Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Utafiti wawabeba vijana Urais 2015

Mwigulu NchembaSHIRIKA la Utafiti wa Maendeleo ya Elimu (TEDRO), limesema katika utafiti walioufanya kuhusu ushiriki wa vijana katika siasa na matarajio kuelekea uchaguzi mkuu 2015, umeonesha kwamba endapo mgombea urais kijana atapendekezwa atakubalika kwa asilimia 82.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Utafiti urais 2015 wazidi kuumbuliwa

MATOKEO ya utafiti wa nani anayefaa kugombea urais kupitia CCM yaliyotangazwa hivi karibuni umeendelea kupingwa na baadhi ya wananchi baada ya kudaiwa kwamba kuna siri nzito iliyojificha kwenye utafiti huo....

 

9 years ago

Mwananchi

Vijana kete muhimu kupata urais 2015

Wiki moja kabla ya Uchaguzi Mkuu imebainika kwamba, ili mgombea yeyote wa nafasi ya urais ashinde kiti hicho ni lazima awe na ushawishi mkubwa kwa vijana, hasa wa kike.

 

10 years ago

GPL

Vijana wapiganie sasa haki ya kugombea urais, Vijana wasisubiri wazee wawaruhusu kugombea urais

Patrice Lumumba. Julius Nyerere. Na Walusanga Ndaki
IJUMAA moja ya alasiri na kiangazi jijini Dar es Salaam, mwandishi wa makala hii ambaye sasa ana umri wa miaka 60 alikuwa akifanya mzaha wa kupiga danadana mpira wa miguu nje ya ofisi yao kabla ya kwenda kwenye mechi ya soka kati ya timu ya ofisi yake na taasisi moja ya habari. Mwandishi huyo alifanya hivyo kwa umahiri mkubwa kwa kama dakika tano mbele ya wafanyakazi wenzake...

 

10 years ago

Vijimambo

NCHINI TANZANIA,MWIGULU SASA AONGOZA SAFU YA KUKUBALIKA KUELEKEA UCHAGUZI WA URAIS 2015,AWABWAGA VIJANA WENZAKE

Wasaka urais vijana: Utafiti wamng'arisha MwiguluNa Moshi Lusonzo ..
Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba.Harakati za Uchaguzi Mkuu zimeendelea kushika kasi, baada ya utafiti uliotolewa jana kumtaja Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, kuongoza kundi la wanasiasa vijana wanaokubalika na Watanzania katika kugombea nafasi ya urais.
Akizungumza jijini Dar es salaam jana
wakati akizindua ripoti ya utafiti uliofanywa na Taasisi ya Utafiti wa Maendeleo ya Elimu (Tedro), Mwenyekiti wa...

 

10 years ago

Vijimambo

BREAKING NEWS,TEDRO WATOA REPOTI YA VIJANA WANAOTEGEMEWA KUSHINDA URAIS 2015,MWIGULU NCHEMBA AONGOZA NDANI NA NJE YA CHAMA


Hii ni sehemu ya ripoti hiyo iliyosomwa hii leo kwa waandishi wa habari Jijini Dsm,Ripoti kamili Kukujia hivi Punde.

 

10 years ago

Mwananchi

Vijana hawatumii kondomu- Utafiti

Asilimia 10 ya vijana nchini wenye umri wa miaka 12 hadi 14, wamegundulika wanajihusisha na vitendo vya ngono isiyo salama.

 

10 years ago

BBCSwahili

Utafiti:Ni sawa kwa wazee kuwa na vijana

Utafiti mpya umewaunga mkono wanawake wazee walio na wapenzi vijana.

 

9 years ago

Mwananchi

Polisi wasambaratisha utafiti wa wagombea urais mitaani

Wakati tafiti za kienyeji zenye lengo la kupima kukubalika kwa wagombea urais, hasa Dk John Magufuli na Edward Lowassa zikizidi kuongezeka, polisi jijini hapa mwishoni mwa wiki walitumia nguvu kutawanya vijana waliokuwa wakiendesha kura za maoni kwenye stendi ndogo ya mabasi na soko kuu.

 

10 years ago

Vijimambo

Utabiri: Mgombea Urais kufa akitafuta urais 2015



Mrithi wa Mnajimu na Mtabiri wa Afrika Mashariki, Kati na Kusini, Marehemu Sheikh Yahya Hussein, Alhaj Maalim Hassan Yahya Hussein, ametabiri kwamba kiongozi mmoja mzee aliye kwenye kinyang'anyiro cha kuwania urais, atadondoka ghafla kwenye jukwaa na kufa mwakani.Amesema kiongozi huyo, ambaye hakumtaja jina, atafariki dunia baada ya tukio hilo wakati akikimbizwa hospitali.Alitangaza utabiri huo, alipozungumza na waandishi wa habari, jijini Dar es Salaam jana, kuhusu kutumia kwa utabiri...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani