JK aahidi kuzika kero za walimu
RAIS Jakaya Kikwete amesema atahakikisha anamaliza matatizo yote yanayowakabili walimu kote nchini katika kipindi kilichobaki cha utawala wake.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima14 Mar
Ridhiwani aahidi kutatua kero ya maji
MGOMBEA ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete, amewaahidi wakazi wa jimbo hilo kushughulikia kero ya maji kwa baadhi ya...
11 years ago
Mwananchi13 Mar
Aahidi kutatua kero huduma za jamii
11 years ago
Mwananchi11 Mar
Tendega aahidi kutatua kero za kilimo Kalenga
10 years ago
Habarileo21 Mar
Kinana atembelea alikozaliwa, aahidi kutatua kero ya ardhi
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amefika katika kijiji alichozaliwa na kusoma elimu ya msingi cha Mbughuni wilayani Arumeru mkoani Arusha na kuahidi kusaidia kutatua kero mbalimbali zinazowakabili wananchi.
9 years ago
VijimamboJANET AAHIDI KUSHUGHULIKIA KERO YA BARABARA KATA YA NGULILO
Vikundi vya ngoma aina ya Mang;oma vikitoa burudani ya kucheza katika mkutano huoMgombea Ubunge wa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Janet Mbene akiwahutubia wakazi wa kata ya Ngulilo na kuahahidi kushughulikia tatizo la barabara
9 years ago
MichuziMGOMBEA UBUNGE WA CCM JIMBO LA MAFINGA AAHIDI KUTATUA KERO YA MAJI
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
11 years ago
Tanzania Daima19 Apr
CWT: Serikali itatue kero za walimu
CHAMA cha Walimu Tanzania (CWT) Manispaa ya Morogoro kimeitaka serikali kuepusha migogoro kati yake na walimu. Rai hiyo imetolewa na Katibu wa CWT, Maswi Munada alipomkaribisha Mkurugenzi wa Manispaa, Jorvis...
9 years ago
Mwananchi13 Oct
Siku ya walimu imepita, kero bado zingalipo
5 years ago
MichuziMKURUGENZI JIJI LA DODOMA AAHIDI KUWAPATIA PIKIPIKI WALIMU WANAOTEMBEA UMBALI MREFU
KATIKA kuongeza motisha ya ufundishaji, Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma, Godwin Kunambi ameahidi kuwapatia pikipiki walimu ambao wamekua wakitembea umbali mrefu kwenda mashuleni.
Kunambi ametoa ahadi hiyo leo katika uzinduzi wa shule ya msingi Mavunde ambayo imejengwa kwa ushirikiano wa Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini, Anthony Mavunde na Halmashauri ya Jiji hilo.
Akizungumza mbele ya mgeni rasmi ambaye ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Kunambi amesema kwa kutambua...