Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polisi: Lowassa mwiko mitaani

Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA, Edward Lowassa akishuka kwenye daladala katika viunga vya Dar es Salaam, katika kujifunza shida na changamoto za maisha wanazokumbana nazo wananchi wa mji wa Dar es Salaam pia, ni sehemu […]

The post Polisi: Lowassa mwiko mitaani appeared first on Mzalendo.net.

Mzalendo Zanzibar

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Polisi wasambaratisha utafiti wa wagombea urais mitaani

Wakati tafiti za kienyeji zenye lengo la kupima kukubalika kwa wagombea urais, hasa Dk John Magufuli na Edward Lowassa zikizidi kuongezeka, polisi jijini hapa mwishoni mwa wiki walitumia nguvu kutawanya vijana waliokuwa wakiendesha kura za maoni kwenye stendi ndogo ya mabasi na soko kuu.

 

10 years ago

GPL

Maximo: Nitavunja mwiko

Kocha wa Yanga, Marcio Maximo. Na Wilbert Molandi
KOCHA wa Yanga, Marcio Maximo, amepewa ripoti kamili kuwa timu yake itafungua msimu wa 2014/15 kwa kukipiga na Mtibwa Sugar katika Ligi Kuu Bara, ambapo ameambiwa kuwa hao ni wapinzani wao wagumu na wameisumbua Yanga kwa miaka miwili iliyopita. Maximo ameipokea ripoti hiyo kwa mikono miwili na kusema kuwa, atauvunja mwiko huo wa kuwa Mtibwa ni wagumu na wameonekana kuwa kiboko...

 

11 years ago

Mwananchi

Yanga yavunja mwiko

Mabingwa wa Tanzania Bara, Yanga wameituliza Al Ahly ya Misri baada ya kuichapa bao 1-0 katika mechi ya kwanza ya raundi ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika iliyochezwa jana kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

 

9 years ago

Mtanzania

Polisi wamtisha Lowassa

Pg 2Na Frederick Katulanda, Mwanza

ALIYEKUWA mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Edward Lowassa ameonekana kutishwa na nguvu kubwa inayotumiwa na   polisi kudhibiti wafuasi wa chama hicho.

Lowassa  amesema anashangazwa na jeshi hilo kumwaga askari wengi wakati wa kuaga mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Geita, marehemu Alphonce Mawazo.

Alikuwa akizungumza na waandishi wa habari mjini Mwanza jana.

Alisema kitendo cha polisi  kudhibiti wafuasi wa...

 

9 years ago

Mwananchi

Stars kuvunja mwiko Algeria

Waswahili wanasema yaliyopita si ndwele, tugange yajayo, pia historia ni muhimu kwa ajili ya mustakabali wa mambo yanayokuja.

 

9 years ago

Habarileo

Simba yavunja mwiko Tanga

TIMU ya Simba ya Dar es Salaam jana ilianza vizuri kampeni zake za Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kuifunga African Sports kwa bao 1-0 katika mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Filamu ya ‘Mwiko’ yanukia sokoni

MUVI mpya ya kitanzania inayokwenda kwa jina la ‘Mwiko’ inatarajiwa kuingia sokoni mwanzoni mwa mwezi ujao, ikiwa imekusanya nyota kibao wanaotikisa katika tasnia hiyo. Mkurugenzi wa OJM Film Company, Omary...

 

9 years ago

Mwananchi

Polisi yazuia msafara wa Lowassa

Jeshi la Polisi, jana liliuzuia msafara wa mgombea urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa kwenda Usangi, wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro kushiriki mazishi ya kada wa CCM, Peter Kisumo, likitaka kupunguzwa kwa idadi ya watu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani