Simba Sports Club yaandika historia, wazindua kadi mpya
Afisa Mtendaji Mkuuwa EAG Group Imani Kajula Rais wa Simba Sport Club, Evans Aveva pamoja na Makamu wa Rais wa Club ya Simba, Geofrey Nyange ‘Kaburu’ wakiwa wameshika mfano wa kadi ya club hiyo waliyoizindua mapema jana.
Klabu ya Simba hii imeandika historia kwa kuzindua Kadi Mpya za Wanachama ambazo zinamwezesha kila Mwanachama wa Simba kupata bima ya maisha hadi Tsh 250,000 ikiwa atafiwa na mwenza au mtoto au yeye mwenyewe kupitia bima ya maisha iitwayo Simba Pamoja....
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziSIMBA SPORT CLUB YAANDIKA HISTORIA,WAZINDUA KADI MPYA
10 years ago
MichuziSIMBA SPORT CLUB YAANDIKA HISTORIA, WAZINDUA KADI MPYA
10 years ago
Dewji Blog14 Aug
Simba Sports Club yawazawadi mashabiki wake

Rais wa Simba Sport Club, Evans Aveva (wa tatu kutoka kushoto) akiwa na Washindi wa bahati nasibu pamoja na Afisa Mtendaji Mkuu wa Eag Group Iman Kajula kushoto na Msemaji wa Timu hiyo Manara.

Rais wa Simba Evans Aveva akikabidhi zawadi kwa Mmoja wa Washindi Uongozi wa klabu ya Simba umetoa zawadi kwa washindi wa bahati nasibu iliyochezeshwa siku ya Simba Day Aosti 8 mwaka huu wakati wa kilele cha sherehe za siku ya Simba Day zilizofanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es...
10 years ago
Michuzi
SIMBA SPORT CLUB WAZINDUA TOVUTI YAKE

Akizungumza wakati wauzinduzi huo Rais wa Simba Evans Aveva alisema ‘’Katika dunia na zama...
11 years ago
CloudsFM18 Aug
11 years ago
Michuzi.jpg)
Mdau Alfred Martin Elia achukua fomu ya kugombea ujumbe wa kamati ya utendaji wa Simba Sports Club
.jpg)
10 years ago
Michuzi
SIMBA SPORT CLUB YAZINDUA HUDUMA MPYA YA SIMBA NEWS

Simba Sports Club kwa kushirikiana na Kampuni ya Tigo Tanzania zimezindua huduma ya ujumbe mfupi ijulikanayo kama ‘SIMBA NEWS’, ambayo lengo lake nikuwapatia wateja wa Tigo taarifa zinazoihusu klabu ya Simba popote walipo nchini.
Huduma hii mpya...
10 years ago
Michuzi.jpg)
TANZANIA YAANDIKA HISTORIA NYINGINE KWA KUZIBA MATUNDU YA MOYO BILA KUFUNGUA KIFUA
10 years ago
MichuziNMB NA AZAM FC WAZINDUA RASMI KADI ZA UANACHAMA WA AFC
Naibu Waziri wa Habari ,Vijana ,utamaduni na michezo Mhe. Juma Nkamia ndie alikuwa mgeni rasmi katika hafla hii. Pia aliwataka wanachama kuiunga mkono timu hiyo kwa matokeo yoyote.
“Mashabiki najua kazi zenu ni mbili kushangilia na kuzomea timu pinzani hivyo nawataka muwe na mapenzi ya dhati na timu yenu kwani naamini...