Mohamed Tshabalala mchezaji bora wa mwezi Oktoba Simba Sport Club
Katika kuongeza morali na kuwazawadia wachezaji wanaofanya vizuri, Klabu ya Simba ilianzisha Tunzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi kuanzia mwezi wa Septemba 2015.
Mshindi wa mwezi wa Oktoba, 2015 ni Mohamed Hussen Tshabalala ambapo alipigiwa kura nyingi na mashabiki na wapenzi wa Simba na soka la Tanzania kwa ujumla kupitia simu za mkononi ambao pia wamejiunga na huduma ya Simba News.
Akizungumza leo jijini Dar es salaam Rais wa Simba Evans Aveva alisema “Uongozi, wanachama na wapenzi wa...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziMOHAMED TSHABALALA MCHEZAJI BORA WA MWEZI OCKTOBA SIMBA SPORT CLUB
Mshindi wa mwezi wa Oktoba, 2015 ni Mohamed Hussen Tshabalala ambapo alipigiwa kura nyingi na mashabiki na wapenzi wa Simba na soka la Tanzania kwa ujumla kupitia simu za mkononi ambao pia wamejiunga na huduma ya Simba News.
9 years ago
MichuziSIMBA SPORT CLUB YAANZISHA TUNZO YA MCHEZAJI BORA WA MWEZI
![](http://4.bp.blogspot.com/-asM6A54Ytt0/VgWlojgNzAI/AAAAAAAAIHs/3Gby14fWa34/s640/DAKA%2BRATIBA%2B-02_2.png)
9 years ago
MichuziKIIZA MCHEZAJI BORA WA MWEZI SEPTEMBER SIMBA SPORT CLUB
9 years ago
Global Publishers21 Dec
Tshabalala anyakua Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi Simba SC
![DSCF1094-768x403](http://cdn2.yatosha.com/wp-content/uploads/2015/12/DSCF1094-768x403.jpg)
9 years ago
Michuzi21 Dec
TSHABALALA AKABIDHIWA TUNZO YA MCHEZAJI BORA WA MWEZI
![](https://images-blogger-opensocial.googleusercontent.com/gadgets/proxy?url=http%3A%2F%2Fsimbasports.co.tz%2Ffile%2F2015%2F12%2FDSCF1094-768x403.jpg&container=blogger&gadget=a&rewriteMime=image%2F*)
MSHINDI wa mwezi wa Oktoba, 2015 ni Mohamed Hussein Tshabalala ambapo amepata kura nyingi zaidi zilizopigwa na mashabiki na wapenzi wa Simba na soka wa Tanzania kwa ujumla kupitia simu za mkononi ambao pia wamejiunga na huduma ya Simba News.
Akikabidhiwa tunzo pamoja na pesa taslim Tsh 500,000/= na Mwanachama na Shabiki wa Simba Mbunge wa...
9 years ago
MichuziMCHEZAJI WA STAND UNITED AKABIDHIWA KITITA CHAKE KWA KUIBUKA MCHEZAJI BORA WA MWEZI OKTOBA WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA
Elias Maguli Mchezaji wa timu ya Stand United, amekabidhiwa hundi yake yenye thamani ya shilingi Milioni 1/= na wadhamni wakuu wa Ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara(Vodacom Tanzania) kwa kuibuka mchezaji bora wa mwezi Oktoba wa Ligi hiyo.
Mchezaji huyo alikabidhiwa hundi hiyo wakati wa mazoezi yaliyokuwa yanafanywa na timu yake katika viwanja vya JKM Park ya kujiandaa na mchezo dhidi ya Yanga hapo kesho.
Ofisa Udhamini na Matukio wa Vodacom Tanzania,Ibrahim Kaude(kushoto)akimkabidhi Mchezaji...
Mchezaji huyo alikabidhiwa hundi hiyo wakati wa mazoezi yaliyokuwa yanafanywa na timu yake katika viwanja vya JKM Park ya kujiandaa na mchezo dhidi ya Yanga hapo kesho.
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-HZItvX_BGe4/Vj3SWLYeJkI/AAAAAAAIEyE/yy4G5OyuPlQ/s72-c/ApEqc3bfiHuw9aIVyQpow0yy0rDp_sSuE87ZRes2Xrb2.jpg)
Boko Beach Veterans wamkabidhi zawadi Mchezaji bora wa Mwezi Oktoba 2015
![](http://2.bp.blogspot.com/-HZItvX_BGe4/Vj3SWLYeJkI/AAAAAAAIEyE/yy4G5OyuPlQ/s640/ApEqc3bfiHuw9aIVyQpow0yy0rDp_sSuE87ZRes2Xrb2.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-eUQdNvKGXKE/Vj3SWJoeLZI/AAAAAAAIEyI/hReKxAZNyV4/s640/AsAFY4U7XZWFMgdn4DjB-V91mdxZA3eVCWOjfdANRz9d.jpg)
10 years ago
GPLSIMBA SPORT CLUB YAZINDUA MKAKATI UITWAO MABALOZI WA SIMBA
Balozi wa Simba, Octa Mshiu akipokea Hati ya Ubalozi kutoka kwa Rais wa Simba Evans Aveva. Anayeshuhudia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Eaggroup Imani Kajula.  Dhima yetu ya kuendeleza mabadiliko  ndani  ya Simba bado inaendelea kushika kasi, Katika  kipindi cha miezi mitatu sasa, mmekuwa mashuhuda wa Simba inayolenga kuleta mapinduzi makubwa katika jinsi mpira unavyoendeshwa, kujali  wanachama, wapenzi wake na kukuza...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania