Polisi wasambaratisha utafiti wa wagombea urais mitaani
Wakati tafiti za kienyeji zenye lengo la kupima kukubalika kwa wagombea urais, hasa Dk John Magufuli na Edward Lowassa zikizidi kuongezeka, polisi jijini hapa mwishoni mwa wiki walitumia nguvu kutawanya vijana waliokuwa wakiendesha kura za maoni kwenye stendi ndogo ya mabasi na soko kuu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania29 Oct
Polisi Kagera wasambaratisha wafuasi wa Mdee kwa mabomu
![Halima Mdee](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/10/Halima-Mdee.jpg)
Halima Mdee
Na Mwandishi Wetu, Kyerwa
JESHI la Polisi Wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera limetumia mabomu ya machozi kutawanya wananchi waliojitokeza kumpokea Mwenyekiti wa Taifa wa Baraza la Wanawake wa Chadema (Bawacha), Halima Mdee.
Walilazimika kutumia mabomu wakati Mdee alipokuwa anakwenda kusaini kitabu cha wageni kwenye ofisi za chama hicho.
Mbali na kutumia mabomu, jeshi hilo limezuia mikutano yote iliyokuwa ihutubiwe na Mdee jana kwa madai ya kupata taarifa za kiitelijensia kuwa...
9 years ago
MichuziPolisi: Wagombea Urais marufuku kuambatana na wapambe waati wa kuchukua, kutafuta wadhamini na kurejesha fomu
Jeshi la Polisi nchini limesitisha maandamano ya wafuasi wa vyama vya siasa wakati wa kuchukua ,kutafuta wadhamini, na kurejesha fomu za kugombea nafasi ya Urais katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Naibu Inspekta Jenerali wa jeshi la Polisi Abdulrahman Kaniki (pichani) amesema kuwa jeshi limechukua hatua hiyo kutokana na ukiaukwaji wa sheria za usalama barabarani...
10 years ago
Habarileo08 Oct
Utafiti: Unywaji pombe umeongeza watoto mitaani
POMBE imebainika kuleta athari nyingi za kijamii na kiuchumi miongoni mwake ikitajwa kuchangia ongezeko la watoto wanaoishi mitaani na ukatili wa kijinsia.
9 years ago
Mzalendo Zanzibar26 Aug
Polisi: Lowassa mwiko mitaani
Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA, Edward Lowassa akishuka kwenye daladala katika viunga vya Dar es Salaam, katika kujifunza shida na changamoto za maisha wanazokumbana nazo wananchi wa mji wa Dar es Salaam pia, ni sehemu […]
The post Polisi: Lowassa mwiko mitaani appeared first on Mzalendo.net.
9 years ago
Mwananchi23 Sep
Ndoto za wagombea urais
10 years ago
Tanzania Daima15 Nov
Utafiti urais 2015 wazidi kuumbuliwa
MATOKEO ya utafiti wa nani anayefaa kugombea urais kupitia CCM yaliyotangazwa hivi karibuni umeendelea kupingwa na baadhi ya wananchi baada ya kudaiwa kwamba kuna siri nzito iliyojificha kwenye utafiti huo....
10 years ago
Habarileo09 Feb
Utafiti wawabeba vijana Urais 2015
SHIRIKA la Utafiti wa Maendeleo ya Elimu (TEDRO), limesema katika utafiti walioufanya kuhusu ushiriki wa vijana katika siasa na matarajio kuelekea uchaguzi mkuu 2015, umeonesha kwamba endapo mgombea urais kijana atapendekezwa atakubalika kwa asilimia 82.
10 years ago
Mwananchi26 Jun
Wagombea urais CCM wagonga 40
10 years ago
Mwananchi01 Jul
Kivumbi wagombea urais 42 wa CCM