KIIZA MCHEZAJI BORA WA MWEZI SEPTEMBER SIMBA SPORT CLUB
Kocha wa Simba Dylan Kerr Akimkabidhi Hamisi Kiiza Tunzo Zawadi ya Mchjezaji Bora wa Simba sport Club Mwezi September 2015Katika kuongeza morali na kuwazawadia wachezaji wanaofanya vizuri, Klabu ya Simba ilianzisha Tunzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi kuanzia mwezi wa Septemba 2015.Mshindi wa mwezi wa September, 2015 ni Hamis Kizza ambapo amepata kura 250 kati ya kura 411 zilizopigwa na mashabiki na wapenzi wa Simba na soka wa Tanzania kwa ujumla kupitia simu za mkononi ambao pia wamejiunga na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziSIMBA SPORT CLUB YAANZISHA TUNZO YA MCHEZAJI BORA WA MWEZI
![](http://4.bp.blogspot.com/-asM6A54Ytt0/VgWlojgNzAI/AAAAAAAAIHs/3Gby14fWa34/s640/DAKA%2BRATIBA%2B-02_2.png)
9 years ago
Dewji Blog12 Nov
Mohamed Tshabalala mchezaji bora wa mwezi Oktoba Simba Sport Club
Katika kuongeza morali na kuwazawadia wachezaji wanaofanya vizuri, Klabu ya Simba ilianzisha Tunzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi kuanzia mwezi wa Septemba 2015.
Mshindi wa mwezi wa Oktoba, 2015 ni Mohamed Hussen Tshabalala ambapo alipigiwa kura nyingi na mashabiki na wapenzi wa Simba na soka la Tanzania kwa ujumla kupitia simu za mkononi ambao pia wamejiunga na huduma ya Simba News.
Akizungumza leo jijini Dar es salaam Rais wa Simba Evans Aveva alisema “Uongozi, wanachama na wapenzi wa...
9 years ago
MichuziMOHAMED TSHABALALA MCHEZAJI BORA WA MWEZI OCKTOBA SIMBA SPORT CLUB
Mshindi wa mwezi wa Oktoba, 2015 ni Mohamed Hussen Tshabalala ambapo alipigiwa kura nyingi na mashabiki na wapenzi wa Simba na soka la Tanzania kwa ujumla kupitia simu za mkononi ambao pia wamejiunga na huduma ya Simba News.
9 years ago
Mtanzania06 Oct
Kiiza mchezaji bora Simba
NA THERESIA GASPER, DAR ES SALAAM
MSHAMBULIAJI wa Simba, Hamis Kiiza ‘Diego’, ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Septemba wa timu hiyo, iliyotolewa kabla ya kuanza kwa mazoezi yao Uwanja wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) jana.
Kiiza amepewa zawadi ya tuzo yenye picha ya kiatu pamoja na mpira na kiasi cha fedha cha Sh 500,000, akiwapiku wachezaji wenzake ambao nao walikuwa wakiishindania. Tuzo hiyo ya Kiiza imetokana na moto wake wa kufunga mabao Ligi Kuu akiwa kileleni amefunga...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-HHfNycl_Mvs/VicGKpWPCbI/AAAAAAAIBbQ/fZzeTeujkMY/s72-c/kiiza.png)
Hamisi Kiiza ndiye mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Vodacom kwa mwezi Septemba.
![](http://4.bp.blogspot.com/-HHfNycl_Mvs/VicGKpWPCbI/AAAAAAAIBbQ/fZzeTeujkMY/s640/kiiza.png)
9 years ago
Global Publishers21 Dec
Tshabalala anyakua Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi Simba SC
![DSCF1094-768x403](http://cdn2.yatosha.com/wp-content/uploads/2015/12/DSCF1094-768x403.jpg)
9 years ago
Mtanzania21 Oct
Kiiza aibuka mchezaji bora Septemba
NA THERESIA GAPER, DAR ES SALAAM
MSHAMBULIAJI wa Simba, Hamis Kiiza ‘Diego’, ameibuka mchezaji bora wa Septemba katika michuano ya Ligi Kuu Tanzania Bara na kujinyakulia zawadi ya shilingi milioni moja kutoka kwa wadhamini wa ligi hiyo.
Mechi za raundi tano zilizochezwa mwezi Septemba tangu kuanza kwa ligi hiyo ndiyo zimehusishwa kwenye mchakato wa kumpata mshindi wa kwanza.
Akizungumza Dar es Salaam jana, Ofisa Habari wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Baraka Kizuguto, alisema Kiiza...
9 years ago
MichuziMCHEZAJI WA STAND UNITED AKABIDHIWA KITITA CHAKE KWA KUIBUKA MCHEZAJI BORA WA MWEZI OKTOBA WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA
Mchezaji huyo alikabidhiwa hundi hiyo wakati wa mazoezi yaliyokuwa yanafanywa na timu yake katika viwanja vya JKM Park ya kujiandaa na mchezo dhidi ya Yanga hapo kesho.
9 years ago
Michuzi20 Oct
KIIZA MCHEZAJI BORA WA LIGI YA VODACOM SEPTEMBA
![](http://tff.or.tz/images/kiiza.png)