Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Friends of Simba wamzuia Tambwe kwenda Yanga

Sweetbert Lukonge na Martha Mboma
HATIMAYE mshambuliaji wa Simba, Amissi Tambwe, ambaye hivi karibuni alihusishwa kutaka kuikimbia klabu hiyo na kwenda kujiunga na timu nyingine za ligi kuu, amepigwa pini na klabu hiyo baada ya kuhakikishiwa neema msimu ujao. Mshambuliaji wa Simba, Amisi Tambwe. Tambwe ambaye ni raia ya Burundi na ambaye ndiye amekuwa msaada mkubwa wa timu hiyo msimu huu baada ya kuifungia mabao 19 kweney...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

YANGA YA MNASA TAMBWE ALIEACHWA NA SIMBA


Taarifa zilizoingia kwenye mtandao huu dakika chache zilizopita ni kwamba Dar-es-salaam Young Africans imemsajili mshambuliaji wa Simba aliyeachwa Amisi Tambwe .Yanga imemsajili Tambwe dakika chache zilizopita ambapo anakuja kujaza nafasi iliyoachwa wazi na Hamis Kiiza ambaye amejiunga na URA ya Uganda .Tambwe amesajiliwa na Yanga baada ya kuachwa na Simba.
Tambwe alikuwa mfungaji bora wa ligi msimu uliopita ambapo alifunga mabao 19 kwenye ligi lakini alishindwa kuwika msimu huu baada ya...

 

9 years ago

Mwananchi

LIGI KUU: Tambwe aipaisha Yanga, Simba yashikwa

Baada ya ukame wa mabao katika michezo miwili mfululizo, mshambuliaji Amissi Tambwe jana alifunga mabao matatu ‘hat trick’ ya kwanza msimu huu na kuisaidia Yanga kupata ushindi  mnono wa mabao 4-0 na kuendelea kuongoza ligi kwa kufikisha pointi 30.

 

10 years ago

GPL

AMISSI TAMBWE ATUA YANGA, SIMBA YAMNASA BEKI HASSAN KESSY

Amissi Tambwe. Mshambuliaji raia wa Burundi, Amissi Tambwe amesaini mkataba wa mwaka mmoja kuichezea klabu ya Yanga SC baada ya kutemwa na timu yake ya zamani Simba SC. Tambwe ndiye mfungaji bora wa msimu uliopita Ligi Kuu Bara baada ya kutupia mabao 19. Kessy (katikati )akisaini mkataba wa miezi 18 kuichezea Simba SC jana. Kulia ni Geofrey Nyange 'Kaburu' na kushoto ni msimamizi wa Kessy, Athuman Tippo. Wakati Tambwe… ...

 

11 years ago

GPL

FRIENDS OF SIMBA: WABAYA WA KILA JAMBO, DAWA YA MWENDO SIMBA

Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zakaria Hans Pope. Na Saleh Ally
NILIWAHI kuzungumzia kuhusiana na Coastal Union kuachana na malumbano yasiyokuwa na sababu dhidi ya aliyekuwa mdhamini wao, Nassor Bin Slum ambaye ni mnazi mkubwa wa timu hiyo. Azim Dewji. Mwisho Bin Slum ameondoka na kuamua kufanya mambo yake kibiashara zaidi, sasa kampuni yake kupitia matairi na betri za magari, inadhamini… ...

 

11 years ago

GPL

Friends of Simba wamteka Okwi

Mshambuliaji Emmanuel Okwi. Na Nicodemus Jonas
SAA chache kabla ya mechi ya watani, Yanga dhidi ya Simba, kama kawaida vituko vinazidi kuongezeka na mshambuliaji Emmanuel Okwi anazidi kuwa tatizo. Okwi alikuwa acheze mechi ya leo, akasusa kwa kuwa anawadai Yanga dola 40,000 (Sh milioni 64), lakini sasa Friends of Simba wameingilia na kumteka mawazo zaidi kuwa hana haja ya kucheza mechi ya leo, ataangushiwa mzigo wakipoteza....

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nkwabi aiteka Friends of Simba

MGOMBEA nafasi ya Makamu wa Rais wa Simba, Swedi Nkwabi, amezidi kuiteka klabu hiyo katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Juni 29 jijini Dar es Salaam baada ya kuibua mgawanyiko katika...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Friends of Simba wachukua timu

WAKATI homa ya pambano la watani wa jadi nchini ikizidi kupanda, Kundi la Marafiki wa Simba ‘Friends of Simba’ limeutaka uongozi unaokaribia kumaliza muda wake kulikabidhi kikosi ili kuhakikisha wanaibuka...

 

10 years ago

Mwananchi

Friends of Simba watia ubani

Kundi la wanachama matajiri wa klabu ya Simba, Friends of Simba limevamia mazoezi ya klabu hiyo na kutia ubani maandalizi ya kuikabili Azam kesho.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani