KIIZA MCHEZAJI BORA WA LIGI YA VODACOM SEPTEMBA
Mshambuliaji wa timu ya Simba, Hamisi Kiiza ndiye mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Vodacom kwa mwezi Septemba.Kwa kuibuka mchezaji bora, Kiiza atazawadiwa sh. milioni moja kutoka kwa mdhamini wa Ligi hiyo, kampuni ya Vodacom.Kiiza ambaye ameisadia Simba kufanya vizuri kwenye mwezi huo, ikiwemo kufunga mabao matatu (hat trick) kwenye mechi dhidi ya Kagera Sugar aliwashinda washambuliaji wa timu za Stand United (Elias Maguli) na Yanga (Amisi Tambwe).Ndani ya mwezi Septemba ambapo zilichezwa raundi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-HHfNycl_Mvs/VicGKpWPCbI/AAAAAAAIBbQ/fZzeTeujkMY/s72-c/kiiza.png)
Hamisi Kiiza ndiye mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Vodacom kwa mwezi Septemba.
![](http://4.bp.blogspot.com/-HHfNycl_Mvs/VicGKpWPCbI/AAAAAAAIBbQ/fZzeTeujkMY/s640/kiiza.png)
9 years ago
Mtanzania21 Oct
Kiiza aibuka mchezaji bora Septemba
NA THERESIA GAPER, DAR ES SALAAM
MSHAMBULIAJI wa Simba, Hamis Kiiza ‘Diego’, ameibuka mchezaji bora wa Septemba katika michuano ya Ligi Kuu Tanzania Bara na kujinyakulia zawadi ya shilingi milioni moja kutoka kwa wadhamini wa ligi hiyo.
Mechi za raundi tano zilizochezwa mwezi Septemba tangu kuanza kwa ligi hiyo ndiyo zimehusishwa kwenye mchakato wa kumpata mshindi wa kwanza.
Akizungumza Dar es Salaam jana, Ofisa Habari wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Baraka Kizuguto, alisema Kiiza...
10 years ago
Michuzi16 Oct
10 years ago
GPL16 Oct
9 years ago
MichuziMCHEZAJI WA STAND UNITED AKABIDHIWA KITITA CHAKE KWA KUIBUKA MCHEZAJI BORA WA MWEZI OKTOBA WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA
Mchezaji huyo alikabidhiwa hundi hiyo wakati wa mazoezi yaliyokuwa yanafanywa na timu yake katika viwanja vya JKM Park ya kujiandaa na mchezo dhidi ya Yanga hapo kesho.
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-or_d3lWUosE/VUdddVD4d5I/AAAAAAAHVIk/KZEIO6Js-vI/s72-c/unnamed%2B(8).jpg)
Godfrey Wambura mchezaji bora wa Ligi kuu ya Vodacom kwa mwezi wa pili
![](http://4.bp.blogspot.com/-or_d3lWUosE/VUdddVD4d5I/AAAAAAAHVIk/KZEIO6Js-vI/s640/unnamed%2B(8).jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-6hKmnL4HQSs/VJ6hfIM3iFI/AAAAAAAG6Bc/C_-XDF8Tkak/s72-c/unnamed%2B(11).jpg)
Vodacom yamzawadia Mchezaji Bora wa ligi kuu Tanzania bara wa mwezi Novemba
![](http://3.bp.blogspot.com/-6hKmnL4HQSs/VJ6hfIM3iFI/AAAAAAAG6Bc/C_-XDF8Tkak/s1600/unnamed%2B(11).jpg)
Wadhamini wakuu wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara...
5 years ago
MichuziSadallah Lipangile awa mchezaji bora wa mwezi Februari Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania
9 years ago
Mtanzania06 Oct
Kiiza mchezaji bora Simba
NA THERESIA GASPER, DAR ES SALAAM
MSHAMBULIAJI wa Simba, Hamis Kiiza ‘Diego’, ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Septemba wa timu hiyo, iliyotolewa kabla ya kuanza kwa mazoezi yao Uwanja wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) jana.
Kiiza amepewa zawadi ya tuzo yenye picha ya kiatu pamoja na mpira na kiasi cha fedha cha Sh 500,000, akiwapiku wachezaji wenzake ambao nao walikuwa wakiishindania. Tuzo hiyo ya Kiiza imetokana na moto wake wa kufunga mabao Ligi Kuu akiwa kileleni amefunga...