
9 years ago
Mtanzania27 Oct
Kiongozi CCM atibuana na mgombea Chadema
NA DEBORA SANJA, DODOMA
KATIBU wa Uchumi na Fedha wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Dodoma, Rashid Morama, juzi alizua hali ya kutoelewana kati yake na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Dodoma Mjini, kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Benson Kigaila.
Tukio hilo lilitokea juzi katika kituo cha kupigia kura mjini Dodoma, baada ya Morama kuingia kituoni hapo akiwa na waangalizi wawili wa uchaguzi kutoka nje ya nchi.
Kabla ya hali hiyo kutokea, Kigaila aliingia kituoni hapo...
11 years ago
GPLKIONGOZI WA CHADEMA KANDA YA MAGHARIBI ASHAMBULIWA