LOWASSA ADHIBITIWA NA POLISI MSIBANI
![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/08/LOWASSA11.jpg)
Na Mwandishi Wetu, Moshi Waziri Mkuu wa Zamani, Edward Lowassa jana alidhibitiwa na polisi wakati alipokuwa akienda kwenye msiba wa marehemu Peter Kisumo ambaye alizikwa jana katika Kijiji cha Kighare mkoani Kilimanjaro. Lowassa na msafara wake akiwa na viongozi wa kisiasa akiwemo Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi James Mbatia, mbunge aliyemaliza muda wake wa Jimbo la Moshi Mjini, Philemon Ndesamburo, ulizuiliwa na polisi baada ya...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo15 Aug
Polisi: Lowassa alisusa kwenda msibani
POLISI mkoani Kilimanjaro imekanusha madai ya kumzuia mgombea urais anayeungwa mkono na vyama vinne vya upinzani vinavyounda kundi la Ukawa, Edward Lowassa, asihudhurie maziko ya mwanasiasa mkongwe, Peter Kisumo yaliyokuwa yakifanyika wilayani Mwanga.
11 years ago
Mwananchi01 Feb
Polisi adaiwa kuomba ‘mafuta’ msibani
10 years ago
GPLMSIBANI WA MTOTO ALIYEFIA KITUO CHA POLISI
9 years ago
Mtanzania23 Nov
Polisi wamtisha Lowassa
Na Frederick Katulanda, Mwanza
ALIYEKUWA mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Edward Lowassa ameonekana kutishwa na nguvu kubwa inayotumiwa na polisi kudhibiti wafuasi wa chama hicho.
Lowassa amesema anashangazwa na jeshi hilo kumwaga askari wengi wakati wa kuaga mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Geita, marehemu Alphonce Mawazo.
Alikuwa akizungumza na waandishi wa habari mjini Mwanza jana.
Alisema kitendo cha polisi kudhibiti wafuasi wa...
9 years ago
Mzalendo Zanzibar26 Aug
Polisi: Lowassa mwiko mitaani
Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA, Edward Lowassa akishuka kwenye daladala katika viunga vya Dar es Salaam, katika kujifunza shida na changamoto za maisha wanazokumbana nazo wananchi wa mji wa Dar es Salaam pia, ni sehemu […]
The post Polisi: Lowassa mwiko mitaani appeared first on Mzalendo.net.
9 years ago
Mwananchi14 Aug
Polisi yazuia msafara wa Lowassa
9 years ago
Mtanzania14 Aug
Polisi wamzuia Lowassa kuzika
Na Waandishi Wetu
MGOMBEA urais wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, amepata kashikashi baada ya polisi kumzuia kumzika mwasisi wa Chama cha TANU na CCM, Peter Kisumo, kwa madai kuwa wamepata maagizo kutoka juu.
Msafara wa Lowassa ulioanzia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), ulikutana na kizuizi cha polisi katika Kijiji cha Maroro, kilomita moja kutoka Mwanga kuelekea Ugweno, ambako Kisumo alizikwa...
9 years ago
Mzalendo Zanzibar22 Oct
Lowassa atishia kuwaburuza Polisi ICC.
Mgombea wa urais kupitia Chadema, Edward Lowassa. NA JACQUELINE MASSANO 22nd October 2015 Mgombea wa urais kupitia Chadema, Edward Lowassa, jana alihitimisha kampeni zake mkoani hapa huku akiwatahadharisha vigogo wa Jeshi la Polisi kuwa waache ubabe […]
The post Lowassa atishia kuwaburuza Polisi ICC. appeared first on Mzalendo.net.
9 years ago
Mzalendo Zanzibar26 Aug
Polisi wapiga marufuku maandamano ya Lowassa:
Polisi Dar yapiga marufuku ziaza za ‘mitaani’ za wagombea Urais: Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limepiga marufuku wagombea Urais wa Tanzania 2015 kufanya mikusanyiko isiyokuwa rasmi kutembelea vituo vya daladala, bodaboda au […]
The post Polisi wapiga marufuku maandamano ya Lowassa: appeared first on Mzalendo.net.