Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polisi wamzuia Lowassa kuzika

MMGL0471Na Waandishi Wetu

MGOMBEA urais wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, amepata kashikashi baada ya polisi kumzuia kumzika mwasisi wa Chama cha TANU na CCM, Peter Kisumo, kwa madai kuwa wamepata maagizo kutoka juu.

Msafara wa Lowassa ulioanzia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), ulikutana na kizuizi cha polisi katika Kijiji cha Maroro, kilomita moja kutoka Mwanga kuelekea Ugweno, ambako Kisumo alizikwa...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA wamzuia Mbowe

HATIMAYE Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amekubali ombi la Wazee la kumtaka atetea nafasi hiyo katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Septemba 14 mwaka huu. Licha ya...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wananchi wamzuia JK awasikilize

MSAFARA wa Rais Jakaya Kikwete, jana ulizuiwa mara mbili tofauti na wananchi wa vijiji vya Handali na Ndebwa Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, wakimshinikiza asikilize kero zao. Kikwete ambaye alikuwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wamzuia mbunge waeleze kero

WANANCHI wa Kijiji cha Kwefingo kilichopo Kata ya Dindira, wilayani Korogwe, walizuia msafara wa Mbunge wa Korogwe Vijijini, Stephen Ngonyani ‘Profesa Majimarefu’, ili waweze kumweleza kero zao. Wananchi hao waliokuwa...

 

11 years ago

GPL

MFUNGO WAMZUIA MLELA KWA MPENZIWE

Stori: Gladness Mallya NYOTA wa filamu Bongo, Yusuph Mlela hataweza kuonana na mpenzi wake ambaye pia ni mzazi mwenzake kutokana na mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan. Nyota  wa filamu Bongo, Yusuph Mlela. Akipiga stori na gazeti hili, Mlela alisema alikuwa na desturi ya kwenda kwa mzazi mwenzake kila siku kwa ajili ya kwenda kumuona mwanaye, Mwantumu lakini kwa mwezi huu itakuwa ngumu kutokana na misingi ya dini yake....

 

10 years ago

Habarileo

JK aahidi kuzika kero za walimu

Rais Jakaya Kikwete akiwahutubia walimu katika ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Walimu Tanzania (CWT), uliofanyika katika Hoteli ya Ngurdoto nje kidogo ya mji wa Arusha jana. Mkutano huo pia utawachagua viongozi wapya wa chama hicho. (Picha na Freddy Maro).RAIS Jakaya Kikwete amesema atahakikisha anamaliza matatizo yote yanayowakabili walimu kote nchini katika kipindi kilichobaki cha utawala wake.

 

11 years ago

GPL

Friends of Simba wamzuia Tambwe kwenda Yanga

Sweetbert Lukonge na Martha Mboma
HATIMAYE mshambuliaji wa Simba, Amissi Tambwe, ambaye hivi karibuni alihusishwa kutaka kuikimbia klabu hiyo na kwenda kujiunga na timu nyingine za ligi kuu, amepigwa pini na klabu hiyo baada ya kuhakikishiwa neema msimu ujao. Mshambuliaji wa Simba, Amisi Tambwe. Tambwe ambaye ni raia ya Burundi na ambaye ndiye amekuwa msaada mkubwa wa timu hiyo msimu huu baada ya kuifungia mabao 19 kweney...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kumfumbia macho Sitta ni kuzika uhuru

MWENYEKITI wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta amedhihirisha wazi kuwa hapendi na hathamini kazi kubwa inayofanywa na vyombo vya habari katika kuelimisha umma kuhusu mchakato wa Katiba mpya. Mapema...

 

9 years ago

Habarileo

Magufuli kuzika mapigano ya wakulima na wafugaji

MGOMBEA urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli, ameahidi atakapochaguliwa atahakikisha anafunga mapigano kati ya wakulima na wafugaji huku akihadharisha viongozi atakaowateua kuwa lazima wahakikishe hayatokei kwenye maeneo yao.

 

9 years ago

Vijimambo

WANANCHI WAMZUIA MGOMBEA MWENZA WA CCM BARABARANI MWANGA

Bi. Samia Othuman Suluhu akipokewa na baadhi ya viongozi na makada wakiwa kwenye mkutano huo. Bi. Samia Othuman Suluhu akipokewa na baadhi ya viongozi na makada wakiwa kwenye mkutano huo.Baadhi ya wananchi wakiwa kwenye mkutano huo. Baadhi ya wananchi wakiwa kwenye mkutano huo.Mjumbe Mkuu wa Baraza Kuu la Wanawake na Kamanda wa UVCCM Wilaya ya Same, Anjela Kailuki akizungumza alipokuwa anamnadi Bi. Samia Suluhu,BAADHI ya wananchi na wapenzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamelazimika kuuzuia msafara wa mgombea mwenza wa nafasi ya urais alipokuwa njiani akitokea Wilaya ya Same kuelekea Wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro huku wakimuomba awasalimu na kuzungumza nao, kabla ya kuendelea na safari yake. 
 Bi. Samia Suluhu alilazimika kuusimamisha msafara wake baada ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani