Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanaume vinara unywaji pombe K’ndoni

Unywaji pombe

Unywaji pombe

NA ESTHER MBUSSI, DAR ES SALAAM

UTAFITI uliofanywa na Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA), umeonyesha asilimia 55.5 ya wanaume katika Wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam ni vinara wa ulevi wa pombe.

Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana wakati wa uzinduzi wa ripoti ya utafiti huo, Msimamizi wa Utafiti, Dk. Severine Kessy, alisema kukithiri huko kwa ulevi kumesababisha ongezeko kubwa la vitendo vya ukatili wa kijinsia.

Alisema hali hiyo...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Mwongozo mpya wa unywaji pombe kutolewa

Uingereza inatarajiwa kutoa mwongozo mpya kuhusu unywaji pombe ambapo kiwango kinachopendekezwa kwa wanaume kitawekwa sawa na cha wanawake.

 

10 years ago

Habarileo

Utafiti: Unywaji pombe umeongeza watoto mitaani

POMBE imebainika kuleta athari nyingi za kijamii na kiuchumi miongoni mwake ikitajwa kuchangia ongezeko la watoto wanaoishi mitaani na ukatili wa kijinsia.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Unywaji pombe za kienyeji Rombo wadhoofisha vijana

POMBE ni kinywaji chochote chenye kileo ambacho ‘hunika’ akili ya mnywaji kwa njia ya ladha na starehe. Kuna utengenezwaji wa aina mbili za pombe zikiwemo zile za kiwandani ambazo viwango...

 

5 years ago

BBCSwahili

Aliyekuwa Bingwa wa Olimpiki Wilfred Bungei asema kushinda kwake vita ya unywaji wa pombe kupindukia kutatoa mwanga wa matumaini kwa wengine

Wilfred Bungei wa Kenya, Bingwa wa Olimpiki wa mbio za mita 800, Beijing, asimulia namna alivyopigana na unywaji wa pombe kupindukia.

 

5 years ago

Michuzi

NAIBU SPIKA AFUNGUA MAFUNZO YA WABUNGE WANAUME VINARA WA MASUALA YA JINSIA


Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akizungumza wakati akifungua mafunzo ya ya kuwajengea uwezo wa masuala ya kijinsia kwa Wabunge Wanaume vinara wa masuala ya jinsia, katika ukumbi wa Msekwa, Bungeni Jijini Dodoma. Kulia ni Mwenyekiti wa  Wabunge wanaume Vinara wa Jinsia Mhe. William Ngeleja na kushoto ni Kaimu Mwenyekiti wa Umoja ya Wabunge Wanawake...

 

5 years ago

CCM Blog

NAIBU SPIKA TULIA AFUNGUA MAFUNZO YA WABUNGE WANAUME VINARA WA MASUALA YA JINSIA


Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (wa pili kushoto), akizungumza jambo wakati alipofungua mafunzo ya kuwajengea uwezo wa masuala ya kijinsia kwa Wabunge Wanaume vinara wa masuala ya jinsia, katika ukumbi wa Msekwa, Bungeni Jijini Dodoma. Kulia ni Mwenyekiti wa  Wabunge wanaume Vinara wa Jinsia Mhe. William Ngeleja na kushoto ni Kaimu Mwenyekiti wa Umoja ya Wabunge Wanawake (TWPG) Mhe. Zainab Vullu.Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akizungumza wakati akifungua mafunzo...

 

10 years ago

Dewji Blog

Fedha za TASAF Mkalama Singida wanaume wazipora na kunywea pombe

DSC05606

Mwenyekiti wa kijiji cha Mwanga tarafa ya Nduguti wilaya ya Mkalama mkoa wa Singida, Jackson Mkoma, akifungua mkutano wa tathmini ya matumizi ya fedha za TASAF awamu ya nne uliofanyika kwenye viwanja vya ofisi ya kituo cha kilimo cha kijiji hicho.

Na Nathaniel Limu, Mkalama

BAADHI ya wanaume wa kijiji cha Mwanga tarafa ya Nduguti  wilaya ya Mkalama mkoani Singida, wametuhumiwa kuwanyang’anya wake zao fedha za mradi wa kunusuru kaya maskini sana zinazotolewa na TASAF,na kuzitumia kunywea...

 

10 years ago

Mwananchi

Ufisadi mkubwa Manispaa ya K’ndoni

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Serikali za Mitaa (LAAC), imeibua ‘madudu’ katika Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni yanayoonyesha jinsi watendaji wa halmashauri hiyo walivyotafuna fedha za miradi na kuingia mikataba ya kifisadi na kusababisha zaidi ya Sh2 bilioni kupotea pasipo maelezo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani