Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kumfumbia macho Sitta ni kuzika uhuru

MWENYEKITI wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta amedhihirisha wazi kuwa hapendi na hathamini kazi kubwa inayofanywa na vyombo vya habari katika kuelimisha umma kuhusu mchakato wa Katiba mpya. Mapema...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Madaktari wa Macho kutoka Shirika la Specsavers Watowa Huduma ya Macho kwa Wananchi Skuli ya Kiembesamaki Zanzibar

Daktari wa Shirika la Spacsaver Ingrid Stenersen akimfanyia uchunguzi mmoja ya wananchi wa Jimbo la Kiembesamaki waliofika Skuli ya Sekondari ya eneo hilo kupatiwa huduma ya macho.Daktari wa macho kutoka Shirika la Spacsaver Petter Daniesin akimfanyia vipimo mtoto Sabrina Abdalla Salum katika zoezi linalofanyika Skuli ya Sekondari ya Kiembesamaki.Wananchi wa Jimbo la Kiembesamaki wakiwa katika mistari wakisubiri huduma ya kupima macho inayotolewa kwa ushirikiano na madaktari kutoka...

 

9 years ago

Mtanzania

Polisi wamzuia Lowassa kuzika

MMGL0471Na Waandishi Wetu

MGOMBEA urais wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, amepata kashikashi baada ya polisi kumzuia kumzika mwasisi wa Chama cha TANU na CCM, Peter Kisumo, kwa madai kuwa wamepata maagizo kutoka juu.

Msafara wa Lowassa ulioanzia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), ulikutana na kizuizi cha polisi katika Kijiji cha Maroro, kilomita moja kutoka Mwanga kuelekea Ugweno, ambako Kisumo alizikwa...

 

10 years ago

Habarileo

JK aahidi kuzika kero za walimu

Rais Jakaya Kikwete akiwahutubia walimu katika ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Walimu Tanzania (CWT), uliofanyika katika Hoteli ya Ngurdoto nje kidogo ya mji wa Arusha jana. Mkutano huo pia utawachagua viongozi wapya wa chama hicho. (Picha na Freddy Maro).RAIS Jakaya Kikwete amesema atahakikisha anamaliza matatizo yote yanayowakabili walimu kote nchini katika kipindi kilichobaki cha utawala wake.

 

9 years ago

Habarileo

Magufuli kuzika mapigano ya wakulima na wafugaji

MGOMBEA urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli, ameahidi atakapochaguliwa atahakikisha anafunga mapigano kati ya wakulima na wafugaji huku akihadharisha viongozi atakaowateua kuwa lazima wahakikishe hayatokei kwenye maeneo yao.

 

10 years ago

BBCSwahili

Boko Haram wazuia watu kuzika maiti

Seneta Ahmed Zanna ameambia BBC kwamba miili imetapakaa katika barabara za mji wa Bama ambao Boko Haram imeuteka.

 

10 years ago

GPL

JIJI LA NAIROBI LAKANUSHA KUZIKA MAITI ZA GARISSA KABURI MOJA

Wafanyakazi wa shirika la kujitolea la Msalaba Mwekundu nchini Kenya wakipanga majeneza yenye miili ya marehemu wa shambulio la Garissa katika chumba cha kuhifadhia maiti kwenye hospitali ya Chiromo jana. HALMASHAURI ya jiji la Nairobi imekataa ripoti kwamba jana iliwazika wanafunzi waliouawa katika mashambulizi ya kigaidi kwenye Chuo Kikuu cha Garissa kiasi cha wiki mbili zilizopita, kwenye kaburi la pamoja. Akizungumza katika...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Serikali ya Ecuador inavyopambana kuzika waliofariki

Miili imetapakaa Guayaquil nchini Ecuador, serikali yazidiwa na idadi kubwa ya vifo, mji huo umeathirika zaidi Amerika ya Kusini

 

5 years ago

BBCSwahili

Ifahamu njia mpya ya kuzika mwili ambayo ni rafiki kwa mazingira

Kampuni moja ya Marekani imedai kwamba njia mpya ya kuzika mwili inasaidia kuzuia kaboni zaidi ya tani moja, kulingana na utafiti

 

10 years ago

Michuzi

KINGUNGE AWATAKA WANACCM KUSHIKAMANA NA KUZIKA TOFAUTI ZAO ILI KUPATA USHINDI WA KISHINDO UCHAGUZI MKUU 2015

Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kingunge Ngombale,Mwilu (kushoto) akizungumza katika mkutano  na waandishi wa habari Dar es Salaam leo ,Kuhusu mkutano mkuu wa  chama hicho uliofayika Dodoma hivi karibuni na mchakato wa kumpata mgombea Urais na  changamoto zilizojitokeza. Mwanasiasa Mkongwe nchini,Kingunge Ngombale Mwilu akisisitiza jambo mbele ya Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali (hawapo pichani) mapema leo,nyumbani kwake makumbusho,jijini Dar.PICHA NA MICHUZI JR.. Na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani