Manji ajibu mapigo
>Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji amewashangaa wanachama wanaopinga uongozi wake kukaa madarakani kwa mwaka mmoja zaidi na kuwataka kujiorodhesha watakapofikia 1560 atakuwa tayari kuitisha mkutano ili kujiuzulu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima10 Jul
Sugu ajibu mapigo ya CCM
BAADA ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), kumshambulia Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi (CHADEMA), ukimuita mpangaji katika jimbo hilo, amewajibu akisema kuwa wanaota ndoto za mchana....
9 years ago
Vijimambo21 Sep
Kiiza ajibu mapigo Yanga
![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/HAMISI-KIIZA.jpg?width=650)
Yanga juzi iliifunga JKT Ruvu mabao 4-1 na kufikisha pointi tisa, sawa na Simba zikiwa zimetofautiana uwiano wa mabao. Mechi hiyo ilianza kwa kushambuliana kwa zamu na Kiiza...
11 years ago
Tanzania Daima08 Aug
Chiku Abwao ajibu mapigo
MBUNGE wa Viti Maalum, Chiku Abwao (Chadema), amewashukia wanaomzushia kuwa amewasaliti wenzake wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), na kuhudhuria vikao vya Bunge Maalum la Katiba linaloendelea mjini hapa....
11 years ago
Tanzania Daima17 Jul
Mchungaji Msigwa ajibu mapigo
WAZIRI Kivuli wa Maliasili na Utalii, Mchungaji Peter Msigwa, amewataka wamiliki wa Kampuni ya uwindaji ya kitalii ya Green Mile Safari Ltd (GMS), wajibu hoja za msingi dhidi ya tuhuma...
9 years ago
Mwananchi30 Aug
Sumaye ajibu mapigo ya CCM
9 years ago
Habarileo06 Sep
Slaa acharuka, ajibu mapigo ya Chadema
ALIYEKUWA Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk Wilbrod Slaa amejitokeza hadharani kwa mara nyingine na kujibu watu waliojitokeza kuponda hotuba yake, aliyoitoa hivi karibuni kuwa hawana hoja zaidi ya kumtukana.
11 years ago
Habarileo06 Aug
Sitta ajibu mapigo, Ukawa wabanwa
MWENYEKITI wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, amejibu mapigo ya wanaozungumzia mchakato wa Katiba mpya nje ya Bunge Maalumu. Amesema Bunge hilo lipo kihalali na lina haki ya kujadili na hata kuongeza sura, ili kuifanya Katiba kuwa imara na yenye kujibu matakwa ya wananchi.
10 years ago
Mtanzania25 Feb
Jaji Lubuva ajibu mapigo ya Ukawa BVR
Mauli Muyenjwa na Maneno Selanyika, Dar es Salaam
MWENYEKITI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva, amewataka wanasiasa waache kutumia changamoto za mfumo wa kielektroniki wa uandikishaji wapigakura (Biometric Voter Registration-BVR) ili kujipatia umaarufu wa kisiasa.
Kauli hiyo ya Jaji Lubuva imekuja siku chache baada ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, kumuonya na kudai kamwe chama chake hakitakubaliana na vitendo vya hujuma ambavyo...
10 years ago
Bongo Movies11 Apr
Diamond Atoa Kiapo, Wema Ajibu Mapigo
Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platinumz’ amefungukia msimamo wake juu ya mwandani wake wa zamani, Wema Sepetu ‘Madam’ kwa kusema kuwa kamwe hawezi kumrudia tena.
Licha ya Diamond kufunguka hayo, wawili hao wamekuwa na mapenzi ya vipindi, kuna wakati waliwahi kumwagana kisha kurudiana na hakuna aliyewahi kutoa tamko zito lakini safari hii Diamond amesema ndiyo basi tena!
Kwa mujibu wa chanzo makini cha gazeti la Risasi kilicho karibu na staa huyo, mara kwa mara Diamond amekuwa...