Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Manji ampandisha kizimbani kigogo Simba

NA KULWA MZEE, DAR ES SALAAM

UPINZANI wa watani wa jadi, Simba na Yanga umehamia mahakamani baada ya Mwenyekiti wa Yanga, Yusuph Manji, kumpandisha kizimbani Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Simba, Musleh Al Rawah, akidaiwa kumpiga mwanaye.

Mjumbe huyo wa Simba alipandishwa kizimbani jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mbele ya Hakimu Mkazi, Frank Moshi, alisomewa shtaka la kumjeruhi mtoto wa Manji, Mehboob Manji.

Akisoma hati ya mashtaka, Wakili wa Serikali, Genis Tesha, alidai kuwa...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Kigogo BoT kizimbani kwa jaribio kuua polisi

MSHAURI wa masuala ya ulinzi katika Benki Kuu (BoT), Shaban Ndosi (39) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashitaka ya kujaribu kumuua ofisa wa Polisi.

 

10 years ago

GPL

SUALA LA OKWI KUSAINI SIMBA, MANJI ACHARUKA

Manji akizungumza na wanahabari (hawapo pichani). Wanahabari wakisikiliza kwa makini.…

 

10 years ago

Michuzi

MJUMBE wa kamati ya utendaji ya Simba apandishwa kizimbani

MJUMBE wa kamati ya utendaji ya Simba, Musleh Al Rawah amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijin Dar es salaam leo kwa shtaka la kumjeruhi mtoto wa mwenyekiti  wa Yanga, Yusuph Manji.
 Akisoma hati ya mashtaka, Wakili wa Serikali, Genis Tesha alidai kuwa Al  Rawah alifanya kosa hilo, Machi 8, 2015 kwenye Uwanja wa Taifa uliopo Chang'ombe .
Tesha alidai kuwa siku hiyo ya tukio, mshtakiwa Al Rawah alimpiga teke Meheub Manji na katika sehemu nyingine mbalimbali za mwili...

 

10 years ago

BBCSwahili

Blatter ampandisha cheo Issa Hayatou

Sepp Blatter amemtangaza Issa Hayatou mkuu wa shirikisho la Caf kama naibu mkuu wa rais wa shirikisho la soka duniani.

 

10 years ago

CloudsFM

CYRIL AMPANDISHA NDEGE PRODUCER WAKE BAADA YA KUGONGEWA NGOMA KALI

Hivi karibuni msanii wa Hip Hop Bongo,Cyril Kamikaze aliwashangaza watu kwa kumpa ofa producer wake Geoff Master wa studio ya Tongwe Records baada kupigiwa biti ya ngoma flani ambayo haijatoka, cyril alimpeleka mjini Zanzibar Geoff Master kwa siku kama nne kwa ajili ya mapumziko kama shukrani ya kumfanyia ngoma.‘’Nimeamua kumpeleka producer wangu mjini Zanzibar kwa mapumziko kama shukrani ya kunifanyia ngoma kali ingawa sijajua kama itafanya vizuri au haitafanya vizuri lakini ni ngoma...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI AMPANDISHA CHEO MKUU WA JKT, MEJA JENERALI CHARLES MBUGE

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jenerali Venance Mabeyo, kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. John Pombe Magufuli akimvalisha cheo kipya, Meja Jenerali Charles Mbuge, baada ya kupandishwa cheo leo tarehe 3 Jun 2020 Makao Makuu ya JWTZ ya Muda yaliyopo Msalato Jijini Dodoma.Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jenerali Venance akimpongeza Meja Jenerali Charles Mbuge muda mfupi baada ya kumvalisha cheo kipya cha Meja Jenerali, leo tarehe 3 Jun...

 

10 years ago

Michuzi

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA AMPANDISHA CHEO CHA SAJIN WA MAGEREZA ASKARI WA KIKE, MWANARIADHA WA KIMATAIFA JIJINI DAR

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, John Casmir Minja akimvisha cheo cha Sajin wa Magereza, Askari Mwanariadha wa Kimataifa, CPL. Catherina Lange(hivi sasa cheo cha sajin) wa Gereza Kuu Arusha ambaye ambaye hushiriki mashindano mbalimbali ya riadha ya Kitaifa na Kimataifa hivyo kuliletea sifa Jeshi la Magereza na Taifa kwa ujumla. hafla hiyo imefanyika leo Januari 13, 2015 katika Ofisi za Makao Makuu ya Jeshi la Magereza, Jijini Da res Salaam.Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, John...

 

10 years ago

Vijimambo

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA JOHN MINJA AMPANDISHA CHEO CHA SAJIN WA MAGEREZA ASKARI WA KIKE, MWANARIADHA WA KIMATAIFA JIJINI DAR

  Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, John Casmir Minja akimvisha cheo cha Sajin wa Magereza, Askari Mwanariadha wa Kimataifa,  CPL. Catherina Lange(hivi sasa cheo cha sajin) wa Gereza Kuu Arusha ambaye ambaye hushiriki mashindano mbalimbali ya riadha ya Kitaifa na Kimataifa hivyo kuliletea sifa Jeshi la Magereza na Taifa kwa ujumla. hafla hiyo imefanyika leo Januari 13, 2015 katika Ofisi za Makao Makuu ya Jeshi la Magereza, Jijini Da res Salaam.
 Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza,...

 

11 years ago

Mwananchi

Manji ajibu mapigo

>Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji amewashangaa wanachama wanaopinga uongozi wake kukaa madarakani kwa mwaka mmoja zaidi na kuwataka kujiorodhesha watakapofikia 1560 atakuwa tayari kuitisha mkutano ili kujiuzulu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani