Kigogo BoT kizimbani kwa jaribio kuua polisi
MSHAURI wa masuala ya ulinzi katika Benki Kuu (BoT), Shaban Ndosi (39) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashitaka ya kujaribu kumuua ofisa wa Polisi.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi12 Sep
Watanzania kwenda jela SA kwa jaribio la kuua
9 years ago
Habarileo08 Dec
Kizimbani kwa mashitaka ya kuua mfanyabiashara
WATU Wawili wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu kwa tuhuma za mauaji ya mfanyabiashara wa mifugo mjini Maswa, Robert Dwese (43).
9 years ago
Mtanzania15 Aug
Kigogo BoT aachiwa huru
NA VERONICA ROMWALD, DAR ES SALAAM
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia huru aliyekuwa Naibu Mkurugenzi wa Mifumo na Huduma wa
Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Simon Jengo, aliyekuwa akikabiliwa na shtaka la matumizi mabaya ya ofisi kwa kununua mashine 26 za kuharibu noti.
Kesi hiyo ilianza kusikilizwa mahakamani hapo Januari 30, 2012, chini ya Hakimu Ritha Tarimo, Wakili wa Serikali Fredrick Manyanda, aliyekuwa akisaidiwa na Ben Lincoln pamoja na Shadrack Kimaro.
Katika shtaka hilo, Jengo...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-4ufkKvtc-1I/VVohLeKZ54I/AAAAAAAHYIM/y20D4E2BYRY/s72-c/download.jpg)
Maofisa wanane wa Benki Kuu Tanzania (BOT) kizimbani kwa mashitaka 14 ya kufoji vyeti vya kidato cha nne
![](http://1.bp.blogspot.com/-4ufkKvtc-1I/VVohLeKZ54I/AAAAAAAHYIM/y20D4E2BYRY/s640/download.jpg)
11 years ago
Mwananchi03 Feb
Kigogo wa zamani BOT atupiwa vyombo nje
10 years ago
Dewji Blog19 Jan
Madiwani Iramba wataka Jeshi la Polisi kuwasaka waliofanya jaribio la kumuua DED kwa bomu
Katibu wa madiwani wa CCM wilaya ya Iramba na diwani wa kata ya Urughu, Simon Tyosela, akizungumza na waandishi wa habari juu ya tamko lao la kulaani vikali jaribio la kutaka kumuawa Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Iramba, Halima Mpita Januari 2 mwaka huu saa 1.15 asubui akiwa nyumbani kwake.(Picha na Nathaniel Limu).
Na Nathaniel Limu, Singida
MADIWANI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Iramba mkoa wa Singida,wamelaani vikali jaribio la kutaka kumuawa kwa bomu mkurugenzi...
11 years ago
Mwananchi12 Jan
Waumini Kigogo waswali kwa awamu chini ya ulinzi wa polisi
10 years ago
Mtanzania18 Mar
Manji ampandisha kizimbani kigogo Simba
NA KULWA MZEE, DAR ES SALAAM
UPINZANI wa watani wa jadi, Simba na Yanga umehamia mahakamani baada ya Mwenyekiti wa Yanga, Yusuph Manji, kumpandisha kizimbani Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Simba, Musleh Al Rawah, akidaiwa kumpiga mwanaye.
Mjumbe huyo wa Simba alipandishwa kizimbani jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mbele ya Hakimu Mkazi, Frank Moshi, alisomewa shtaka la kumjeruhi mtoto wa Manji, Mehboob Manji.
Akisoma hati ya mashtaka, Wakili wa Serikali, Genis Tesha, alidai kuwa...
10 years ago
Habarileo13 Sep
Polisi yanasa wanne kwa tuhuma za kuua kwa ujira
POLISI mkoani Kagera, inashikilia watu wanne kwa tuhuma za kukodiwa kufanya mauaji yanayohusisha imani za kishirikina.