Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ikulu yamsimamisha mkurugenzi K’ndoni

DSC_0092NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM

KATIBU Mkuu Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Jumanne Sagini amemsimamisha
kazi aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni Dar es Salaam, Mhandisi Mussa Natty ili asubiri uchunguzi wa tuhuma zinazomkabili.

Hatua hiyo imekuja siku chache baada ya Natty kuhamishiwa Babati mkoani Manyara kabla ya kurejeshwa Dar es Salaam.
Taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Rais, TAMISEMI ilifafanua kuwa pamoja na kusimamishwa kazi, Mhandisi Natty...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Mkurugenzi, mkandarasi K’ndoni wabanwa ujenzi wa barabara

MKUU wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda ametoa wiki mbili kwa Mkurugenzi na Mkandarasi wa Manispaa hiyo kumpa ripoti ya ukiukwaji wa mikataba ya ujenzi wa barabara za manispaa hiyo kwa kiwango cha lami.

 

9 years ago

Mwananchi

Mkurugenzi wa habari Ikulu afungasha virago

Aliyekuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, Salvatory Rweyemamu amemaliza mkataba wake na kuondoka huku akiwashukuru watendaji kwa muda wote aliokuwa nao wakimsaidia Rais wa Awamu ya Nne, Jakaya Mrisho Kikwete.

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete amuapisha Mkurugenzi mpya wa Uchaguzi Bw. Kailima Ramadhani Kombey Ikulu jijini Dar

t (1)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Ndugu Kailima Ramadhani Kombwey kuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi Ikulu jijini Dar es salaam, Julai 25, 2015.

t (2)

Ndugu Kailima Ramadhani Kombwey akiweka sahihi kwenye hati baada ya kuapishwa kuwa kuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi Ikulu jijini Dar es salaam jana jioni, Julai 25, 2015.

Rais-uteuzi-tume ya uchaguzi.doc 

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AMUAPISHA MKURUGENZI MPYA WA UCHAGUZI BW. KAILIMA RAMADHANI KOMBEY JIONI HII IKULU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Ndugu Kailima Ramadhani Kombwey kuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi Ikulu jijini Dar es salaam jioni ya leo Julai 25, 2015. Ndugu Kailima Ramadhani Kombwey akiweka sahihi kwenye hati baada ya kuapishwa kuwa kuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi Ikulu jijini Dar es salaam jioni ya leo Julai 25, 2015.

BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete Amuapisha Mkurugenzi Mpya wa Uchaguzi Bwa.Kailima Ramadhani Kombwey Jioni hii Ikulu.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Ndugu Kailima Ramadhani Kombwey kuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi Ikulu jijini Dar es salaam jioni ya leo Julai 25, 2015.Ndugu Kailima Ramadhani Kombwey akiweka sahihi kwenye hati baada ya kuapishwa kuwa kuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi Ikulu jijini Dar es salaam jioni ya leoRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akiweka sahihi baada ya muapisha Ndugu Kailima Ramadhani Kombwey kuwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Ufisadi mkubwa Manispaa ya K’ndoni

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Serikali za Mitaa (LAAC), imeibua ‘madudu’ katika Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni yanayoonyesha jinsi watendaji wa halmashauri hiyo walivyotafuna fedha za miradi na kuingia mikataba ya kifisadi na kusababisha zaidi ya Sh2 bilioni kupotea pasipo maelezo.

 

9 years ago

Michuzi

RAIS AAGANA NA BALOZI WA UTURUKI NCHINI, MABALOZI WA TANZANIA UHOLANZI NA ZIMBABWE NA KUONANA NA MKURUGENZI MKUU WA BENKI YA NMB IKULU JIJINI DAR

Rais Jakaya Mrisho kikwete akiwa na Balozi mpya wa Tanzania nchini Uholanzi Mhe. Irene Florence Mwawa Kasyanju na Balozi mpya wa Tanzania nchini Zimbabwe Luteni Jenerali Charles Lawrence Makakala walipofika kumuaga Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 27,2015.  Rais Jakaya Mrisho kikwete akiwa na Balozi mpya wa Tanzania nchini Uholanzi Mhe. Irene Florence  Mwawa Kasyanju na Balozi mpya wa Tanzania nchini Zimbabwe Luteni Jenerali Charles Lawrence Makakalawalipofika kumuaga Ikulu jijini Dar...

 

10 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS DKT. BIALA AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU MSTAAFU WA UBA TANZANIA GENERAL ROBERT MBOMA NA UJUMBE WAKE, IKULU DAR.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Ujumbe wa UBA Tanzania ulioongozwa na aliyekuwa Mkurugenzi wake Mkuu mstaafu, General Robert Mbomba, wakati walipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, jana Oktoba 22, 2014.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Ujumbe wa UBA Tanzania ulioongozwa na aliyekuwa Mkurugenzi wake Mkuu mstaafu, General Robert Mbomba (kulia) wakati...

 

10 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais Dkt. Bilal akutana na Mkurugenzi Mkuu mstaafu wa UBA Tanzania Generali Robert Mboma na ujumbe wake, Ikulu Dar

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Ujumbe wa UBA Tanzania ulioongozwa na aliyekuwa Mkurugenzi wake Mkuu mstaafu, General Robert Mbomba, wakati walipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, jana Oktoba 22, 2014. (Picha na OMR).

2

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Ujumbe wa UBA Tanzania ulioongozwa na aliyekuwa Mkurugenzi wake Mkuu mstaafu, General Robert Mbomba...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani