Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANZANIA KUTIBU MARADHI YA MOYO BILA KUFANYA UPASUAJI

Baadhi ya Waandishi wa habari wakifanya kazi yao na kuelekezwa namna (Cath Lab) mtambo wa kufanya uchunguzi na kuzibua mishipa ya damu inayopeleka damu kwenye moyo na pia kuziba matundu ndani ya moyo bila kufungua kifua. Katikati ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Dkt. Hussein Kidanto akizungumza na waandishi wa habari. Kushoto ni Prof. Jameel Alata ambaye ni Daktari Mwelekezi wa Magonjwa ya Watoto...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Hospitali ya Bugando sasa mbioni kufanya upasuaji wa moyo

Hospitali ya Rufaa Bugando (BMC), mkoani Mwanza imeanza kufanya upasuaji mkubwa kwa wagonjwa wa moyo.

 

9 years ago

Michuzi

MABALOZI WAIPONGEZA TAASISI YA JKCI KWA KUFANYA UPASUAJI WA MOYO

Kaimu Mkuu wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) iliyopo katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), Profesa Mohamed Janabi amezungumza na mabalozi wanaowakilisha nchi zao hapa nchini kuhusu shughuli za upasuaji wa moyo zinazofanywa na taasisi hiyo. Profesa Janabi amezungunza na mabalozi hao katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam leo. Balozi wa Afrika Kusini nchini Tanzania, Thami Mseleku (kushoto) na Balozi wa Rwanda hapa nchini, Eugene Kayihura (kulia) wanamsikiliza Profesa...

 

5 years ago

Michuzi

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile awapongeza wataalamu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kufanya upasuaji wa kupandikiza mishipa ya damu kwenye moyo (Coronary Artery Bypass Grafting-CABG)

Dkt. Ndugulile: Endeleeni kutibu watu wenye magonjwa mengine na si wa Covid -19 tu
Na John Stephen, WAMJW – Dar es Salaam

07/05/2020 Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imewataka wataalamu wa afya kuendelea kutibu watu wenye magonjwa mengine kama vile matatizo ya moyo na figo katika kipindi hiki cha ugonjwa wa Covid-19.

Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Faustine Ndugulile baada ya kuitembelea Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na kuwaona wagonjwa...

 

9 years ago

Michuzi

Daktari Bingwa Mshauri maradhi ya Moyo kutoka Tanzania kupewa Tuzo ya Kimataifa nchini Uingereza Leo

Daktari wa Kwanza Bingwa Mshauri wa Maradhi ya Moyo kutoka Hospitali ya Rufaa ya Morogoro nchini Tanzania Dr.Harun Elmada Nyagori azawadiwa Tuzo ya Kimataifa na kutambuliwa na Baraza la Madaktari Bingwa wa shirikisho la Nchi za Ulaya(European Society of Cardiology) -London Uingereza'Akipewa hiyo Tuzo ya Heshima na Rais wa Shirikisho Hilo Prof.Pinto alimwelezea imekuwa Historia kubwa kumpata Daktari aliyewakilisha Mada za Utafiti wa Maradhi ya Moyo kutoka Tanzania na hawajawahi kumpata...

 

5 years ago

Michuzi

Benki ya CRDB yaichangia Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete sh. milioni 50 kwa ajili ya upasuaji wa moyo kwa watoto

Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Benki ya CRDB, Tully Esther Mwambapa (kushoto) akimkabidhi Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Prof. Mohamed Janabi mfano wa hundi ya shilingi milioni 50 kwa ajili ya upasuaji wa moyo kwa watoto wanaotibiwa katika Taasisi hiyo, ikiwa ni kukamilisha ahadi yake ya kuchangia kiasi cha shilingi milioni 100 ili ziweze kufanikisha upasuaji wa moyo kwa watoto, makabidhaino hayo yamefanyika leo kwenye Taasisi hiyo,  jijini Dar es salaam.

 

10 years ago

Michuzi

TANZANIA YAANDIKA HISTORIA NYINGINE KWA KUZIBA MATUNDU YA MOYO BILA KUFUNGUA KIFUA

Mwezi Mei tarehe 9, mwaka 2015, Tanzania imeandika historia nyingine baada ya kufanya Tiba ya moyo bila ya kufanya upasuaji kwa kuziba matundu yaliyoko kwenye moyo kwa kutumia “kifaa maalum” bila kufungua kifua kama ilivyozoeleka. Tiba hii inafanyika kwa mara ya kwanza nchini kupitia Idara ya Tiba na Upasuaji Moyo ya Hospitali ya Taifa Muhimbili ikishirikiana na madaktari bingwa kutoka Hospitali ya Prince Sultan Cardiac Centre iliyoko Riyadhi nchini Saudi Arabia ambao watakuwepo...

 

9 years ago

Mwananchi

Namna ya kukabili maradhi ya moyo

Maradhi ya moyo yanajumuisha kupanda kwa shinikizo la damu, kuziba kwa mishipa ya moyo, mshtuko wa moyo, kupungua uwezo wa utendaji wa moyo na moyo kushindwa kusukuma damu ya kutosha.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Matangazo ya ‘kutibu’ ukimwi yawavunja moyo watafiti

MATANGAZO ya waganga wa jadi wanaotibu ukimwi kwa dawa za asili, yanawavunja moyo watafiti na wanasayansi wanaoendelea kutafuta tiba ya ugonjwa huo. Hayo yalibainishwa na Mkuu wa Wilaya ya Tanga,...

 

10 years ago

Mwananchi

Acha kula chumvi nyingi kuepuka maradhi ya moyo

Wiki hii katika sekta ya afya ilikuwa na pilika nyingi zinazohusiana na matatizo ya moyo ambayo katika miaka ya karibuni limekuwa ni tatizo kubwa katika jamii.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani