SIMBA SPORT CLUB YAANDIKA HISTORIA, WAZINDUA KADI MPYA
Afisa MtendajiMkuuwa EAG Group Imani Kajula Rais wa Simba Sport Club Evans Aveva Pamoja na Makamu wa Rais wa Club ya Simba Geofrey Nyange ‘Kaburu Wakiwa wameshika Mfano wa Kadi ya Club Hiyo waliyoizindua Leo.Klabu ya Simba leo hii imeandika historia kwa kuzindua Kadi Mpya za Wanachama ambazo zinamwezesha kila Mwanachama wa Simba kupata bima ya maisha hadi Tsh 250,000 ikiwa atafiwa na mwenza au mtoto au yeye mwenyewe kupitia bima ya maisha iitwayo Simba Pamoja. Pia Simba...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziSIMBA SPORT CLUB YAANDIKA HISTORIA,WAZINDUA KADI MPYA
10 years ago
Dewji Blog02 Jul
Simba Sports Club yaandika historia, wazindua kadi mpya
Afisa Mtendaji Mkuuwa EAG Group Imani Kajula Rais wa Simba Sport Club, Evans Aveva pamoja na Makamu wa Rais wa Club ya Simba, Geofrey Nyange ‘Kaburu’ wakiwa wameshika mfano wa kadi ya club hiyo waliyoizindua mapema jana.
Klabu ya Simba hii imeandika historia kwa kuzindua Kadi Mpya za Wanachama ambazo zinamwezesha kila Mwanachama wa Simba kupata bima ya maisha hadi Tsh 250,000 ikiwa atafiwa na mwenza au mtoto au yeye mwenyewe kupitia bima ya maisha iitwayo Simba Pamoja....
10 years ago
Michuzi
SIMBA SPORT CLUB WAZINDUA TOVUTI YAKE

Akizungumza wakati wauzinduzi huo Rais wa Simba Evans Aveva alisema ‘’Katika dunia na zama...
10 years ago
Michuzi
SIMBA SPORT CLUB YAZINDUA HUDUMA MPYA YA SIMBA NEWS

Simba Sports Club kwa kushirikiana na Kampuni ya Tigo Tanzania zimezindua huduma ya ujumbe mfupi ijulikanayo kama ‘SIMBA NEWS’, ambayo lengo lake nikuwapatia wateja wa Tigo taarifa zinazoihusu klabu ya Simba popote walipo nchini.
Huduma hii mpya...
10 years ago
GPLSIMBA SPORT CLUB YAZINDUA MKAKATI UITWAO MABALOZI WA SIMBA
10 years ago
MichuziSIMBA SPORT CLUB YAZINDUA MKAKATI UITWAO MABALOZI WA SIMBA
Dhima yetu ya kuendeleza mabadiliko ndani ya Simba bado inaendelea kushika kasi, Katika kipindi cha miezi mitatu sasa, mmekuwa mashuhuda wa Simba inayolenga kuleta mapinduzi makubwa katika jinsi mpira unavyoendeshwa, kujali wanachama, wapenzi wake na kukuza vyanzo vya mapato.
Akizungumza na waandishi wa habari Rais wa Simba...
10 years ago
Michuzi14 Aug
SIMBA SPORT CLUB YAWA ZAWADIA MASHABIKI WAKE WA BAHATI NASIBU ILIYOICHEZWA SIMBA DAY
10 years ago
Vijimambo14 Aug
SIMBA SPORT CLUB YAWA ZAWADIA MASHABIKI WAKE


Uongozi wa klabu ya Simba leo umetoa zawadi kwa washindi wa bahati na sibu iliyochezeshwa siku ya Simba Day Aosti 8 mwaka huu wakati wa kilele cha sherehe za siku ya Simba Day zilizofanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Zawadi...
10 years ago
MichuziKIIZA MCHEZAJI BORA WA MWEZI SEPTEMBER SIMBA SPORT CLUB