Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANZANIA YAANDIKA HISTORIA NYINGINE KWA KUZIBA MATUNDU YA MOYO BILA KUFUNGUA KIFUA

Mwezi Mei tarehe 9, mwaka 2015, Tanzania imeandika historia nyingine baada ya kufanya Tiba ya moyo bila ya kufanya upasuaji kwa kuziba matundu yaliyoko kwenye moyo kwa kutumia “kifaa maalum” bila kufungua kifua kama ilivyozoeleka. Tiba hii inafanyika kwa mara ya kwanza nchini kupitia Idara ya Tiba na Upasuaji Moyo ya Hospitali ya Taifa Muhimbili ikishirikiana na madaktari bingwa kutoka Hospitali ya Prince Sultan Cardiac Centre iliyoko Riyadhi nchini Saudi Arabia ambao watakuwepo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

UGONJWA WA MATUNDU KWENYE MOYO NI MIONGONI MWA MAGONJWA HATARISHI KWA WATOTO WACHANGA


NA PATRICIA KIMELEMETA

UGONJWA wa matundu kwenye moyo kwa watoto wachanga ni miongoni mwa magonjwa hatarishi ambayo yanaweza kusababisha udumavu au wakati mwingine kifo Kwa mtoto.

Ugonjwa huo ambao unaathiri kuta za ventrikali za moyo au kwa kitaalamu ujulikana kama (Ventricular Septal Defect) (VSD) unashambulia moyo wa mtoto jambo ambalo linaweza kumuongezea maradhi mengine.

Mtoto mwenye matatizo hayo,anaweza kubainika mara baada ya kufanyiwa vipimo ambapo kwa sasa hali inaonyesha kuwa,...

 

10 years ago

CloudsFM

10 years ago

Dewji Blog

Simba Sports Club yaandika historia, wazindua kadi mpya

Afisa Mtendaji  Mkuuwa EAG Group Imani Kajula  Rais wa Simba Sport Club, Evans Aveva pamoja na Makamu wa Rais wa Club ya Simba, Geofrey Nyange ‘Kaburu’ wakiwa wameshika mfano wa kadi ya club hiyo waliyoizindua  mapema jana.

Klabu ya Simba hii imeandika historia kwa kuzindua Kadi Mpya za Wanachama ambazo zinamwezesha  kila Mwanachama wa  Simba  kupata  bima  ya maisha  hadi  Tsh 250,000 ikiwa atafiwa  na  mwenza au mtoto au yeye  mwenyewe  kupitia  bima  ya  maisha   iitwayo Simba Pamoja....

 

10 years ago

Michuzi

SIMBA SPORT CLUB YAANDIKA HISTORIA, WAZINDUA KADI MPYA

Afisa MtendajiMkuuwa EAG Group Imani Kajula  Rais wa Simba Sport Club Evans Aveva Pamoja na Makamu wa Rais wa Club ya Simba Geofrey Nyange ‘Kaburu Wakiwa wameshika Mfano wa Kadi ya Club Hiyo waliyoizindua  Leo.Klabu ya Simba leo hii imeandika historia kwa kuzindua Kadi Mpya za Wanachama ambazo zinamwezesha  kila Mwanachama wa  Simba  kupata  bima  ya maisha  hadi  Tsh 250,000 ikiwa atafiwa  na  mwenza au mtoto au yeye  mwenyewe  kupitia  bima  ya  maisha   iitwayo Simba Pamoja. Pia Simba...

 

10 years ago

Michuzi

SIMBA SPORT CLUB YAANDIKA HISTORIA,WAZINDUA KADI MPYA

Afisa MtendajiMkuuwa EAG Group Imani Kajula  Rais wa Simba Sport Club Evans Aveva Pamoja na Makamu wa Rais wa Club ya Simba Geofrey Nyange ‘Kaburu Wakiwa wameshika Mfano wa Kadi ya Club Hiyo waliyoizindua.Klabu ya Simba leo hii imeandika historia kwa kuzindua Kadi Mpya za Wanachama ambazo zinamwezesha  kila Mwanachama wa  Simba  kupata  bima  ya maisha  hadi  Tsh 250,000 ikiwa atafiwa  na  mwenza au mtoto au yeye  mwenyewe  kupitia  bima  ya  maisha   iitwayo Simba Pamoja. Pia Simba  leo hii...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete aweka historia nyingine: Asafiri kwa treni ya TAZARA kwa mara ya kwanza

c5

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakipanda treni ya TAZARA kuelekea Kisaki Mkoani Morogoro akiwa katika ziara yake ya mkoa huo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, Alhamisi, Agosti 21, 2014, ameweka historia nyingine katika ziara yake ya Mkoa wa Morogoro wakati aliposafiri kwa treni ya Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA), ikiwa ni mara yake ya kwanza kutumia usafiri huo katika kipindi chake cha Urais.

Rais Kikwete,...

 

10 years ago

GPL

TANZANIA KUTIBU MARADHI YA MOYO BILA KUFANYA UPASUAJI

Baadhi ya Waandishi wa habari wakifanya kazi yao na kuelekezwa namna (Cath Lab) mtambo wa kufanya uchunguzi na kuzibua mishipa ya damu inayopeleka damu kwenye moyo na pia kuziba matundu ndani ya moyo bila kufungua kifua. Katikati ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Dkt. Hussein Kidanto akizungumza na waandishi wa habari. Kushoto ni Prof. Jameel Alata ambaye ni Daktari Mwelekezi wa Magonjwa ya Watoto...

 

10 years ago

Bongo Movies

Leo Kajala Atoa Kinyongo, Kwa Mara Nyingine Awashukuru Wema na Petitman na Kufungua Milango ya Urafiki Tena

Binadamu tuliumbwa kuishi katika misingi ya ubinadamu na sio unyama kama waishivyo wanyama wa porini leo naomba kusema kutoka moyoni mwangu.. Najua kabisa nina wazazi wangu ndugu zangu na zaidi sana Mungu wangu ila kuna watu mpaka nakufa kamwe sintowasahau katika kuta za moyo wangu katika kipindi changu kigumu nilichopitia mlikuwa nembo namboni kubwa katika kuokoa maisha yangu...

Napenda kusema kuwa hata kwa haya yote tunayopitia bado ni madogo sana kuficha thamani yenu mliyoijenga juu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani