Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkurugenzi wa habari Ikulu afungasha virago

Aliyekuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, Salvatory Rweyemamu amemaliza mkataba wake na kuondoka huku akiwashukuru watendaji kwa muda wote aliokuwa nao wakimsaidia Rais wa Awamu ya Nne, Jakaya Mrisho Kikwete.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

UHAMIAJI SPORTS CLUB YAIFUNGISHA VIRAGO IKULU SC

Na Happiness Shayo-Morogoro
Timu ya soka ya Uhamiaji imeweka historia katika michezo ya SHIMIWI baada ya kuifunga timu ya soka ya Ikulu bao moja kwa bila katika mchezo wa mtoano uliofanyika viwanja vya Morogoro Sec. mjini Morogoro na hivyo kuitoa timu hiyo ya Ikulu katika mashindano ya SHIMIWI.
Mchezo huo wa aina yake uliochezwa kwa vipindi viwili vya dakika thelathini ulianza kwa kasi huku timu ya Ikulu ikijitahidi kushambulia lango la Uhamiaji kupitia mshambuliaji wake Salehe...

 

9 years ago

Mtanzania

Ikulu yamsimamisha mkurugenzi K’ndoni

DSC_0092NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM

KATIBU Mkuu Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Jumanne Sagini amemsimamisha
kazi aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni Dar es Salaam, Mhandisi Mussa Natty ili asubiri uchunguzi wa tuhuma zinazomkabili.

Hatua hiyo imekuja siku chache baada ya Natty kuhamishiwa Babati mkoani Manyara kabla ya kurejeshwa Dar es Salaam.
Taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Rais, TAMISEMI ilifafanua kuwa pamoja na kusimamishwa kazi, Mhandisi Natty...

 

10 years ago

GPL

SLIM AFUNGASHA SAMBUSA UKUMBINI

Na Gladness Mallya
MSANII wa filamu Bongo, Salim Omary  ‘Slim’  hivi karibuni alitoa kali ya mwaka baada ya kufunga sambusa ukumbini na kuondoka nazo kwa kile alichodai hana wa kumpikia. Msanii wa filamu Bongo, Salim Omary  ‘Slim’ akifungasha sambusa hizo. Tukio hilo lilitokea Jumamosi iliyopita kwenye Ukumbi wa Akemi, Golden Tower, Posta jijini Dar ambapo kulikuwa na uzinduzi wa filamu ya...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AMUAPISHA MKURUGENZI MPYA WA UCHAGUZI BW. KAILIMA RAMADHANI KOMBEY JIONI HII IKULU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Ndugu Kailima Ramadhani Kombwey kuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi Ikulu jijini Dar es salaam jioni ya leo Julai 25, 2015. Ndugu Kailima Ramadhani Kombwey akiweka sahihi kwenye hati baada ya kuapishwa kuwa kuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi Ikulu jijini Dar es salaam jioni ya leo Julai 25, 2015.

BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete amuapisha Mkurugenzi mpya wa Uchaguzi Bw. Kailima Ramadhani Kombey Ikulu jijini Dar

t (1)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Ndugu Kailima Ramadhani Kombwey kuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi Ikulu jijini Dar es salaam, Julai 25, 2015.

t (2)

Ndugu Kailima Ramadhani Kombwey akiweka sahihi kwenye hati baada ya kuapishwa kuwa kuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi Ikulu jijini Dar es salaam jana jioni, Julai 25, 2015.

Rais-uteuzi-tume ya uchaguzi.doc 

 

11 years ago

Habarileo

Ikulu yakanusha habari za magazeti

SERIKALI imekanusha taarifa zilizoandikwa katika baadhi ya magazeti ya jana yakiwemo gazeti la Uhuru na Tanzania Daima. Habari hizo ni ile ya gazeti la Uhuru inayosomeka: “Bila kupitia JKT hakuna ajira serikalini” na iliyoandikwa na Mtanzania Daima yenye kichwa cha habari “Ikulu:Rushwa ya ngono imekithiri serikalini”

 

10 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete Amuapisha Mkurugenzi Mpya wa Uchaguzi Bwa.Kailima Ramadhani Kombwey Jioni hii Ikulu.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Ndugu Kailima Ramadhani Kombwey kuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi Ikulu jijini Dar es salaam jioni ya leo Julai 25, 2015.Ndugu Kailima Ramadhani Kombwey akiweka sahihi kwenye hati baada ya kuapishwa kuwa kuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi Ikulu jijini Dar es salaam jioni ya leoRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akiweka sahihi baada ya muapisha Ndugu Kailima Ramadhani Kombwey kuwa...

 

10 years ago

Michuzi

Mkurugenzi Mkuu Tanzania Breweries Limited atembelea vyombo vya habari

 Mkurugenzi Mkuu wa Clouds Media group Joseph Kussaga akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Tanzania Breweries Limited Roberto Jarrin wakati alipotembelea ofisi za Clouds zilizopo Mikocheni jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Tanzania Breweries Limited, Roberto Jarrin (kushoto) katika mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa clouds Media group Joseph Kussaga (katikati kwa waliokaa) kulia kwake ni Mkurugenzi wa vipindi wa Clouds Ruge Mutahaba na kushoto ni Mkurugenzi...

 

10 years ago

Michuzi

Mkurugenzi Idara ya Habari( MAELEZO) atembelea vitengo vya Mawasiliano Serikalini


Afisa Habari wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji Bw. Dennis Kiilu akimueleza jambo Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Bw. Assah Mwambene (hayupo pichani) wakati wa Ziara ya Mkurugenzi huyo katika Vitengo vya Mawasiliano Serikalini yenye lengo la kuangalia utendaji kazi na ufanisi wa vitengo hivyo katika utekelezaji wa majukumu yake ya kila siku leo Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Afisa Habari wa Wizara hiyo Bi. Fatuma Malende  
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Bw. Assah...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani