Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Manispaa K’ndoni yatimua kazi watumishi wake 9

HALMASHAURI ya Manispaa ya Kinondoni imewafukuza kazi watumishi tisa wa idara mbalimbali kutokana na makosa ya utoro kazini pamoja na matumizi mabaya ya madaraka ya ofisi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Watumishi 9 wa Manispaa ya Kigoma Ujiji wasimamishwa kazi

Katibu Tawala wa Mkoa wa Kigoma John Ndungulu akizungumza na waandishi wa habari hii leo kuhusu kusimamishwa kazi kwa watumishi 9 wa Manispaa ya Kigoma-Ujiji. (Picha na Emmanuel Senny) (2)

Katibu Tawala wa Mkoa wa Kigoma, John Ndungulu akizungumza na waandishi wa habari kuhusu kusimamishwa kazi kwa watumishi 9 wa Manispaa ya Kigoma-Ujiji. (Picha na Emmanuel Senny).

Katibu Tawala wa Mkoa wa Kigoma John Ndungulu mwenye suti nyeusi, akizungumza na waandishi wa habari hii leo kuhusu kusimamishwa kazi kwa watumishi waManispaa ya Kigoma-Ujiji. (Picha na Emmanuel Senny) (2)

Na Emmanuel Senny, Kigoma

Watumishi tisa wa Manispaa ya Kigoma-Ujiji wamesimamishwa kazi mara baada ya kubainika kuingia mikataba mibovu isiyokuwa na tija na kuisababishia manispaa hasara ya kupoteza mapato sambamba na kulipa fidia ambazo ni batili pamoja na kuuza mali za halmashauri kinyume cha sheria.

Maamuzi...

 

10 years ago

Vijimambo

PSPF KIKAO KAZI NA WATUMISHI WA MANISPAA, DAR NA PWANI‏

Mkurugenzi Mkuu wa PPF, Adam Mayingu, akitoa hotuba ya utangulizi wakati wa kikao kazi cha siku moja ya maafisa na wakuu wa idara za Halmashauri za miji na Manispaa za mikoa ya Dar es Salaam na Pwani, iliyofanyika makao makuu ya PSPF jijini Dar es Salaam, Alhamisi Machi 26, 2015.Gabriel Silayo, Mkurugenzi wa Uwekezaji wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Gabriel Silayo, akitoa mada kuhusu uwekezaji wa Mfuko huo, wakati wa kikao kazi hichoMeneja wa Actuarial Service and Risk Mnagement wa Mfuko wa...

 

10 years ago

GPL

PSPF KIKAO KAZI NA WATUMISHI WA MANISPAA, DAR NA PWANI‏

Mkurugenzi Mkuu wa PPF, Adam Mayingu, akitoa hotuba ya utangulizi wakati wa kikao kazi cha siku moja ya maafisa na wakuu wa idara za Halmashauri za miji na Manispaa za mikoa ya Dar es Salaam na Pwani, iliyofanyika makao makuu ya PSPF jijini Dar es Salaam, Alhamisi Machi 26, 2015. Gabriel Silayo, Mkurugenzi wa Uwekezaji wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Gabriel Silayo, akitoa mada kuhusu uwekezaji wa Mfuko huo, wakati wa kikao kazi...

 

10 years ago

Michuzi

PSPF WAFANYA KIKAO KAZI NA WATUMISHI WA MANISPAA ZA DAR NA PWANI

Mkurugenzi Mkuu wa PPF, Adam Mayingu, akitoa hotuba ya utangulizi wakati wa kikao kazi cha siku moja ya maafisa na wakuu wa idara za Halmashauri za miji na Manispaa za mikoa ya Dar es Salaam na Pwani, iliyofanyika makao makuu ya PSPF jijini Dar es Salaam, Alhamisi Machi 26, 2015.Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Utamaduni, Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni, na Michezo,Profesa Hermans Mwansoko akitoa hotuba ya ufunguzi wa kikao kazi cha siku moja kwa maafisa na wakuu wa idara za...

 

10 years ago

Mwananchi

Ufisadi mkubwa Manispaa ya K’ndoni

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Serikali za Mitaa (LAAC), imeibua ‘madudu’ katika Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni yanayoonyesha jinsi watendaji wa halmashauri hiyo walivyotafuna fedha za miradi na kuingia mikataba ya kifisadi na kusababisha zaidi ya Sh2 bilioni kupotea pasipo maelezo.

 

10 years ago

GPL

MSTAHIKI MEYA WA MANISPAA YA ILALA JERRY SILAA AWAAGA WATUMISHI SITA WA AFYA WA MANISPAA HIYO WANAOENDA KUONGEZA UJUZI KOREA KUSINI

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Silaa akipeana mkono wa kuagana na Mganga Mfawidhi wa zahanati ya Chanika Dk Betha Sanga ambaye pamoja na watumishi wengine sita wa afya wa Manispaa hiyo wamepata udhamini wa Serikali ya Korea Kusini kupitia Shirika lake la Maendeleo KOICA kwenda kuongeza ujuzi nchini Korea Kusini kwa ajili ya kuboresha huduma katika hospitali itakayojengwa Chanika. Wengine ni Dk  Agatha Shinyala na Dk...

 

9 years ago

Habarileo

Watumishi 2 Manispaa wasimamishwa

OFISI ya Waziri Mkuu , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imeagiza watumishi wawili waandamizi wa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro, kusimamishwa kazi ili kupisha uchunguzi kuhusu utendaji wao wa kazi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watumishi Manispaa Tabora kortini

WATUMISHI watatu wa Manispaa ya Tabora, Kitengo cha Elimu wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Tabora wakikabiliwa na mashitaka mawili ya kuhujumu Uchumi. Watuhimiwa hao ni Ofisa Elimu...

 

9 years ago

Michuzi

WATUMISHI WA MANISPAA YA ILALA WAFUNDWA JUU YA MAAMBUKIZI YA VVU,NA UKIMWI

 Mwanasheria wa Manispaa ya Ilala, Pamela Mgarula akizungumza na waandishi habari hawapo pichani juu ya semina ya kuwezesha kutoa elimu ya  kuwakumbusha wafanyakazi kutambua umhimu kujikinga na VVU na Ukimwi iliyofanyika leo katika ukumbi wa Arnatoglo jijini Dar es Salaam. Daktari  Kafura Williamu wa Kitengo cha Magonjwa yasiyo ya kuambukiza  Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, akizungumza na waandishi habari  juu ya semina ya kuwezesha kutoa elimu ya  kuwakumbusha wafanyakazi kutambua umhimu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani