Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) afanya ziara kwenye vitengo vya Mawasiliano Serikalini

1

Katibu, Ofisi ya Rais Sekretariet ya Ajira katika Utumishi wa Umma Bw. Exavier Daudi (kushoto) akimkaribisha ofisini kwake Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Bw. Assah Mwambene wakati alipotembelea ofisi hiyo kwa lengo la kuangalia utendaji kazi wa kitengo cha mawasiliano.

2

Katibu, Ofisi ya Rais Sekretariet ya Ajira katika Utumishi wa Umma Bw. Exavier Daudi akimueleza Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Bw. Assah Mwambene kuhusu mikakati ya ofisi hiyo ya kuboresha mawasiliano ya...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Mkurugenzi Idara ya Habari( MAELEZO) atembelea vitengo vya Mawasiliano Serikalini


Afisa Habari wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji Bw. Dennis Kiilu akimueleza jambo Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Bw. Assah Mwambene (hayupo pichani) wakati wa Ziara ya Mkurugenzi huyo katika Vitengo vya Mawasiliano Serikalini yenye lengo la kuangalia utendaji kazi na ufanisi wa vitengo hivyo katika utekelezaji wa majukumu yake ya kila siku leo Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Afisa Habari wa Wizara hiyo Bi. Fatuma Malende  
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Bw. Assah...

 

11 years ago

Michuzi

Mkurugenzi wa Idara ya Habari atembelea Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali Wizara ya Mambo ya Nje

Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO, Bw. Assah Mwambene akizungumza na Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali cha Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bw. Mkumbwa Ally alipotembelea Kitengo hicho kwa ajili ya kujionea shughuli mbalimbali zinazofanyika.Bw. Mwambene akiangalia moja ya machapisho aliyopatiwa na Bw. Mkumbwa kuhusu Wizara.Picha na Reginald Philip

 

10 years ago

Michuzi

Dkt. Fennela Afungua Kikao Kazi cha Maafisa Mawasiliano Serikalini na Wahariri wa Vyombo vya Habari

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara akiwaeleza washiriki wa Mkutano huo umuhimu wa kuelimisha umma kuelekea upigaji kura ya maoni na kuwataka wahariri wa vyombo vya habari nchini kuwa mstari wa mbele katika kutekeleza suala hili la kitaifa.Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya JL Communication inayochapisha magazeti ya Jambo leo na StaaSpoti Bw. Theophil Makunga akitoa neno la shukrani kwa Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara pia...

 

10 years ago

Dewji Blog

Nape aanza ziara kwenye vyombo vya habari

10

  Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali,  Bwana Gabriel Lyimo Nderumaki ( wa pili kutoka kushoto) akielezea masuala mbali mbali yanayohusu tasinia ya habari wakati wa mkutano na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye uliofanyika kwenye ofisi za Kampuni ya Magazeti ya Serikali,Tazara jijini Dar es Salaam.

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza wakati wa kikao chake na Viongozi na waandishi wa Magazeti ya Serikali alipowatembelea  ikiwa sehemu...

 

5 years ago

Michuzi

PROF. KABUDI ATEMBELEA IDARA NA VITENGO WIZARANI AZUNGUMZA NA WATUMISHI


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Prof. Palamagamba John Kabudi (wa kwanza kulia) akizungumza na watumishi wa Idara ya Ulaya na Amerika wakati alipowatembelea na kujadililiana nao masuala mbalimbali ya utendaji kazi wa Idara hiyo kwenye ofisi za Wizara zilizopo Chuo Kikuu cha Dodoma, tarehe 31 Machi 2020

Mhe. Waziri Prof. Kabudi akimsikiliza mmoja wa watumishi wa Idara ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wakitoa ufafanuzi kuhusiana na...

 

10 years ago

Michuzi

Mkurugenzi TBL afanya ziara Daily News na Mwananchi

 Mkurugenzi Mkuu wa  kampuni ya Tanzania Breweries Limited (TBL) Roberto Jarrin (kushoto) akisalimiana na Mhariri Mkuu wa kampuni ya magazeti ya serikali ya Tanzania Standard Newspapers (TSN) inayochapisha magazeti ya Daily News ,Habari Leo na Spoti Leo,Bw.Gabriel Nderumaki(wa pili kulia) alipofanya ziara ya kutembelea ofisi hizo zilizopo eneo la Tazara barabara ya Sam Nujoma jijini Dar es Salaam, wengine pichani wa kwanza kushoto ni Afisa Uhusiano wa TBL Emma Oriyo aliyesimama nyuma kulia...

 

9 years ago

Michuzi

MKUU WA WILAYA AFANYA ZIARA YA KUKAGUA VYOO MANISPAA YA SHINYANGA..AKUTANA NA VYOO VYA AJABU...KIMO CHA KULENGA KWENYE BOMBA



Hiki choo cha ajabu kiko Shinyanga maelezo yapo chini.Leo Jumatatu Novemba 30,2015 ambapo mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro ameanza kufanya ziara kutembelea kata za manispaa hiyo ili kuangalia hali ya usafi wa mazingira kubwa zaidi ni kukagua vyoo vya wananchi ilimkukabiliana na ugonjwa wa kipindupindu.Mkuu huyo wa wilaya ya Shinyanga alikuwa ameambatana na mkurugenzi wa manispaa ya Shinyanga Lewis Kalinjuna,mwanasheria wa manispaa hiyo Simon Jilanga,afisa afya wa manispaa hiyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani