SIMBA SPORT CLUB YAANZISHA TUNZO YA MCHEZAJI BORA WA MWEZI
Rais wa Simba Sport Klabu Evans Aveva (Kulia) akiwa na afisa Mtendaji Mkuu wa Eaggroup Imani kajula wakati wa Uzinduzi wa tunzo za Mchezaji bora wa Mwezi .
Katika kuongeza morali na kuwazawadia wachezaji wanaofanya vizuri, Klabuya Simba imeanzishaTunzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi kuanzia mwezi wa Septemba 2015. Akizungumza jijini Dar es salaam Raiswa Simba Evans Aveva alisema “Uongozi, wanachama na wapenziwa Simba wanathamini mno mchango wa wachezaji katika kuifanya timu yetu ifanye vizuri,...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziKIIZA MCHEZAJI BORA WA MWEZI SEPTEMBER SIMBA SPORT CLUB
9 years ago
Dewji Blog12 Nov
Mohamed Tshabalala mchezaji bora wa mwezi Oktoba Simba Sport Club
Katika kuongeza morali na kuwazawadia wachezaji wanaofanya vizuri, Klabu ya Simba ilianzisha Tunzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi kuanzia mwezi wa Septemba 2015.
Mshindi wa mwezi wa Oktoba, 2015 ni Mohamed Hussen Tshabalala ambapo alipigiwa kura nyingi na mashabiki na wapenzi wa Simba na soka la Tanzania kwa ujumla kupitia simu za mkononi ambao pia wamejiunga na huduma ya Simba News.
Akizungumza leo jijini Dar es salaam Rais wa Simba Evans Aveva alisema “Uongozi, wanachama na wapenzi wa...
9 years ago
MichuziMOHAMED TSHABALALA MCHEZAJI BORA WA MWEZI OCKTOBA SIMBA SPORT CLUB
Mshindi wa mwezi wa Oktoba, 2015 ni Mohamed Hussen Tshabalala ambapo alipigiwa kura nyingi na mashabiki na wapenzi wa Simba na soka la Tanzania kwa ujumla kupitia simu za mkononi ambao pia wamejiunga na huduma ya Simba News.
9 years ago
Michuzi21 Dec
TSHABALALA AKABIDHIWA TUNZO YA MCHEZAJI BORA WA MWEZI
![](https://images-blogger-opensocial.googleusercontent.com/gadgets/proxy?url=http%3A%2F%2Fsimbasports.co.tz%2Ffile%2F2015%2F12%2FDSCF1094-768x403.jpg&container=blogger&gadget=a&rewriteMime=image%2F*)
MSHINDI wa mwezi wa Oktoba, 2015 ni Mohamed Hussein Tshabalala ambapo amepata kura nyingi zaidi zilizopigwa na mashabiki na wapenzi wa Simba na soka wa Tanzania kwa ujumla kupitia simu za mkononi ambao pia wamejiunga na huduma ya Simba News.
Akikabidhiwa tunzo pamoja na pesa taslim Tsh 500,000/= na Mwanachama na Shabiki wa Simba Mbunge wa...
9 years ago
Global Publishers21 Dec
Tshabalala anyakua Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi Simba SC
![DSCF1094-768x403](http://cdn2.yatosha.com/wp-content/uploads/2015/12/DSCF1094-768x403.jpg)
9 years ago
MichuziMCHEZAJI WA STAND UNITED AKABIDHIWA KITITA CHAKE KWA KUIBUKA MCHEZAJI BORA WA MWEZI OKTOBA WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA
Mchezaji huyo alikabidhiwa hundi hiyo wakati wa mazoezi yaliyokuwa yanafanywa na timu yake katika viwanja vya JKM Park ya kujiandaa na mchezo dhidi ya Yanga hapo kesho.
10 years ago
GPLSIMBA SPORT CLUB YAZINDUA MKAKATI UITWAO MABALOZI WA SIMBA
10 years ago
MichuziSIMBA SPORT CLUB YAZINDUA MKAKATI UITWAO MABALOZI WA SIMBA
Dhima yetu ya kuendeleza mabadiliko ndani ya Simba bado inaendelea kushika kasi, Katika kipindi cha miezi mitatu sasa, mmekuwa mashuhuda wa Simba inayolenga kuleta mapinduzi makubwa katika jinsi mpira unavyoendeshwa, kujali wanachama, wapenzi wake na kukuza vyanzo vya mapato.
Akizungumza na waandishi wa habari Rais wa Simba...