Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UHAMIAJI SPORTS CLUB YAIFUNGISHA VIRAGO IKULU SC

Na Happiness Shayo-Morogoro
Timu ya soka ya Uhamiaji imeweka historia katika michezo ya SHIMIWI baada ya kuifunga timu ya soka ya Ikulu bao moja kwa bila katika mchezo wa mtoano uliofanyika viwanja vya Morogoro Sec. mjini Morogoro na hivyo kuitoa timu hiyo ya Ikulu katika mashindano ya SHIMIWI.
Mchezo huo wa aina yake uliochezwa kwa vipindi viwili vya dakika thelathini ulianza kwa kasi huku timu ya Ikulu ikijitahidi kushambulia lango la Uhamiaji kupitia mshambuliaji wake Salehe...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Mkurugenzi wa habari Ikulu afungasha virago

Aliyekuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, Salvatory Rweyemamu amemaliza mkataba wake na kuondoka huku akiwashukuru watendaji kwa muda wote aliokuwa nao wakimsaidia Rais wa Awamu ya Nne, Jakaya Mrisho Kikwete.

 

11 years ago

TheCitizen

Swimathon donates sports gear to Dar club

Swimathon has donated sports gear to Tanzania Marine Swimming Club (TMS) with a view to fostering promotion of the sport.

 

9 years ago

Dewji Blog

Simba Sports Club yawazawadi mashabiki wake

Rais wa Simba Sport Club, Evans Aveva  (wa tatu kutoka kushoto) akiwa na Washindi wa bahati nasibu pamoja na Afisa Mtendaji Mkuu wa Eag Group Iman Kajula kushoto na Msemaji wa Timu hiyo Manara.

Rais wa Simba Evans Aveva akikabidhi zawadi kwa Mmoja wa Washindi Uongozi wa klabu ya Simba umetoa zawadi kwa washindi wa bahati nasibu iliyochezeshwa siku ya Simba Day Aosti 8 mwaka huu wakati wa kilele cha sherehe za siku ya Simba Day zilizofanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es...

 

10 years ago

Michuzi

TUMESHERIA SPORTS CLUB YAMKABIDHI MWENYEKITI WA TUME KOMBE

Mchezaji wa TUMESHERIA Sports,Bi. Marlin Komba akimkabidhi Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Kombe la ushindi wa pili wa katika mashindano ya SHIMIWI yaliyomalizika hivi karibuni mkoani Morogoro.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo Prof Elisante Ole Gabriel akimkabidhi kikombe mchezaji wa TUMESHERIA Sports Club,Bi Tatu baada ya kuibuka mshindi wa pili katika mchezo wa bao wa mashindano ya SHIMIWI yaliyomalizika mwishoni mwa wiki mkoani Morogoro.

 

10 years ago

Dewji Blog

Simba Sports Club yaandika historia, wazindua kadi mpya

Afisa Mtendaji  Mkuuwa EAG Group Imani Kajula  Rais wa Simba Sport Club, Evans Aveva pamoja na Makamu wa Rais wa Club ya Simba, Geofrey Nyange ‘Kaburu’ wakiwa wameshika mfano wa kadi ya club hiyo waliyoizindua  mapema jana.

Klabu ya Simba hii imeandika historia kwa kuzindua Kadi Mpya za Wanachama ambazo zinamwezesha  kila Mwanachama wa  Simba  kupata  bima  ya maisha  hadi  Tsh 250,000 ikiwa atafiwa  na  mwenza au mtoto au yeye  mwenyewe  kupitia  bima  ya  maisha   iitwayo Simba Pamoja....

 

5 years ago

CCM Blog

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA AWAPATIA 'TANZANIA PRISONS SPORTS CLUB'







Basi aina ya Costa lililotolewa kwaajili ya usafiri kwa Klabu ya mpira wa miguu ya Jeshi la Magereza(Tanzania Prisons SC).
Na ASP. Lucas Mboje, DodomaKATIKA kutatua changamoto ya usafiri kwa Klabu ya mpira wa miguu ya Jeshi la Magereza(Tanzania Prisons SC). Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, Suleiman Mzee ameipatia Klabu hiyo Basi dogo aina ya Costa lenye thamani ya Tsh. Milioni 75 kwa ajili ya kuisafirisha Timu kwenda mikoa mbalimbali nchini.
Akizungumza katika makabidhiano ya gari hilo...

 

10 years ago

Michuzi

TUMESHERIA SPORTS CLUB YAAGWA KWENDA KUSHIRIKI SHIMIWI MOROGORO

Kaimu Katibu Mtendaji wa Tume Bi. Agnes Mgeyekwa akizungumza na wanamichezo wa TUMESHERIA Sports Club watakaoshiriki mashindano ya SHIMIWI Morogoro. Wanamichezo wa TUMESHERIA Sports Club wakimsikiliza Kaimu Katibu Mtendaji wa Tume Bi. Agnes Mgeyekwa (hayupo pichani) wakati wa kuagwa kwenda kushiriki mashindano ya SHIMIWI mkoani Morogoro. Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Tume Bw. Peter Kalonga akizungumza wakati wa kuwaaga watumishi wa Tume watakaoshiriki mashindano ya SHIMIWI...

 

10 years ago

Michuzi

JK atoa Msaada kwa Timu ya Kilimani Sports Club mjini Dodoma

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiikabidhi timu ya soka ya Kilimani Sports Club jezi na mipira katika ikulu ndogo ya mjini Dodoma leo asubuhi.Rais Kikwete alitoa msaada kwa timu hiyo baada ya kuwakuta vijana hao wakifanya mazoezi bila zana bora katika uwanja wa mpira ulioko eneo la Kilimani karibu na Ikulu wakati Rais alipokuwa akifanya mazoezi ya kutembea katika eneo hilo.Wakiongea mara baada ya kupokea msaada huo vijana hao walimshukuru Rais Kwa moyo wake wa upendo na nia yake ya kukuza...

 

9 years ago

GPL

JAMII SPORTS CLUB YAADHIMISHA NYERERE DAY KWA KUCHANGIA DAMU

Wanajogging  walioshiriki uchangiaji damu huo wakiwa katika picha ya pamoja. Nyuso za furaha na hamasa tupu Gazeti la Championi likisomwa na wanajogging.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani