Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkurugenzi Idara ya Habari( MAELEZO) atembelea vitengo vya Mawasiliano Serikalini


Afisa Habari wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji Bw. Dennis Kiilu akimueleza jambo Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Bw. Assah Mwambene (hayupo pichani) wakati wa Ziara ya Mkurugenzi huyo katika Vitengo vya Mawasiliano Serikalini yenye lengo la kuangalia utendaji kazi na ufanisi wa vitengo hivyo katika utekelezaji wa majukumu yake ya kila siku leo Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Afisa Habari wa Wizara hiyo Bi. Fatuma Malende  
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Bw. Assah...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) afanya ziara kwenye vitengo vya Mawasiliano Serikalini

1

Katibu, Ofisi ya Rais Sekretariet ya Ajira katika Utumishi wa Umma Bw. Exavier Daudi (kushoto) akimkaribisha ofisini kwake Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Bw. Assah Mwambene wakati alipotembelea ofisi hiyo kwa lengo la kuangalia utendaji kazi wa kitengo cha mawasiliano.

2

Katibu, Ofisi ya Rais Sekretariet ya Ajira katika Utumishi wa Umma Bw. Exavier Daudi akimueleza Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Bw. Assah Mwambene kuhusu mikakati ya ofisi hiyo ya kuboresha mawasiliano ya...

 

11 years ago

Michuzi

Mkurugenzi wa Idara ya Habari atembelea Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali Wizara ya Mambo ya Nje

Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO, Bw. Assah Mwambene akizungumza na Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali cha Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bw. Mkumbwa Ally alipotembelea Kitengo hicho kwa ajili ya kujionea shughuli mbalimbali zinazofanyika.Bw. Mwambene akiangalia moja ya machapisho aliyopatiwa na Bw. Mkumbwa kuhusu Wizara.Picha na Reginald Philip

 

5 years ago

Michuzi

PROF. KABUDI ATEMBELEA IDARA NA VITENGO WIZARANI AZUNGUMZA NA WATUMISHI


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Prof. Palamagamba John Kabudi (wa kwanza kulia) akizungumza na watumishi wa Idara ya Ulaya na Amerika wakati alipowatembelea na kujadililiana nao masuala mbalimbali ya utendaji kazi wa Idara hiyo kwenye ofisi za Wizara zilizopo Chuo Kikuu cha Dodoma, tarehe 31 Machi 2020

Mhe. Waziri Prof. Kabudi akimsikiliza mmoja wa watumishi wa Idara ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wakitoa ufafanuzi kuhusiana na...

 

10 years ago

Michuzi

Dkt. Fennela Afungua Kikao Kazi cha Maafisa Mawasiliano Serikalini na Wahariri wa Vyombo vya Habari

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara akiwaeleza washiriki wa Mkutano huo umuhimu wa kuelimisha umma kuelekea upigaji kura ya maoni na kuwataka wahariri wa vyombo vya habari nchini kuwa mstari wa mbele katika kutekeleza suala hili la kitaifa.Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya JL Communication inayochapisha magazeti ya Jambo leo na StaaSpoti Bw. Theophil Makunga akitoa neno la shukrani kwa Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara pia...

 

10 years ago

Michuzi

Mkurugenzi Mkuu Tanzania Breweries Limited atembelea vyombo vya habari

 Mkurugenzi Mkuu wa Clouds Media group Joseph Kussaga akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Tanzania Breweries Limited Roberto Jarrin wakati alipotembelea ofisi za Clouds zilizopo Mikocheni jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Tanzania Breweries Limited, Roberto Jarrin (kushoto) katika mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa clouds Media group Joseph Kussaga (katikati kwa waliokaa) kulia kwake ni Mkurugenzi wa vipindi wa Clouds Ruge Mutahaba na kushoto ni Mkurugenzi...

 

9 years ago

Michuzi

Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura atembelea Idara ya habari


 Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura katikati akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali Bw. Assah Mwambene wa kwanza kulia ya jinsi ya kutunza picha za matukio mbalimbali wakati alipofanya ziara Idarani hapo leo. Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura kulia akimkabidhiwa moja ya vipeperushi vinavyotolewa na Bodi ya Filamu Tanzania ambavyo vina lengo vya...

 

10 years ago

Michuzi

TTCL Yakuza Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, Waziri Mkuu Atembelea Banda Lao

Waziri Mkuu Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mizengo Peter Pinda akiwapongeza washiriki kwa kubuni  huduma mbalimbali katika Maonesho ya 39 ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba. Wa pili kutoka kulia ni Kaimu mkuu wa Biashara Kanda ya Dar es Salaam Bw. Karim Bablia. Waziri Mkuu Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mizengo Peter Pinda akiwapongeza washiriki kwa kubuni huduma mbalimbali katika Maonesho ya 39 ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba. Wa pili kutoka kulia ni Kaimu mkuu wa Biashara Kanda ya Dar es Salaam Bw. Karim Bablia.Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Veronica Ngusaru (kushoto) kuhusu faida mbalimbali za kutumia mtandao wa TTCL ndani ya banda la kampuni hiyo alipotembelea Maonesho ya 39 ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba. Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Veronica Ngusaru (kushoto) kuhusu faida mbalimbali za kutumia mtandao wa TTCL ndani ya banda la kampuni hiyo alipotembelea Maonesho ya 39 ya Kimataifa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani