NAIBU SPIKA WA BUNGE DK.TULIA AUPONGEZA UBALOZI WA UFARANSA NCHINI TANZANIA KWA JITIHADA ZAKE ZA KUSHIRIKI KIKAMILIFU KULETA MAENDELEO
Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania Fr'eder'ic Clavier(wa nne kutoka kulia) akizungumza jambo wakati wa hafla ya chakula cha usiku ambacho amekiandaa kwa ajili ya mabalozi wa nchi mbalimbali waliopo nchini ambao nchi zao zinazungumza lugha ya Kifaransa.(wa watano kulia ni Naibu Spika wa Bunge Dk.Tulia Ackson akiwa aliyeshiriki kwenya hafla hiyo.
Naibu Spika Dk.Tulia Ackson akitoa pongezi kwa Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania Fr'eder'ic Clavier kutokana na jitihada zao za kushiriki kwenye...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi.jpg)
Naibu Spika wa Bunge na Ujumbe wake watembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Malaysia
.jpg)
9 years ago
CCM Blog
DK TULIA ACKSON NDIE NAIBU SPIKA WA BUNGE LA 11 LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

Idadi ya Wabunge inayotakiwa ni 394, waliosajiliwa 369, akidi ni 184 na waliohudhuria ni 351 na hakukuwa na kura iliyoharibika.
9 years ago
Mwananchi19 Nov
Dk Tulia Ackson achaguliwa Naibu Spika wa Bunge
9 years ago
Michuzi
BREAKING NYUZZZZ.....: DKT. TULIA ACKSON MWANSASU APITISHWA KUWA NAIBU SPIKA WA BUNGE

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, limempitisha Dkt. Tulia Ackson Mwansasu kuwa Naibu Spika wa Bunge, kwa kuta 250 sawa na 71.2% dhidi ya mpinzani wake, Mh. Magdalena Sakaya aliepata kura 101 sawa na 28.8%.
11 years ago
Dewji Blog09 Apr
Mhe. Bernard Membe, Naibu Spika Job Ndungai waongelea swala la raia pacha Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa kimataifa Mhe. Beranard Membe akiongoza mazungumuzo ya Raia Pacha alipokua akiongea na Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV Bwn. Idd Sandaly na Katibu wake Amos Cherehani (hawapo pichani) wakiwemo maafisa wa Ubalozi na baadhi ya WanaDMV kwenye Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani siku ya Jumanne April 8, 2014 alipokaribishwa chakula cha jioni Ubalozini hapo huku Naibu spika Mhe. Job Ndungai akiongezea mawili matatu. Chini ni Audio ya mazungumuzo...
9 years ago
Michuzi
DKT. TULIA ACKSON ASHINGA KINYA'NGANYIRO CHA NAIBU SPIKA WA BUNGE MJINI DODOMA LEO



9 years ago
MichuziNaibu Spika wa Bunge Mhe Dkt Tulia Ackson akutana na Rais wa Baraza la Maseneta la Jamhuri wa Burundi Mhe Reverien Ndikuriyo
9 years ago
Dewji Blog18 Nov
Dk. Tulia Mwansasu achaguliwa kugombea Unaibu Spika wa Bunge la Jamhuri la Muungano wa Tanzania!
Wabunge wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wamchagua Dk. Tulia Ackson Mwansasu kugombea nafasi ya Unaibu Spika wa 11 wa Bunge la Jamhur la Muungano wa Tanzania.
Kwa mujibu wa Katibu Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye ambaye pia ni Mbunge wa Mtama amebainisha kuwa, Dk. Tulia amepata nafasi hiyo baada ya wagombea wengine wawili kujitoa hivyo kupita bila kupingwa.
Wagombea waliokuwa wakigombea nafasi hiyo ndani ya CCM ni pamoja na Mhe. Mariam Kisangi pamoja na Bahati Abeid.
5 years ago
Michuzi
NAIBU SPIKA DKT. TULIA AKINUNUA NYANYA SOKOMATOLA MBEYA


Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson akinunua mahitaji mbalimbali ya nyumbani ikiwemo nyanya Sokomatola mkoani Mbeya. Picha na Michael Msombe