Mkurugenzi TBL afanya ziara Daily News na Mwananchi
![](http://4.bp.blogspot.com/-2cvM3H6CuL4/VajmLXegaDI/AAAAAAAHqN8/CLlbVwW4zZ0/s72-c/unnamed%2B%25285%2529.jpg)
Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Tanzania Breweries Limited (TBL) Roberto Jarrin (kushoto) akisalimiana na Mhariri Mkuu wa kampuni ya magazeti ya serikali ya Tanzania Standard Newspapers (TSN) inayochapisha magazeti ya Daily News ,Habari Leo na Spoti Leo,Bw.Gabriel Nderumaki(wa pili kulia) alipofanya ziara ya kutembelea ofisi hizo zilizopo eneo la Tazara barabara ya Sam Nujoma jijini Dar es Salaam, wengine pichani wa kwanza kushoto ni Afisa Uhusiano wa TBL Emma Oriyo aliyesimama nyuma kulia...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi23 Mar
MKURUGENZI MKUU WA NHC AFANYA ZIARA MIKOA YA SINGIDA, TABORA NA SHINYANGA
![1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/03/113.png)
10 years ago
Vijimambo23 Mar
Mkurugenzi mkuu wa nhc afanya ziara katika mikoa ya Singida, Tabora na Shinyanga
![1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/03/113.png)
Jana Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia kyando Mchechu ameanza ziara yake ya kutembelea Mikoa ili kuhimiza utendaji kazi wa viwango na kujionea utekelezaji wa miradi ya nyumba za gharama nafuu katika mikoa atakayotembelea ya Singida, Shinyanga, Tabora, Kigoma, Sumbawanga,Katavi...
10 years ago
Dewji Blog14 Nov
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) afanya ziara kwenye vitengo vya Mawasiliano Serikalini
Katibu, Ofisi ya Rais Sekretariet ya Ajira katika Utumishi wa Umma Bw. Exavier Daudi (kushoto) akimkaribisha ofisini kwake Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Bw. Assah Mwambene wakati alipotembelea ofisi hiyo kwa lengo la kuangalia utendaji kazi wa kitengo cha mawasiliano.
Katibu, Ofisi ya Rais Sekretariet ya Ajira katika Utumishi wa Umma Bw. Exavier Daudi akimueleza Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Bw. Assah Mwambene kuhusu mikakati ya ofisi hiyo ya kuboresha mawasiliano ya...
10 years ago
MichuziMkurugenzi Mkuu na Mwendeshaji Mkuu wa Benki ya Dunia afanya ziara katika Bandari ya Dar es Salaam
9 years ago
Daily News | The National Newspaper (Press Release) (Blog)08 Oct
DAILY NEWS Reporter
Daily News | The National Newspaper (press release) (blog)
THE 2015 Bongo Star Search (BSS) finalist will be held at King Solomon Hall in Dar es Salaam tomorrow. The finalists are Frida Amani, Kayumba Juma, Angel Kato, Nassib Fonabo, Jacqueline Kakenzi and Kelvin Gerson. View Comments. This paper made a ...
9 years ago
Daily News | The National Newspaper (Press Release) (Blog)05 Oct
DAILY NEWS Reporter in Arusha
Daily News | The National Newspaper (press release) (blog)
ENGLISH and Kiswahili languages, despite being the main medium of communication in the country, remain big a problem among University Graduates in Tanzania. 1 Comment. That was revealed during the just ended 7th Higher Education Forum which ...
10 years ago
Daily News02 Sep
Written by DAILY NEWS Reporter in Dodoma
Daily News
Daily News
THE new constitution will incorporate the rights of people living with disabilities, Constituent Assembly (CA) Chairperson, Mr Samuel Sitta, has said. Mr Sitta made the remarks on Monday as he met leaders of the Confederation of People with Disabilities ...
People with disabilities push for 5 pct representation in parliamentIPPmedia
all 4
10 years ago
MichuziMkurugenzi wa Mwananchi Communications Limited Francis Nanai azindua asasi ya TAYL
BOFYA HAPA KUSOMA...
11 years ago
Michuzi28 Jul
MHE. OMAR MJENGA AFANYA KIKAO NA MKURUGENZI MKUU NHC BWN. NEHEMIAH MCHECHU NA MKURUGENZI MTENDAJI WA KAMPUNI YA UJENZI YA DAMAC, BWN.SONIL VOHOR
![](https://1.bp.blogspot.com/-OCYa-tI_spU/U9VQVqSeuPI/AAAAAAACzwg/E2bIXHalb1Q/s1600/20140727_190328.jpg)