Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NAIBU SPIKA AFUNGUA MAFUNZO YA WABUNGE WANAUME VINARA WA MASUALA YA JINSIA


Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akizungumza wakati akifungua mafunzo ya ya kuwajengea uwezo wa masuala ya kijinsia kwa Wabunge Wanaume vinara wa masuala ya jinsia, katika ukumbi wa Msekwa, Bungeni Jijini Dodoma. Kulia ni Mwenyekiti wa  Wabunge wanaume Vinara wa Jinsia Mhe. William Ngeleja na kushoto ni Kaimu Mwenyekiti wa Umoja ya Wabunge Wanawake...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

NAIBU SPIKA TULIA AFUNGUA MAFUNZO YA WABUNGE WANAUME VINARA WA MASUALA YA JINSIA


Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (wa pili kushoto), akizungumza jambo wakati alipofungua mafunzo ya kuwajengea uwezo wa masuala ya kijinsia kwa Wabunge Wanaume vinara wa masuala ya jinsia, katika ukumbi wa Msekwa, Bungeni Jijini Dodoma. Kulia ni Mwenyekiti wa  Wabunge wanaume Vinara wa Jinsia Mhe. William Ngeleja na kushoto ni Kaimu Mwenyekiti wa Umoja ya Wabunge Wanawake (TWPG) Mhe. Zainab Vullu.Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akizungumza wakati akifungua mafunzo...

 

9 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA MAENDELEO YA JAMII, JINSIA NA WATOTO AFUNGUA KONGAMANO LA WADAU WA FAMILIA

 Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii , Jinsia na Watoto Mhe.Dkt  Pindi Chana (Mb) akiangalia baadhi ya machapisho yanayohusiana mbinu za malezi na makuzi ya watoto kabla ya kufungua semina ya siku mbili ya matokeo ya utafiti wa malezi na makuzi ya familia nchini iliyofanyika Hotel Protea Courtyard, jijini Dar es salaam.Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii  Jinsia na Watoto  (Mhe. Dkt  Pindi Chana (Mb) akifungua rasmi   Kongamano la siku mbili la wadau wa familia wanaokutana kupokea matokeo ya...

 

11 years ago

Michuzi

Mkuu Chuo cha GTI Afungua Mafunzo ya Jinsia, Demokrasia na Katiba

MKUU wa Chuo cha Mafunzo ya Jinsia (GTI), Bi. Zuki Njalai Mihyo leo jijini Dar es Salaam amefungua mafunzo ya siku tatu juu ya masuala ya Jinsia, Demokrasia na Katiba Mpya yaliyowashirikishwa washiriki kutoka katika mikoa ya Dar es Salaam, Lindi, Pwani na Morogoro. Akizungumza katika hotuba yake ya ufunguzi wa mafunzo hayo yanayofanyika katika Chuo cha Mafunzo ya Jinsia kilichopo eneo la Mabibo jijini Dar es Salaam, Bi. Zuki Mihyo alisema kutokuwepo na misingi imara ya kutetea, kulinda na...

 

11 years ago

GPL

MKUU WA CHUO CHA GTI AFUNGUA MAFUNZO YA JINSIA, DEMOKRASIA NA KATIBA

Mkuu wa Chuo cha Mafunzo ya Jinsia (GTI), Bi. Zuki Njalai Mihyo (kulia, aliyesimama) akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya siku tatu juu ya masuala ya Jinsia, Demokrasia na Katiba Mpya yalioandaliwa na GTI. Mkuu wa Chuo cha Mafunzo ya Jinsia (GTI), Bi. Zuki Njalai Mihyo (aliyesimama) akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya siku tatu… ...

 

11 years ago

Michuzi

SPIKA MAKINDA AFUNGUA GYM YA MAZOEZI YA BUNGE KWA AJILI YA WABUNGE

Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akikata utepe kuashiria kufunguliwa rasmi kwa Gym ya Mazoezi katika Viwanja vya Bunge. Gym hiyo itatumiwa na Wabunge , Wafanyakazi pamoja na Wananchi wa Nje watakaopenda kufanya mazoezi kwa lengo la kuboresha afya zao za Miili yao. Pembeni ni Mkurugenzi wa Gym hiyo Ndg. Omar Ige. Muonekano wa Jengo litakalo na GYM ya Bunge kwa nje katika viawanja vya Bunge. Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiangalia baadhi ya wananchi waliofika kufanya mazoezi katika...

 

10 years ago

Dewji Blog

Naibu Mwanasheria wa Serikali afungua mafunzo ya haki za binadamu Kunduchi

DSC_2301

Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. George Masaju akitoa hotuba yake kufungua rasmi warsha ya siku tano ya mafunzo ya haki za binadamu kwa maafisa kutoka Taasisi 11 za kitaifa za haki za binadamu za nchi za Afrika Kunduchi Beach Resort mapema jana.

DSC_2300

Baadhi ya washiriki wa warsha ya siku tano ya mafunzo kuhusu masuala ya haki za binadamu wakifuatilia hotuba ya Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. George Masaju (hayupo pichani) iliyotolewa jana Kunduchi Beach Resort. Mafunzo hayo...

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI KAIRUKI AFUNGUA MAFUNZO YALIYOANDALIWA NA RITA NA NBS.

Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Mheshimiwa Angellah Kairuki Jana alifungua mafunzo yaliyoandaliwa na Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) na Ofisi ya Taifa ya Takwimu kwa ajili ya kuwajengea uwezo Maofisa wa Serikali watakaoshiriki Kuandaa Mpango Mkakati wa Utekelezaji wa Mapendekezo ya Kuboresha Mfumo wa Usajili na Upatikanaji wa Takwimu zake Nchini.
Mhe. Kairuki amewataka washiriki wa mafunzo hayo kuzingatia maelekezo ya Wakufunzi kwa makini ili waweze kuandaa mpango...

 

10 years ago

Michuzi

Naibu Mwanasheria wa Serikali afungua mafunzo ya haki za binadamu Kunduchi leo

Baadhi ya washiriki wa warsha ya siku tano ya mafunzo kuhusu masuala ya haki za binadamu wakifuatilia hotuba ya Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. George Masaju (hayupo pichani) iliyotolewa leo Kunduchi Beach Resort. Mafunzo hayo yameandaliwa na Umoja wa Taasisi za Kitaifa za Haki za Binadamu Afrika (NANHRI) kwa kushirikiana na Taasisi ya mafunzo ya haki za binadamu na Sheria za ki-utu ya Raoul Wallenberg (RWI) ya Sweden na Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (CHRAGG) kwa ufadhili...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani