MADAI: CHID BENZ ADAIWA KUMPIGA PAPARAZI
![](http://api.ning.com:80/files/jbaar29oQX4C3Rvebol77DFeyhzl9UaUzTpOGNYmsLb6l9SB2t6lrqxD75j1arwE0DP-hvqxqyJrmBWFsfmV*JVHQSr5hu8c/Chid.jpg)
Na Shani Ramadhani na Chande Abdallah NYOTA wa muziki wa Bongo Fleva, Rashid Makwiro ‘Chid Benz’ anadaiwa kumpiga paparazi (wa blogu moja maarufu) kwa madai ya kuwa aliwahi kumpiga picha akiwa mahakamani kipindi alipokamatwa na dawa za kulevya. ‘Chid Benz’ akiwa mahakamani kipindi alipokamatwa na dawa za kulevya. Tukio hilo lilitokea Jumapili katika Ukumbi wa Maisha Club, jijini Dar, ambapo Kundi la...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo507 Nov
Chid Benz na Fid Q kufanya album ya pamoja, Chid aizungumzia project hiyo
10 years ago
Daily News29 Oct
Chid Benz remanded in custody
Daily News
FAMOUS local hip-hop musician Rashid Abdallah Makwiro, alias Chid Benz (29), was remanded in custody by the Kisutu Resident Magistrate's Court, after failing to meet bail conditions. The gruff-voiced rapper, who is behind hits like 'Dar es Salaam Stand ...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Jlj7Yacjzg3*Iyvt90DSt5oT20Lf6U4hQjUZP8Q9QGKLl7Ba9HNopUt0VXWvUSXeDCKIuek51EB2qvq0z85a*SGDrfCArDwR/chdi.jpg)
CHID BENZ AMPIGA RAY C
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/t08dki1KeXxtOkoWb29F5XAIMFNqbYELYR3EwR2enU4DJHMB67IUkpZJts*gJNzqE5BipzhWA1oLW5*acPst-q6VE78PnGfk/10.jpg)
CHID BENZ NA USTAA PORI
10 years ago
Dewji Blog26 Feb
Chid Benz huru mtaani
Na modewji blog team
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mapema ya leo imemwachia huru mwanamuziki Rashid Makwilo ‘Chid Benz’ (pichani) baada ya kulipa faini ya sh. 900,000 kufuatia kukamatwa akiwa na madawa ya kulevya.
Chid Benz alikamatwa mwaka jana katika Uwanja wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam akiwa na madawa ya kulevya, ikiwemo misokoto ya bangi. Mwanamuziki huyo ambaye alikiri kosa hilo wiki iliyopita, alikamatwa uwanjani hapo akiwa anajitayarisha kupanda...
10 years ago
Mwananchi12 Nov
Chid Benz atimuliwa mahakamani
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mL7vEimd6q18WWmuLciGMDfabcV0zeQmeh93pOivfHeJlznQw*uIBmjpmHOqWgelKsQVxXz7cda26Sfv1GDvxRDCLieVRu4X/CHID.jpg?width=650)
ALIYEPIGWA NA CHID BENZ MAHUTUTI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
KESI YA CHID BENZ YAHIRISHWA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
KESI YA CHID BENZ YAAHIRISHWA