Maximo: Nitavunja mwiko
![](http://api.ning.com:80/files/k597Gy8eW*W*exTU75RhivrSnPLKvUmpZUDW3l19WLWV-jJzhIeZBKmfWWY2JmOYexxp8ZYk5*7GEYTLMOi-*oG7C5HZ5vUP/maximo.jpg)
Kocha wa Yanga, Marcio Maximo. Na Wilbert Molandi KOCHA wa Yanga, Marcio Maximo, amepewa ripoti kamili kuwa timu yake itafungua msimu wa 2014/15 kwa kukipiga na Mtibwa Sugar katika Ligi Kuu Bara, ambapo ameambiwa kuwa hao ni wapinzani wao wagumu na wameisumbua Yanga kwa miaka miwili iliyopita. Maximo ameipokea ripoti hiyo kwa mikono miwili na kusema kuwa, atauvunja mwiko huo wa kuwa Mtibwa ni wagumu na wameonekana kuwa kiboko...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima06 Jan
Steve Nyerere: Nitavunja makundi Bongo Movie
MWENYEKITI mpya wa klabu ya Bongo Movie, Steve Mengele ‘Steve Nyerere’, ameahidi kuvunja tofauti za makundi na tabaka la wasanii wakongwe na chipukizi na kuwa kitu kimoja katika kupigania mafanikio...
11 years ago
Mwananchi02 Mar
Yanga yavunja mwiko
10 years ago
Tanzania Daima30 Aug
Filamu ya ‘Mwiko’ yanukia sokoni
MUVI mpya ya kitanzania inayokwenda kwa jina la ‘Mwiko’ inatarajiwa kuingia sokoni mwanzoni mwa mwezi ujao, ikiwa imekusanya nyota kibao wanaotikisa katika tasnia hiyo. Mkurugenzi wa OJM Film Company, Omary...
9 years ago
Mwananchi17 Nov
Stars kuvunja mwiko Algeria
9 years ago
Mzalendo Zanzibar26 Aug
Polisi: Lowassa mwiko mitaani
Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA, Edward Lowassa akishuka kwenye daladala katika viunga vya Dar es Salaam, katika kujifunza shida na changamoto za maisha wanazokumbana nazo wananchi wa mji wa Dar es Salaam pia, ni sehemu […]
The post Polisi: Lowassa mwiko mitaani appeared first on Mzalendo.net.
9 years ago
Habarileo13 Sep
Simba yavunja mwiko Tanga
TIMU ya Simba ya Dar es Salaam jana ilianza vizuri kampeni zake za Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kuifunga African Sports kwa bao 1-0 katika mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga.
11 years ago
Tanzania Daima03 Feb
Yanga yavunja mwiko Mbeya City
BAO la dakika ya 15 likifungwa na mshambuliaji Mrisho Halfan Ngasa, jana lilitosha kutibua rekodi ya timu ya Mbeya City ya kutofungwa tangu kuanza kwa Ligi Kuu ya Bara, Agosti...
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/davidooo.jpg?width=650)
DAVIDO: FILAMU SASA, MWIKO KWANGU!
10 years ago
BBCSwahili10 Feb
Je kuchangia kiungo cha mwili ni mwiko ?