Davido asema hana mpango kabisa wa kuoa kwa sasa
Licha ya kujaliwa kupata mtoto wa kwanza mwaka huu, star wa Nigeria, Davido amesema hafikirii kabisa kuoa kwa sasa. Davido akiwa na baby mama wake Katika mahojiano na gazeti la Punch la Naija, star huyo ambaye wiki iliyopita ametoa wimbo mpya ‘Dodo’, alipoulizwa kama baada ya kujaliwa kupata mtoto kama anafikiria kuoa alijibu, “Sifikirii kabisa, […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania14 May
P. Diddy hana mpango wa kuoa
BADI MCHOMOLO NA MTANDAO
MSANII tajiri nchini Marekani, Sean John ‘P. Diddy’, amesema hana mpango wa kuoa kwa sasa ingawa anaishi na Cassie kwa miaka nane hadi sasa katika uhusiano wao wa kimapenzi.
Msanii huyo ana watoto watano wakiwemo wawili wa mpenzi wake, Cassie.
Kiongozi huyo wa kundi la Bad Boy mwenye umri wa miaka 45, amesema wanachama wa kundi hilo hawakatazwi kuishi bila ya kuoa.
“Sijui kama nitakuja kuoa, huo ni utaratibu wa maisha yangu nadhani mtu unatakiwa kuwa tayari kwa kuwa...
11 years ago
Uhuru Newspaper07 Aug
Mndolwa asema hana mpango na ubunge
NA MOHAMMED ISSA
MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Korogwe Vijijini, Dk. Edmund Mndolwa, amesema hafanyi ziara kwa lengo la kutaka ubunge katika jimbo la Korogwe Vijijini.
Amesema anafanya kazi kama mjumbe wa NEC, kutoka wilaya hiyo na kwamba lengo la ziara zake ni kukijenga Chama.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, jana, Dk. Mndolwa alisema hajawahi kufanya kampeni yoyote katika ziara zake hizo na kwamba lengo la ziara zake...
10 years ago
Habarileo01 Aug
Sendeka asema hana mpango kuhama CCM
MBUNGE wa Simanjiro Christopher ole Sendeka amekanusha habari zilizosambaa mitandaoni kuwa anahamia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na kusema kuwa habari hizo hazina tija na ni upotoshaji wa jamii na kuwa yeye atabakia kuwa muumini wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na hajaona chama mbadala.
9 years ago
Bongo516 Oct
Hemedy PHD asema hana mpango wa kufanya video nje ya nchi
9 years ago
Bongo523 Nov
Diamond hana mpango wa kufanya nyimbo za Kiingereza – Asema meneja wake Babu Tale
![mondi bin awards](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/mondi-bin-awards-300x194.jpg)
Muziki ni lugha ya dunia, ndio sababu kuna wanamuziki wengi wanaimba lugha za kwao lakini bado wanafanya vizuri katika nchi nyingine zisizoongea lugha hizo.
Diamond Platnumz ametokea kuwa balozi mzuri wa lugha ya Kiswahili, kwasababu mafanikio aliyonayo sasa ya kufanya vizuri ndani na nje ya Afrika yametokana na nyimbo za Kiswahili alizotoa hadi sasa.
Baada ya kugundua kuwa kinachoweza kusababisha wimbo upendwe kimataifa sio lugha, hit maker huyo wa ‘Nana’ hana mpango kabisa wa kurekodi...
9 years ago
Bongo521 Sep
Bobi Wine asema hana mpango wa kwenda kimataifa, anaridhika kuwa msanii wa ndani
10 years ago
Bongo502 Sep
Wizkid aizungumzia beef yake na Davido, asema hana beef na mtu (video)
10 years ago
Bongo521 Sep
Juma Nature asema hana mpango wa kutoa album wala kushoot video nje ya nchi
5 years ago
BBCSwahili13 Mar
Coronavirus: Trump asema hana mpango wa kupima, baada ya kukutana na ofisa wa Brazil ambaye aligundulika kuwa na virusi