MJUMBE wa kamati ya utendaji ya Simba apandishwa kizimbani
MJUMBE wa kamati ya utendaji ya Simba, Musleh Al Rawah amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijin Dar es salaam leo kwa shtaka la kumjeruhi mtoto wa mwenyekiti wa Yanga, Yusuph Manji.
Akisoma hati ya mashtaka, Wakili wa Serikali, Genis Tesha alidai kuwa Al Rawah alifanya kosa hilo, Machi 8, 2015 kwenye Uwanja wa Taifa uliopo Chang'ombe .
Tesha alidai kuwa siku hiyo ya tukio, mshtakiwa Al Rawah alimpiga teke Meheub Manji na katika sehemu nyingine mbalimbali za mwili...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi24 Feb
Malinzi Ajitambulisha Rasmi Kwa Rais wa CAF, Issa Hayatou Jijini Cairo,Misri Akisindikizwa na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya CAF Leodegar Tenga
![](https://2.bp.blogspot.com/-UVYPyQ-02Z4/Uwntlg7YtPI/AAAAAAACp4c/H4-evbCksrM/s1600/20140221_100321.jpg)
![](https://4.bp.blogspot.com/-zesdCzfmPaI/UwntlSoUZjI/AAAAAAACp4g/jv48jcDs1LA/s1600/20140221_100343.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-cqs6dTfvgKg/U24SL18ahJI/AAAAAAAFgrM/REydt2k67n0/s72-c/unnamed+(3).jpg)
Mdau Alfred Martin Elia achukua fomu ya kugombea ujumbe wa kamati ya utendaji wa Simba Sports Club
![](http://1.bp.blogspot.com/-cqs6dTfvgKg/U24SL18ahJI/AAAAAAAFgrM/REydt2k67n0/s1600/unnamed+(3).jpg)
11 years ago
Mtanzania06 Aug
Mansour apandishwa kizimbani
![Aliyekuwa Mwakilishi wa Kiembe Samaki, Mansour Yusuf Himid](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Mansour-Yusuf-Himid.jpeg)
Aliyekuwa Mwakilishi wa Kiembe Samaki, Mansour Yusuf Himid
Na Is-haka Omar, Zanzibar
ALIYEKUWA Mwakilishi wa Kiembe Samaki, Mansour Yussuf Himid, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Mkoa Vuga, akituhumiwa kutenda makosa matatu likiwemo la kukutwa na silaha pamoja na risasi kinyume cha sheria.
Akimsomewa mashitaka hayo jana mbele ya Hakimu Khamis Ramadhani, Mwendesha mashtaka wa Serikali, Maulid Ali, alisema Agosti 2, mwaka huu saa 7:18 katika eneo la Chukwani mjini Unguja, ...
10 years ago
GPLSLIM APANDISHWA KIZIMBANI
11 years ago
Mwananchi19 Jan
‘Muuaji’ wa Dk Mvungi apandishwa kizimbani
11 years ago
Habarileo20 May
Ofisa NHIF apandishwa kizimbani
OFISA wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Godius Masilango, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashitaka ya kusababisha hasara ya Sh milioni 51.
10 years ago
Mwananchi26 Nov
Mkosamali apandishwa kizimbani Kigoma
10 years ago
GPLCHIDI BENZ APANDISHWA KIZIMBANI KISUTU
10 years ago
Dewji Blog17 Dec
Mbunge wa Arumeru Mashariki apandishwa kizimbani
Mbunge wa jimbo la Arumeru mashariki Joshua Nasari ,(CHADEMA).
Na Mahmoud Ahmad, Arusha
MBUNGE wa jimbo la Arumeru mashariki Joshua Nasari ,(CHADEMA)anatarajiwa kufikishwa mahakamani leo kutokana na kutumia silaha na kisha kumteka mtendaji wa kata ya Makiba, na kuchoma bendera za chama cha Mapinduzi katika maeneo mbalimbali wilayani Meru.
Kamanda wa Jeshi la polisi mkoa wa Arusha Liberatus Sabas, amesema tukio hilo limetokea Desemba 14 mwaka huu wakati mbunge huyo alipokuwa akifuatilia...