Juma Nature asema hana mpango wa kutoa album wala kushoot video nje ya nchi
Juma Nature amedai kuwa hafikirii kwenda kushoot video zake nje ya nchi kama wasanii wengi wa Tanzania wanavyofanya. Nature amesema anaamini kuwa hapa nchini kila kitu kinawezekana. “Mie video zangu zote nitafanyia hapa hapa labda nikienda huko Ulaya kufanya show ndo nitaweza kufanya video lakini eti natoka hapa sijui naenda kufanya huko video siwezi,” amesema […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo516 Oct
Hemedy PHD asema hana mpango wa kufanya video nje ya nchi
9 years ago
Bongo520 Aug
Christian Bella hana mpango wa kutoa album
10 years ago
CloudsFM21 Nov
WAKATI FELA ANA MPANGO WA KUMALIZA BIFU NA JUMA NATURE, NATURE ACHOMOA MCHONGO
Mkurugenzi wa kituo cha kukuza vipaji vya wasanii “Mkubwa na Wanae”, Saidi Fela ambaye pia ni kiongozi wa kundi la TMK Wanaume Family, kundi ambalo lilianzishwa mwanzoni mwa miaka ya 2000 baadaye likaja kuvunjika vipande viwili likazaliwa kundi la TMK Halisi chini ya Juma Nature, hiyo ilikuwa mwaka 2006.
Hivi karibuni Said Fela amefunguka kuwa ana mpango wa kumfuata Juma Nature ili wakae chini na kushirikiana kikazi kama zamani. Lakini alipoulizwa Juma Nature kama yuko tayari kufanya kazi na...
10 years ago
Mwananchi23 Aug
BEN POL: Kumbe hana mpango wa kutengenea video nje
10 years ago
Bongo504 Nov
Fid Q kwenda kushoot video mpya nje ya nchi, atoa sababu za kwanini alikuwa hafanyi video
9 years ago
Bongo530 Dec
Adam Juma awaunga mkono wasanii wanaoenda kushuti video nje ya nchi
![Adam Jumaa](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/05/Adam-Jumaa-300x194.jpg)
Muongozaji wa video za muziki nchini, Adam Juma wa Visual lab amesema sio jambo baya kwa wasanii wa Tanzania kwenda kufanya video zao nje ya nchi endapo kuna faida yoyote ya ziada wanaipata.
Adam ambaye amekuwepo kwenye industry ya video kwa muda mrefu, ameongeza kuwa kikubwa anachoamini kinawapeleka nje wasanii kufanya video ni kutafuta connection na mawazo mapya na hilo sio jambo baya.
“I think ubora hatuko tofauti sana lakini pia labda ni mawazo mapya, siwezi kusema sio kwamba ubora uko...
11 years ago
Uhuru Newspaper07 Aug
Mndolwa asema hana mpango na ubunge
NA MOHAMMED ISSA
MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Korogwe Vijijini, Dk. Edmund Mndolwa, amesema hafanyi ziara kwa lengo la kutaka ubunge katika jimbo la Korogwe Vijijini.
Amesema anafanya kazi kama mjumbe wa NEC, kutoka wilaya hiyo na kwamba lengo la ziara zake ni kukijenga Chama.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, jana, Dk. Mndolwa alisema hajawahi kufanya kampeni yoyote katika ziara zake hizo na kwamba lengo la ziara zake...
10 years ago
Habarileo01 Aug
Sendeka asema hana mpango kuhama CCM
MBUNGE wa Simanjiro Christopher ole Sendeka amekanusha habari zilizosambaa mitandaoni kuwa anahamia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na kusema kuwa habari hizo hazina tija na ni upotoshaji wa jamii na kuwa yeye atabakia kuwa muumini wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na hajaona chama mbadala.
9 years ago
Bongo528 Sep
Davido asema hana mpango kabisa wa kuoa kwa sasa