Godfrey Wambura mchezaji bora wa Ligi kuu ya Vodacom kwa mwezi wa pili
![](http://4.bp.blogspot.com/-or_d3lWUosE/VUdddVD4d5I/AAAAAAAHVIk/KZEIO6Js-vI/s72-c/unnamed%2B(8).jpg)
Kaimu Mkurugenzi wa Bodi ya Ligi ya Vodacom ,Fatuma Abdallah akimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni moja mchezaji wa Coastal Union,Godfrey Wambura baada ya kuibuka mchezaji bora wa mwezi wa pili mwaka huu,kulia ni Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya TFF,Khalid Abdallah na kushoto Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Coastal Union,Salim Bawaziri jana,Picha kwa hisani ya Coastal Union.
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziMCHEZAJI WA STAND UNITED AKABIDHIWA KITITA CHAKE KWA KUIBUKA MCHEZAJI BORA WA MWEZI OKTOBA WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA
Elias Maguli Mchezaji wa timu ya Stand United, amekabidhiwa hundi yake yenye thamani ya shilingi Milioni 1/= na wadhamni wakuu wa Ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara(Vodacom Tanzania) kwa kuibuka mchezaji bora wa mwezi Oktoba wa Ligi hiyo.
Mchezaji huyo alikabidhiwa hundi hiyo wakati wa mazoezi yaliyokuwa yanafanywa na timu yake katika viwanja vya JKM Park ya kujiandaa na mchezo dhidi ya Yanga hapo kesho.
Ofisa Udhamini na Matukio wa Vodacom Tanzania,Ibrahim Kaude(kushoto)akimkabidhi Mchezaji...
Mchezaji huyo alikabidhiwa hundi hiyo wakati wa mazoezi yaliyokuwa yanafanywa na timu yake katika viwanja vya JKM Park ya kujiandaa na mchezo dhidi ya Yanga hapo kesho.
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-HHfNycl_Mvs/VicGKpWPCbI/AAAAAAAIBbQ/fZzeTeujkMY/s72-c/kiiza.png)
Hamisi Kiiza ndiye mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Vodacom kwa mwezi Septemba.
![](http://4.bp.blogspot.com/-HHfNycl_Mvs/VicGKpWPCbI/AAAAAAAIBbQ/fZzeTeujkMY/s640/kiiza.png)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-6hKmnL4HQSs/VJ6hfIM3iFI/AAAAAAAG6Bc/C_-XDF8Tkak/s72-c/unnamed%2B(11).jpg)
Vodacom yamzawadia Mchezaji Bora wa ligi kuu Tanzania bara wa mwezi Novemba
![](http://3.bp.blogspot.com/-6hKmnL4HQSs/VJ6hfIM3iFI/AAAAAAAG6Bc/C_-XDF8Tkak/s1600/unnamed%2B(11).jpg)
Wadhamini wakuu wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara...
5 years ago
MichuziSadallah Lipangile awa mchezaji bora wa mwezi Februari Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-mC74vysAM3M/VEOE-QoXveI/AAAAAAAGr54/QT4n1lF-ATY/s72-c/unnamed%2B(44).jpg)
VODACOM WATOA ZAWADI KWA MCHEZAJI BORA WA MWEZI
![](http://1.bp.blogspot.com/-mC74vysAM3M/VEOE-QoXveI/AAAAAAAGr54/QT4n1lF-ATY/s1600/unnamed%2B(44).jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/szrS1FfaDDLqJzDF4UGyrWS*X3w6YziWfdKEOXEg6dlCCYs8bL17jI5eE9oMJVjcnMFSvrVlaphJLkNxFY9fJb029g01N31K/No2.jpg?width=650)
VODACOM WATOA ZAWADI KWA MCHEZAJI BORA WA MWEZI
Mkuu wa Wilaya ya Mbeya mjini Dr. Norman Sigala(mwenye suti nyeusi)pamoja na Mchezaji bora wa Mwezi wa Septemba wa Ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara Anthony Matogolo wa timu ya Mbeya City (kushoto)wakionesha hundi yenye thamani ya Tsh Milioni 1/= kwa mashabiki wa timu yake mara baada ya kukabidhiwa rasmi na Mkuu wa wilaya hiyo kwa niaba ya wadhamini wakuu wa ligi kuu Vodacom Tanzania hapo jana kabla ya mechi kuanza baina ya...
9 years ago
Michuzi20 Oct
KIIZA MCHEZAJI BORA WA LIGI YA VODACOM SEPTEMBA
![](http://tff.or.tz/images/kiiza.png)
9 years ago
Bongo529 Oct
Thierry Henry amtaja Paul Scholes kuwa ndiye mchezaji bora wa muda wote katika ligi kuu England
Mchezaji soka na gwiji wa zamani wa Arsenal na timu ya taifa ya Ufaransa, Thierry Henry amewafanya watu kubaki na mshangao kwa kumtaja kiungo wa zamani wa England na Manchester United, Paul Scholes kuwa ndiye mchezaji bora aliyewahi kukutana naye katika historia ya Premier League. Henry alijibu swali hilo katika interview moja na Sky Sport, […]
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania