Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NAIBU SPIKA TULIA AFUNGUA MAFUNZO YA WABUNGE WANAUME VINARA WA MASUALA YA JINSIA


Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (wa pili kushoto), akizungumza jambo wakati alipofungua mafunzo ya kuwajengea uwezo wa masuala ya kijinsia kwa Wabunge Wanaume vinara wa masuala ya jinsia, katika ukumbi wa Msekwa, Bungeni Jijini Dodoma. Kulia ni Mwenyekiti wa  Wabunge wanaume Vinara wa Jinsia Mhe. William Ngeleja na kushoto ni Kaimu Mwenyekiti wa Umoja ya Wabunge Wanawake (TWPG) Mhe. Zainab Vullu.Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akizungumza wakati akifungua mafunzo...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

NAIBU SPIKA AFUNGUA MAFUNZO YA WABUNGE WANAUME VINARA WA MASUALA YA JINSIA


Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akizungumza wakati akifungua mafunzo ya ya kuwajengea uwezo wa masuala ya kijinsia kwa Wabunge Wanaume vinara wa masuala ya jinsia, katika ukumbi wa Msekwa, Bungeni Jijini Dodoma. Kulia ni Mwenyekiti wa  Wabunge wanaume Vinara wa Jinsia Mhe. William Ngeleja na kushoto ni Kaimu Mwenyekiti wa Umoja ya Wabunge Wanawake...

 

9 years ago

Mwananchi

Dk Tulia Ackson achaguliwa Naibu Spika wa Bunge

Wabunge 250 wamepiga kura za ndiyo kwa mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Mbunge wa Viti Maalumu, vya kuteuliwa na rais, Dk Tulia Ackson Mwansasu na kumchagua kuwa Naibu Spika wa Bunge la kumi na moja.

 

5 years ago

Michuzi

NAIBU SPIKA DKT. TULIA AKINUNUA NYANYA SOKOMATOLA MBEYA



Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson akinunua mahitaji mbalimbali ya nyumbani ikiwemo nyanya Sokomatola mkoani Mbeya. Picha na Michael Msombe

 

9 years ago

CCM Blog

DK TULIA ACKSON NDIE NAIBU SPIKA WA BUNGE LA 11 LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

 Dk. Tulia Ackson amechaguliwa kuwa Naibu Spika wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambapo ameshinda kwa kura 250 sawa na asilimia 71.2% ambapo mshindani wake Mhe. Magdalena Sakaya alipata kura 101.

Idadi ya Wabunge inayotakiwa ni 394, waliosajiliwa 369, akidi ni 184 na waliohudhuria ni 351 na hakukuwa na kura iliyoharibika.

 

5 years ago

CCM Blog

NAIBU SPIKA DKT. TULIA ACKSON AKIWASILI HOSPITALI KUMJULIA HALI MBOWE

Naibu Spika, Dkt Tulia Ackson akiwasili katika Hospitali ya DCMC Ntyuka kumjulia hali M/Kiti wa Chadema na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe aliyelazwa katika hospitali hiyo akipatiwa matibabu baada ya kuvamiwa na kujeruhiwa na watu wasiojulikana.
*****
Naibu Spika, Dk.Tulia Ackson  amemjulia hali Mwenyekiti Chadema, Freeman Mbowe katika Hospitali ya Ntyuka, Dodoma anakopatiwa matibabu  baada ya kuvamiwa na watu wasiojulikana na kisha kujeruhiwa na kuvunjwa mguu mmoja na kusema kuwa...

 

9 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZ.....: DKT. TULIA ACKSON MWANSASU APITISHWA KUWA NAIBU SPIKA WA BUNGE

Dkt. Tulia Ackson Mwansasu
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, limempitisha Dkt. Tulia Ackson Mwansasu kuwa Naibu Spika wa Bunge, kwa kuta 250 sawa na 71.2% dhidi ya mpinzani wake, Mh. Magdalena Sakaya aliepata kura 101 sawa na 28.8%. 

 

5 years ago

Michuzi

NAIBU SPIKA DKT. TULIA ACKSON AWAFUTA MACHOZI MAMA LISHE NA ABIRIA JIJINI MBEYA

March 2, 2020 Naibu Spika Dkt. Tulia Ackson ametimiza ahadi yake kwa kuwakabidhi Mama lishe wa Stendi kuu ya mabasi Mbeya jiji vitendea kazi maalum vya kutumia wakati wa kuhudumia wateja wao (Aprons) ambapo jumla ya vitendea kazi vimetolewa, pamoja na hilo Dkt. Tulia ametimiza pia ahadi ya kutoa TV ambayo itakuwa inawawezesha abiria wa kituo hicho kufuatilia matukio mbalimbali pamoja na habari wakati wakisubiri kusafiri.

“Siku ya leo hatujaja kutekeleza kila ahadi kwasababu hapa tuna machinga...

 

9 years ago

Michuzi

DKT. TULIA ACKSON ASHINGA KINYA'NGANYIRO CHA NAIBU SPIKA WA BUNGE MJINI DODOMA LEO

 Mhe. Magdalena Sakaya akijieleza na kumba kura Dkt. Tulia Ackson Mwansasu akijieleza na kuomba kuraDkt. Tulia Ackson Mwansasu akila kiapo katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mjini Dodoma leo bada ya kushinda nafasi ya  Naibu Spika wa Bunge, kwa kura 250 sawa na 71.2% dhidi ya mpinzani wake Mhe. Magdalena Sakaya aliepata kura 101 sawa na 28.8%. Picha na Sultani Kipingo wa Globu ya Jamii, Dodoma

 

5 years ago

Michuzi

NAIBU SPIKA WA BUNGE DK.TULIA AUPONGEZA UBALOZI WA UFARANSA NCHINI TANZANIA KWA JITIHADA ZAKE ZA KUSHIRIKI KIKAMILIFU KULETA MAENDELEO

 Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania Fr'eder'ic Clavier(wa nne kutoka kulia) akizungumza jambo wakati wa hafla ya chakula cha usiku ambacho amekiandaa kwa ajili ya mabalozi wa nchi mbalimbali waliopo nchini ambao nchi zao zinazungumza lugha ya Kifaransa.(wa watano kulia ni Naibu Spika wa Bunge Dk.Tulia Ackson akiwa aliyeshiriki kwenya hafla hiyo. Naibu Spika Dk.Tulia Ackson akitoa pongezi kwa Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania Fr'eder'ic Clavier kutokana na jitihada zao za kushiriki kwenye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani