Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Diwani Chadema adaiwa kumpiga mjamzito

DiwaniAsifiwe George na Veronica Romwald, Dar es Salaam
DIWANI wa Kata ya Saranga wilayani Kinondoni, Ephraim Kinyafu (CHADEMA) anadaiwa kumshambulia kwa mateke na fimbo, Aisha Mosses, ambaye ni mjamzito akimtuhumu kuwa ni mamluki.
Tukio hilo lilitokea jana katika Mtaa wa Saranga ambako hatua ya uandikishaji wananchi kwa ajili ya kurudia uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao awali ulivurugika, lilikuwa likiendelea.
Akizungumza na MTANZANIA shuhuda wa tukio hilo, Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Naibu Spika adaiwa kumpiga mgombea CCM

Dodoma. Kampeni za wagombea ubunge wa Jimbo la Kongwa juzi zilikumbwa na tafrani baada ya Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai kudaiwa kumchapa fimbo na baadaye kumpiga ngumi mgombea mwenzake aliyeanguka na kuzirai.

 

10 years ago

GPL

MADAI: CHID BENZ ADAIWA KUMPIGA PAPARAZI

Na Shani Ramadhani na Chande Abdallah
NYOTA wa muziki wa Bongo Fleva, Rashid Makwiro ‘Chid Benz’ anadaiwa kumpiga paparazi (wa blogu moja maarufu) kwa madai ya kuwa aliwahi kumpiga picha akiwa mahakamani kipindi alipokamatwa na dawa za kulevya. ‘Chid Benz’ akiwa mahakamani kipindi alipokamatwa na dawa za kulevya. Tukio hilo lilitokea Jumapili katika Ukumbi wa Maisha Club, jijini Dar, ambapo Kundi la...

 

10 years ago

Mwananchi

Shy-Rose adaiwa kumpiga mbunge mwenzake Nairobi

Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki (Eala), Shy-Rose Bhanji ameingia katika mgogoro mpya baada ya kutuhumiwa kumpiga mbunge mwenzake kutoka Tanzania, Dk Nderakindo Kessy jijini Nairobi, Kenya.

 

10 years ago

GPL

RIHANNA ADAIWA KUWA MJAMZITO

Mwanamuziki Rihanna anayedaiwa kuwa mjamzito. TOVUTI ya MediaTakeOut imesema mwanamuziki Rihanna ni mjamzito asilimia 100 na ina vithibitisho kuhusu taarifa hiyo na kama siyo kweli watatoa Dola za Kimarekani 10,000. Katika ripoti iliyotolewa na tovuti hiyo, inadaiwa kuwa Rihanna ni mjamzito na walipata taarifa hizo jana huku wakieleza kuwa si tetesi taarifa hizo ni za uhakika asilimia… ...

 

9 years ago

Habarileo

Diwani Chadema mbaroni

DIWANI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kata ya Mbuga, tarafa ya Mwaya wilayani Ulanga mkoani Morogoro, Mussa Madona, na wenzake sita wametiwa mbaroni na Polisi na kufikishwa mahakamani kwa tuhuma za kuchoma moto nyumba sita za wananchi wa kijiji cha Iputi.

 

10 years ago

Habarileo

Diwani wa Chadema apongeza serikali

DIWANI wa Kata ya Kilagano Halmashauri ya Wilaya ya Songea Vijijini (Chadema), Batholomew Mkwera, amepongeza serikali kwa kumaliza kero mbalimbali katika kata yake.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Diwani CHADEMA akemea uhalifu

DIWANI wa Ilomba, Dickson Mwakilasa (CHADEMA) amesema vitendo vya uhalifu vinavyofanywa havipaswi kufumbiwa macho na wazazi wana wajibu wa kukemea tabia hiyo. Mwakilasa alitoa rai hiyo alipotoa kauli hiyo mjini...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Diwani CHADEMA awashukia viongozi

MWENYEKITI wa Madiwani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Kinondoni, Boniface Jacob amewashukia baadhi ya viongozi wa manispaa hiyo na mkoa wa Dar es Salaam, kwa kutoa...

 

11 years ago

Mwananchi

Diwani Chadema akisaliti chama

Diwani wa Kata ya Masoko, Mbeya Vijijini kupitia Chadema, Edward Mwampamba , juzi alikiweka njiapanda chama chake baada ya kujitoa katika kuwania nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri na kumsifia mgombea wa CCM kwamba anafaa kupewa kura zote.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani