Utafiti: Unywaji pombe umeongeza watoto mitaani
POMBE imebainika kuleta athari nyingi za kijamii na kiuchumi miongoni mwake ikitajwa kuchangia ongezeko la watoto wanaoishi mitaani na ukatili wa kijinsia.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili01 Jan
Mwongozo mpya wa unywaji pombe kutolewa
10 years ago
Mtanzania08 Oct
Wanaume vinara unywaji pombe K’ndoni
![Unywaji pombe](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/10/pombe2.jpg)
Unywaji pombe
NA ESTHER MBUSSI, DAR ES SALAAM
UTAFITI uliofanywa na Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA), umeonyesha asilimia 55.5 ya wanaume katika Wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam ni vinara wa ulevi wa pombe.
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana wakati wa uzinduzi wa ripoti ya utafiti huo, Msimamizi wa Utafiti, Dk. Severine Kessy, alisema kukithiri huko kwa ulevi kumesababisha ongezeko kubwa la vitendo vya ukatili wa kijinsia.
Alisema hali hiyo...
11 years ago
Tanzania Daima02 Jan
Unywaji pombe za kienyeji Rombo wadhoofisha vijana
POMBE ni kinywaji chochote chenye kileo ambacho ‘hunika’ akili ya mnywaji kwa njia ya ladha na starehe. Kuna utengenezwaji wa aina mbili za pombe zikiwemo zile za kiwandani ambazo viwango...
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Aliyekuwa Bingwa wa Olimpiki Wilfred Bungei asema kushinda kwake vita ya unywaji wa pombe kupindukia kutatoa mwanga wa matumaini kwa wengine
9 years ago
Mwananchi30 Sep
Polisi wasambaratisha utafiti wa wagombea urais mitaani
9 years ago
VijimamboBUNGE LA WATOTO OYSTERBAY SHULE YA MSINGI MKOANI MANYARA WAFANIKIWA KUWARUDISHA WATOTO WA MITAANI SHULE
Abdallah Waziri - ambaye ni mmoja wa watoto wa mitaani aliyerudishwa shule kwenye kikao cha leo.
Abdallah Waziri, Asia Mtibua na Mwalimu Gaudensia Igoshalimo wakimkaribisha Abdallah Waziri shuleni.
Mmoja wa wajumbe akitoa maoni yake katika kikao cha bunge katika shule ya oysterbay mkoani manyara
Mbunge Nasri Selemani akifuatilia hoja kwa makini.wakati kikao cha bunge la watoto likiendelea katika shule ya oysterbay mkoani manyara
Mbunge Nasri Selemani ambaye alikuwa ni mfanyakazi wa...
9 years ago
MichuziBUNGE LA WATOTO WA SHULE ZA MSINGI MKOANI MANYARA WAFANIKIWA KUWARUDISHA WATOTO WA MITAANI SHULE
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-O3uwWuSy6Mk/VJiKAjzj7VI/AAAAAAAAo0U/0De9CSu9fmg/s72-c/KOMONI.jpg)
UTAFITI: AINA ZA POMBE NA UFANISI WAKE KWA WATUMIAJI!
![](http://2.bp.blogspot.com/-O3uwWuSy6Mk/VJiKAjzj7VI/AAAAAAAAo0U/0De9CSu9fmg/s1600/KOMONI.jpg)
Hupoteza uwezo wa kufikili wa mtumiaji Huongeza ufanisi wa viungo vya mwili vilivyo katikati ya miguu ya mtumiaji chini ya kiuno kwa mbele, hivyo kuongeza uwezekano wa mtumiaji kujiusisha na ngono zisizo salama na kubaka. Zaidi ya 60% ya kesi zote za kubaka zilizotokana na ulevi zimehusishwa na utumiaji wa pombe hizi!Hukakamaza misuli ya midomo na kuongeza ufanisi wa koromeo (voicebox),hivyo si ajabu kuwakuta...
11 years ago
Mwananchi16 May
Utafiti: Pombe huchochea hamu, uwezo wa kula zaidi