Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DAVIDO: FILAMU SASA, MWIKO KWANGU!

Lagos, Nigeria STAA wa Pop nchini Nigeria anayetamba na Wimbo wa Dodo, Davido, ameweka wazi msimamo wake wa kutotaka kuigiza filamu tena. Hivi karibuni staa huyo aliweka historia mpya ya kufanya vizuri kwenye moja ya filamu za Nigeria Nollywood aliyoigiza yenye jina la John Zerebe ikiandaliwa na binamu yake, Ikey Ojeogwu, Davido amesema kuwa, John Zerebe itakuwa ndiyo filamu yake ya kwanza na ya mwisho kwake kuigiza. Ameongeza...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

DAVIDO: SUALA LA KUOA SI LA KIPAUMBELE KWANGU

Mwanamuziki maarufu wa Nigeria, David Adeleke. MWANAMUZIKI maarufu kijana wa Nigeria, David Adeleke ajulikanaye zaidi kama Davido, amesema hana haraka ya kuoa hivi sasa ambapo nadhari yake ameielekeza kwenye tasnia ya muziki ambayo ndiyo inampa riziki yake na kwamba hataki kujifungia katika ‘sanduku’ na ndoa. Davido aliyesema hayo hivi karibuni katika mahojiano na gazeti la Punch ambapo aliweka wazi kwamba bado...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Filamu ya ‘Mwiko’ yanukia sokoni

MUVI mpya ya kitanzania inayokwenda kwa jina la ‘Mwiko’ inatarajiwa kuingia sokoni mwanzoni mwa mwezi ujao, ikiwa imekusanya nyota kibao wanaotikisa katika tasnia hiyo. Mkurugenzi wa OJM Film Company, Omary...

 

10 years ago

Bongo Movies

Sasa nipo teyari kuolewa- Jackline Wolper, Naamini kabisa huu sasa ni muda muafaka kwangu

Star wa filamu nchini Jackline Wolper amesema kuwa kwasasa yupo tayari kuolewa baada ya kupitia mambo mengi zikiwemo starehe za ujana ambazo wengi wanaokuwa kwenye ndoa huzikimbilia na kuvunja ndoa zao kwa kuwa hawakuzifanya kipindi wapo nje ya ndoa.

 

"Naamini kabisa huu sasa ni muda muafaka kwangu, niko tayari kabisa kuwa mke  nimepitia vitu vingi ambavyo mara nyingi wengi wao huwa wanakimbilia kwenye ndoa wakiwa bado hawajavimaliza halafu mwisho wa siku wanazishindwa, mimi nishamaliza...

 

10 years ago

GPL

RAY: CHUCHU SASA NDO’ KILA KITU KWANGU

Stori: Musa Mateja
LEGENDARY kwenye anga la sanaa Bongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ kwa mara ya kwanza amefunguka kuwa mpenzi wake wa sasa, Chuchu Hans ndiye kila kitu na kilichobaki ni ndoa tu. Legendary kwenye anga la sanaa Bongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ akiwa na mpenzi wake Chuchu Hans.
Akizungumza na paparazi wetu, Ray alisema licha ya kupitia katika changamoto nyingi za mapenzi lakini kwa Chuchu...

 

10 years ago

CloudsFM

SHAMSA FORD:FILAMU YA ‘I HATE MY WIFE’ ILIKUWA NI NGUMU SANA KWANGU KUIGIZA,KWA SABABU YA KUIGIZA KICHAWI.

Msanii wa filamu za Kibongo,Shemsa Ford amefunguka kati ya filamu iliyompa wakati mgumu wakiwa ‘’location’ ni filamu ya I hate my wife kwani aliigiza kama mke mchawi anayemroga mumewe.’Yaani kati ya filamu iliyonipa wakati mgumu kuigiza ni wakati naigiza filamu ya I hate my wife kutokana na kuigiza kama mchawi mshabiki walijua kuwa ndiyo tabia yangu lakini pia kuvaa uhusika wa kiuchawi ni ngumu sana’’alisema Shemsa Ford.

 

9 years ago

Bongo5

Davido aigiza kwa mara ya kwanza kwenye filamu mpya ya Nollywood, tazama Trailer

Tumezoea kuwaona wasanii wengi wa muziki wa Marekani wakishiriki pia kwenye filamu ama reality tv shows, kitu ambacho hakifanywi sana na wasanii wa Afrika. Staa wa Nigeria, David Adeleke a.k.a Davido ameamua kukionesha kipaji chake kingine mbali na muziki kwa kuigiza kwenye filamu mpya ya Nollywood iitwayo ‘John Zerebe’ ikiwa ndio mara yake ya kwanza […]

 

9 years ago

Bongo5

Davido asema hana mpango kabisa wa kuoa kwa sasa

Licha ya kujaliwa kupata mtoto wa kwanza mwaka huu, star wa Nigeria, Davido amesema hafikirii kabisa kuoa kwa sasa. Davido akiwa na baby mama wake Katika mahojiano na gazeti la Punch la Naija, star huyo ambaye wiki iliyopita ametoa wimbo mpya ‘Dodo’, alipoulizwa kama baada ya kujaliwa kupata mtoto kama anafikiria kuoa alijibu, “Sifikirii kabisa, […]

 

10 years ago

Michuzi

FILAMU YA C.P.U IPO SOKONI SASA

FILAMU kubwa ya C.P.U Kitengo cha kutetea Watoto imeingia leo sokoni kwa njia ya mtandao, lengo likiwa ni kuwafikia watu wengi Ulimwenguni, hivyo kwa utaratibu wa kampuni ya usambazaji ya Proin Promotions ni kuuza katika mtandao baadae katika Dvd na njia nyingine.
Leo Jumatatu tarehe 16.February. 2015 inapatikana mtandaoni unaweza kununua filamu hiyo kwa kutembelea www.proinpromotions.co.tz na kununua filamu ya C.P.U na filamu zingine za Proin Promotions utanunua na kuangalia full HD.
Sinema...

 

9 years ago

Bongo5

Davido Exposed: Tazama video 5 za Davido ambazo hakuwahi kuzitoa

davido A

Mwezi uliopita kituo cha MTV Base kilimfanyia mahojiano staa wa Nigeria, Davido kwenye kipindi maalum kilichopewa jina la ‘Davido Exposed’, ambapo alitambulisha video 5 ambazo hakuwahi kuzitoa. Video hizo ni za nyimbo za kwenye album yake ya kwanza ‘O.B.O’.

davido A

Kama kipindi hicho kilikupita kupitia MTV Base hii ni nafasi yako nyingine ya kukitazama na kuziona video 5 za Davido ambazo hakuzitoa. Pia amezungumzia mambo mengine ikiwemo album yake mpya ambayo kwa sasa ameisogeza mpaka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani