Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ufisadi mkubwa Manispaa ya K’ndoni

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Serikali za Mitaa (LAAC), imeibua ‘madudu’ katika Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni yanayoonyesha jinsi watendaji wa halmashauri hiyo walivyotafuna fedha za miradi na kuingia mikataba ya kifisadi na kusababisha zaidi ya Sh2 bilioni kupotea pasipo maelezo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Manispaa K’ndoni yatimua kazi watumishi wake 9

HALMASHAURI ya Manispaa ya Kinondoni imewafukuza kazi watumishi tisa wa idara mbalimbali kutokana na makosa ya utoro kazini pamoja na matumizi mabaya ya madaraka ya ofisi.

 

10 years ago

Vijimambo

RIPOTI YA CAG IMEIBUA UFISADI MKUBWA

Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad.
RIPOTI ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), imeibua ufisadi mkubwa katika mamlaka za Serikali za mitaa,mashirika ya umma na serikali kuu.

Akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kutoa ripoti ya ukaguzi mjini Dodoma jana,Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad alisema ukaguzi huo umefanywa katika taasisi 176 za Serikali kuu, halmashauri 163 na mashirika ya umma...

 

10 years ago

Michuzi

MAMA SALMA KIKWETE AZURU LINDI/ AHUTUBIA MKUTANO MKUBWA LINDI MANISPAA, AKABIDHI BATI 100 NA VYOMBO VYA BENDI SHULE YA SEKONDARI ANGAZA

Mke wa Rais na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Wilaya ya Lindi Mjini Mama Salma Kikwete akipokewa na Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mheshimiwa Mwantumu Mahiza mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Lindi tarehe 15.3.2015 kuanza ziara ya kikazi ya siku 5 kukagua utekelezaji wa Ilani ya CCM.Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokea kadi kutoka kwa aliyekuwa Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Kata ya Tulieni Mjini Lindi wa Chama...

 

9 years ago

Mtanzania

Ikulu yamsimamisha mkurugenzi K’ndoni

DSC_0092NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM

KATIBU Mkuu Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Jumanne Sagini amemsimamisha
kazi aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni Dar es Salaam, Mhandisi Mussa Natty ili asubiri uchunguzi wa tuhuma zinazomkabili.

Hatua hiyo imekuja siku chache baada ya Natty kuhamishiwa Babati mkoani Manyara kabla ya kurejeshwa Dar es Salaam.
Taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Rais, TAMISEMI ilifafanua kuwa pamoja na kusimamishwa kazi, Mhandisi Natty...

 

10 years ago

Mtanzania

Wanaume vinara unywaji pombe K’ndoni

Unywaji pombe

Unywaji pombe

NA ESTHER MBUSSI, DAR ES SALAAM

UTAFITI uliofanywa na Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA), umeonyesha asilimia 55.5 ya wanaume katika Wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam ni vinara wa ulevi wa pombe.

Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana wakati wa uzinduzi wa ripoti ya utafiti huo, Msimamizi wa Utafiti, Dk. Severine Kessy, alisema kukithiri huko kwa ulevi kumesababisha ongezeko kubwa la vitendo vya ukatili wa kijinsia.

Alisema hali hiyo...

 

11 years ago

Mwananchi

Moto wateketeza maduka sita K’ndoni

Tatizo la hitilafu ya umeme limeonekana kuwa chanzo kikubwa cha ajali nyingi za moto zinazotokea wilayani Kinondoni jambo linalosababisha uharibifu mkubwa wa mali na kurudisha nyuma maendeleo.

 

9 years ago

Habarileo

Mkurugenzi, mkandarasi K’ndoni wabanwa ujenzi wa barabara

MKUU wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda ametoa wiki mbili kwa Mkurugenzi na Mkandarasi wa Manispaa hiyo kumpa ripoti ya ukiukwaji wa mikataba ya ujenzi wa barabara za manispaa hiyo kwa kiwango cha lami.

 

9 years ago

Michuzi

MKUBWA FELLA AANZISHA BAND NYINGINE YA VIJANA KUTOKA MKUBWA NA WANAWE

Mkurugenzi wa kituo cha Mkubwa na Wanawe, Mkubwa Fella ameweza kutoa zao la vijana wengine kutoka Mkubwa na Wanawe ambao wanafanya muziki wa Taarab na kuwabariki jina la Moyo Band, band hii imechanganya wanawake na wanaume na kwa mala ya kwanza itatambulishwa siku ya Ijumaa ya tarehe 11 pale Dar Live wakati Yamoto Band wakizindua Chupa lao jipya ambalo limefanyika SA Cheza kwa Madoido. Zaidi msikilize Saidi Fella Akielezea......

 

10 years ago

GPL

MSTAHIKI MEYA WA MANISPAA YA ILALA JERRY SILAA AWAAGA WATUMISHI SITA WA AFYA WA MANISPAA HIYO WANAOENDA KUONGEZA UJUZI KOREA KUSINI

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Silaa akipeana mkono wa kuagana na Mganga Mfawidhi wa zahanati ya Chanika Dk Betha Sanga ambaye pamoja na watumishi wengine sita wa afya wa Manispaa hiyo wamepata udhamini wa Serikali ya Korea Kusini kupitia Shirika lake la Maendeleo KOICA kwenda kuongeza ujuzi nchini Korea Kusini kwa ajili ya kuboresha huduma katika hospitali itakayojengwa Chanika. Wengine ni Dk  Agatha Shinyala na Dk...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani